Zitto Kabwe amwandikia barua IGP Sirro

Zitto Kabwe amwandikia barua IGP Sirro

Zitto usisahau pia kuweka video na picha za vijana wakiwarushia mawe na kuwakata vichwa askari wetu wakiwa kwenye kutekeleza majukumu yao ya kazi za kulinda usalama wa raia na mali zao
Wananchi wapeni bunduki chache tu mjalibu kushindana nao muone kama mtatoka salama. Wanalingia silaha zilizo nunuliwa kwa kodi za wanyonge, na ndizo wanazo waulia. Tambua polisi hadi apondwe jiwe jua kuna jambo, Badala ya kulinda usalama wa raia na mali zake sasa polisi wanailinda ccm iendelee kubaki madarakani hata kwa kuua raia.

Polisi ccm hawana jipya kwa watanzania. Hao sio walinzi wa raia ila ni walinzi wa ma ccm na vyeo vyao.

Kuna usalama gani wa raia wanao ufanya na hali wao wenyewe ndo wamekuwa mstari wa mbele kuleta maafa kwa raia
 
Vitaga bhana hata kwenye uhai wa watu vinaleta ushabikik tu ilimradi mkono uende kinywani hasara sana
 
Wananchi wapeni bunduki chache tu mjalibu kushindana nao muone kama mtatoka salama. Wanalingia silaha zilizo nunuliwa kwa kodi za wanyonge, na ndizo wanazo waulia. Tambua polisi hadi apondwe jiwe jua kuna jambo, Badala ya kulinda usalama wa raia na mali zake sasa polisi wanailinda ccm iendelee kubaki madarakani hata kwa kuua raia.

Polisi ccm hawana jipya kwa watanzania. Hao sio walinzi wa raia ila ni walinzi wa ma ccm na vyeo vyao.

Kuna usalama gani wa raia wanao ufanya na hali wao wenyewe ndo wamekuwa mstari wa mbele kuleta maafa kwa raia
Upo sahihi Mheshimiwa ! Nakuunga mkono Kamanda .
 
Hakuna haja ya kuwa nao katika serikali moja hata wakitubu madhabauni. Labda wakubali uchaguzi urudiwe chini ya Tume huru. Vinginevyo ni ujinga mtupu. Na wengine tutastaafu kabisa hata kupiga kura.
Kwa kauli hizi ndo kuwe na SUK Zanzibar kweli...??

Hawa wanaowaomba wenzao wakae mezani kupatana, wanajitetea kwa kupalilia uongo na unafiki...

Wanakana kuwa hawakuua watu huku ukweli ukiwa tofauti...

Hawa polisi sijui wakoje tu?

Hivi kama waliweza kuwapiga, kuwatesa na kukaribia kuwaua viongozi waandamizi wawili wa ACT WAZALENDO Jussa Ismail Jussa na Mazrui, hao wananchi wa kawaida si watakuwa wamewatesa na kuwaua wengi tu kama panzi vile..??

Katika hali hii ya watu kuwa wanafiki na waongo, ni ngumu sana hawa watu (ACT WAZALENDO & CCM) kupatana na kufanya kazi pamoja unless UKWELI na UWAZI na kukiri makosa kutangulie mbele...!!
 
Uvunjifu wa amani, sheria na taratibu mfanye wenyewe then yakiwakuta lawama kwa vyombo vya dola

Mngelitii sheria, taratibu na mamlaka husika wala yasingewakuta

Ila mkiendelea na ubishi wenu, kiburi, makusudi, kuijaribu mamlaka yataendelea kuwakumba tuu
Ngoja siku yamkute ndugu yako ndio utaandika vizuri,akwilina akifanya kosa gani?
Wale wafanyabiashara wa madini kule mahenge na yule derev mwenzetu wa hapa sinza kijiweni anaitwa juma ndugu nao walifanya makosa gani?
Jibu kwanza hapo ili tuendelee
 
Zitto usisahau pia kuweka video na picha za vijana wakiwarushia mawe na kuwakata vichwa askari wetu wakiwa kwenye kutekeleza majukumu yao ya kazi za kulinda usalama wa raia na mali zao

Hakuna raia mjinga ataanza kupigana na polisi makini anaetekeleza majukumu yake kwa kufuata kanuni na sheria yule polisi aliekuwa akimwambia mbowe hawezi kushinda hata afanyaje ndio hao unaosema wanatekeleza majukumu yao?
 
Kufuatia kauli ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamanda Sirro kuhusu vifo na kuvunjwa kwa Haki za binaadam nimemuandikia Barua na kumkabidhi Taarifa yetu yenye idadi ya Watu waliokufa kwa majina yao na Picha, Watu walioteswa vituo vya Polisi, kutekwa na kushikiliwa kinyume cha Sheria.

Vile vile Taarifa yetu yote kwa Kiswahili na kwa Kiingereza tunaiweka kwenye tovuti ya Chama ili Kila mtu aweze kuisoma na kujionea ukatili mkubwa uliofanywa kwa Wananchi. Chama kitafanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa Uchunguzi unafanyika na hatua za kisheria kuchukuliwaView attachment 1631348
Safii sana Zitto damu ya wana wahadamu ni muhimu kushinda chochote kile
 
Sirro na Mabeyo ni watu wa hovyo sana waneyaacjia majeshi yetu kuwa vitengo vya CCM.
 
Kufuatia kauli ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamanda Sirro kuhusu vifo na kuvunjwa kwa Haki za binaadam nimemuandikia Barua na kumkabidhi Taarifa yetu yenye idadi ya Watu waliokufa kwa majina yao na Picha, Watu walioteswa vituo vya Polisi, kutekwa na kushikiliwa kinyume cha Sheria.

Vile vile Taarifa yetu yote kwa Kiswahili na kwa Kiingereza tunaiweka kwenye tovuti ya Chama ili Kila mtu aweze kuisoma na kujionea ukatili mkubwa uliofanywa kwa Wananchi. Chama kitafanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa Uchunguzi unafanyika na hatua za kisheria kuchukuliwaView attachment 1631348
Ubabaishaji tupu hapo. Unaweka uzushi unasema ushaidi hivi nyie wanasiasa wa Bongo nani kawaroga?
 
Kufuatia kauli ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamanda Sirro kuhusu vifo na kuvunjwa kwa Haki za binaadam nimemuandikia Barua na kumkabidhi Taarifa yetu yenye idadi ya Watu waliokufa kwa majina yao na Picha, Watu walioteswa vituo vya Polisi, kutekwa na kushikiliwa kinyume cha Sheria.

Vile vile Taarifa yetu yote kwa Kiswahili na kwa Kiingereza tunaiweka kwenye tovuti ya Chama ili Kila mtu aweze kuisoma na kujionea ukatili mkubwa uliofanywa kwa Wananchi. Chama kitafanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa Uchunguzi unafanyika na hatua za kisheria kuchukuliwaView attachment 1631348
Anatakiwa atoe maelezo Polisi yaandikwe ili yawe ushaidi mahakamani maana maelezo yake yatakuwa muongozo kwa waendesha mashitaka na DPP ikumbukwe picha na jina havithibitishi kifo bali Daktari, . Mwambieni asichanganye Sheria na Porojo za kisiasa. Wewe ukiwa ni shaidi ni lazima ukahojiwe polisi maelezo yako lazima yazingatie Sheria ya Ushaidi.
 
Zitto usisahau pia kuweka video na picha za vijana wakiwarushia mawe na kuwakata vichwa askari wetu wakiwa kwenye kutekeleza majukumu yao ya kazi za kulinda usalama wa raia na mali zao
Kwa jinsi ulivyoandika bila shaka ama hizo video na picha umeziona au ulishuhudia hivyo vitendo viovu vikifanyika. Badala ya kumtaka Zitto aweke huo ushahidi itakuwa vyema wewe ungeuweka humu au angalau ungetaja majina ya wale waliochinjwa na maeneo ambako vitendo hivi vilifanyika. Zitto ameweka ushahidi wa tuhuma zake basi na wewe tuwekee ushahidi wa zako.

Amandla...
 
kwa kuuwawa idadi hiyo huku wakiwa wanawaokoa Watanzania wote basi tuwape hongera Tanpo
 
Anatakiwa atoe maelezo Polisi yaandikwe ili yawe ushaidi mahakamani maana maelezo yake yatakuwa muongozo kwa waendesha mashitaka na DPP ikumbukwe picha na jina havithibitishi kifo bali Daktari, . Mwambieni asichanganye Sheria na Porojo za kisiasa. Wewe ukiwa ni shaidi ni lazima ukahojiwe polisi maelezo yako lazima yazingatie Sheria ya Ushaidi.
Kwa hiyo wale wote ambao wanazikwa bila daktari kuthibitisha kifo wanakuwa hawajafa?

Kumbuka tunajadili Maisha ya watu katika sheria sheria inatambua Mtu aliyekufa ni yule aliyethibitisha Daktari siyo uzushi hivyo basi ushaidi wake zito hauna mashiko maana ili wanasheria waamini aliyekufa ndiye aliyemtaja itabidi a oneshe kaburi maiti ifukuliwe kisha mabaki yapimwe DNA na Ndugu zake wathibitishe kwa kupimwa DNA kama kweli wana uhusiano na huyo ndugu pia hao ndugu wathibitishe tarehe ya kifo ili taarifa zioane kama kweli alikufa kwa kuuwawa na Polisi pia ithibitike wakati anauwawa ni uonevu na ukatili tu wa vyombo vya Ulinzi. Bila mashaka yoyote Zito kabwe hajafanya hivyo. Hivyo kaandiska uzushi anasema Ushaidi. Mwambienieni Hiyo ni Taaluma siyo Porojo ukiongelea Sheria acha propaganda manana hutafanikiwa
 
Kufuatia kauli ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamanda Sirro kuhusu vifo na kuvunjwa kwa Haki za binaadam nimemuandikia Barua na kumkabidhi Taarifa yetu yenye idadi ya Watu waliokufa kwa majina yao na Picha, Watu walioteswa vituo vya Polisi, kutekwa na kushikiliwa kinyume cha Sheria.

Vile vile Taarifa yetu yote kwa Kiswahili na kwa Kiingereza tunaiweka kwenye tovuti ya Chama ili Kila mtu aweze kuisoma na kujionea ukatili mkubwa uliofanywa kwa Wananchi. Chama kitafanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa Uchunguzi unafanyika na hatua za kisheria kuchukuliwaView attachment 1631348
Niliona hiyo press ya IGP. Ilikuwa ni upotoshaji mkubwa sana. Anadai watu walipanga kufanya uhalifu na kwamba siyo maandamano ya Amani. Anathibitisha usemi kwamba Polisi wa Tanzania hawana msamiati wa "maandamano ya Amani", kwao upinzani ni uhalifu. Maandamano, isipokuwa yale tu ya kusifu na kupongeza, angalau hata kuwalaani wapinzani, ehee hayo ni halali, mengine yote ni uhalifu. Mikutano ya wapinzani ni uhalifu.

Ni maonesho ya hali ya chini kabisa, yaliyonikumbusha enzi za IGP Omari Mahita, alipoonesha visu vilivyokamatwa na polisi, akidai ni shehena iliyoagizwa toka nje na chama cha CUF enzi hizo
 
Kumbuka tunajadili Maisha ya watu katika sheria sheria inatambua Mtu aliyekufa ni yule aliyethibitisha Daktari siyo uzushi hivyo basi ushaidi wake zito hauna mashiko maana ili wanasheria waamini aliyekufa ndiye aliyemtaja itabidi a oneshe kaburi maiti ifukuliwe kisha mabaki yapimwe DNA na Ndugu zake wathibitishe kwa kupimwa DNA kama kweli wana uhusiano na huyo ndugu pia hao ndugu wathibitishe tarehe ya kifo ili taarifa zioane kama kweli alikufa kwa kuuwawa na Polisi pia ithibitike wakati anauwawa hakuonewa bali Ni ukatili tu wa vyombo vya Ulinzi. Bila mashaka yoyote Zito kabwe hajafanya hivyo hivyo kaandiska uzushi anasema Ushaidi. Mwambienieni Hiyo ni Taaluma siyo Porojo ukiongelea Sheria acha propaganda manana hutafanikiwa
Kwani shida iko wapi??? Ndugu waliosafisha izo maiti na kuzika wapo. Nyie subiruni kwenda ICC tu
 
Kufuatia kauli ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamanda Sirro kuhusu vifo na kuvunjwa kwa Haki za binaadam nimemuandikia Barua na kumkabidhi Taarifa yetu yenye idadi ya Watu waliokufa kwa majina yao na Picha, Watu walioteswa vituo vya Polisi, kutekwa na kushikiliwa kinyume cha Sheria.

Vile vile Taarifa yetu yote kwa Kiswahili na kwa Kiingereza tunaiweka kwenye tovuti ya Chama ili Kila mtu aweze kuisoma na kujionea ukatili mkubwa uliofanywa kwa Wananchi. Chama kitafanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa Uchunguzi unafanyika na hatua za kisheria kuchukuliwaView attachment 1631348
Safi zito tena hii barua ni vizuri uka wa cc umoja wa ulaya, balozi za ulaya na marekani, pamoja na icc
 
Safi sana
Hakuna excuse hapo
Lengo la Press conference ya Sirro pamoja na kujaribu kuwater down tuhuma za mauaji na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu ilikuwa pia na lengo la kuwapa mabalozi wetu nje ya nchi takwimu feki zenye backup ya kitaasisi ili wakibanwa sana watoe taarifa feki kutoka kwenye mamlaka ili kupunguza munkari!

Zitto hapa kawaondolea karata muhimu ya kujitetea kuwa hawana taarifa!
Huna taarifa yoyote ni utopolo tu!
 
Kumbuka tunajadili Maisha ya watu katika sheria sheria inatambua Mtu aliyekufa ni yule aliyethibitisha Daktari siyo uzushi hivyo basi ushaidi wake zito hauna mashiko maana ili wanasheria waamini aliyekufa ndiye aliyemtaja itabidi a oneshe kaburi maiti ifukuliwe kisha mabaki yapimwe DNA na Ndugu zake wathibitishe kwa kupimwa DNA kama kweli wana uhusiano na huyo ndugu pia hao ndugu wathibitishe tarehe ya kifo ili taarifa zioane kama kweli alikufa kwa kuuwawa na Polisi pia ithibitike wakati anauwawa ni uonevu na ukatili tu wa vyombo vya Ulinzi. Bila mashaka yoyote Zito kabwe hajafanya hivyo. Hivyo kaandiska uzushi anasema Ushaidi. Mwambienieni Hiyo ni Taaluma siyo Porojo ukiongelea Sheria acha propaganda manana hutafanikiwa
Acha ubabaishaji, kama ni miili, ile ya kwenye viroba mbona serikali iligeuka bubu? Ushahidi upo wazi na Polisi wanajua. Hawakawiagi kutugeuka. Ya akwilina mwanzo walikiri. Walipoagizwa tofauti, wakafuta mashitaka dhidi ya polisi, wakawafungulia mashitaka kina Mbowe. Yaani ni uonevu uliopitiliza, halafu Magu analeta magumashi ya "kumtegemea Mungu ". Kashfa ilioje!
 
Back
Top Bottom