Zitto Kabwe amwandikia barua IGP Sirro

Zitto Kabwe amwandikia barua IGP Sirro

Zitto usisahau pia kuweka video na picha za vijana wakiwarushia mawe na kuwakata vichwa askari wetu wakiwa kwenye kutekeleza majukumu yao ya kazi za kulinda usalama wa raia na mali zao
Ukirushiwa mawe unaua?
 
Anatakiwa atoe maelezo Polisi yaandikwe ili yawe ushaidi mahakamani maana maelezo yake yatakuwa muongozo kwa waendesha mashitaka na DPP ikumbukwe picha na jina havithibitishi kifo bali Daktari, . Mwambieni asichanganye Sheria na Porojo za kisiasa. Wewe ukiwa ni shaidi ni lazima ukahojiwe polisi maelezo yako lazima yazingatie Sheria ya Ushaidi.

Ina tegemea na Mazingira yenyewe kama yaliruhusu hayo kufanyika Mkuu.
 
Kufuatia kauli ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamanda Sirro kuhusu vifo na kuvunjwa kwa Haki za binaadam nimemuandikia Barua na kumkabidhi Taarifa yetu yenye idadi ya Watu waliokufa kwa majina yao na Picha, Watu walioteswa vituo vya Polisi, kutekwa na kushikiliwa kinyume cha Sheria.

Vile vile Taarifa yetu yote kwa Kiswahili na kwa Kiingereza tunaiweka kwenye tovuti ya Chama ili Kila mtu aweze kuisoma na kujionea ukatili mkubwa uliofanywa kwa Wananchi. Chama kitafanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa Uchunguzi unafanyika na hatua za kisheria kuchukuliwaView attachment 1631348
Zito siyo Dakitari wa kuthibitisha kuwa vifo vimetokana na polisi.
 
Ukirushiwa mawe unaua?
Hata huko tuliojifunza ustaarabu kutoka kwao ukiingia kwenye anga za mlinda usalama na manati yako wanakulaza....jiwe likipata kichwani mbona uakufa tu! hiyo bajeti ya rubber bullets si bora tukanunua ARV!
 
Halafu kuna wajinga wanafurahia ushindi wa aina hii?!

Hii dunia siku hizi huwezi kufanya baya ukajificha, litajulikana na wewe kujulikana tu.
Bado una uchungu wa kuangukia pua. Utasubiri sana hadi uende kaburini.
 
Hata huko tuliojifunza ustaarabu kutoka kwao ukiingia kwenye anga za mlinda usalama na manati yako wanakulaza....jiwe likipata kichwani mbona uakufa tu! hiyo bajeti ya rubber bullets si bora tukanunua ARV!
Haya
 
1. Hayo maelezo ya kuhojiwa na kuandikwa.... Ndio hiyo taarifa aliyo mpelekea Siro

2. Huyo DPP na hao watuhumiwa wa mauaji wote ndio walewale... Upande wa CCM na sio ACT...

3. Kudhibitisha marehemu walikufa ktk mazingira yapi hiyo Ni kazi ya polisi sio ya Zitto... Japo polisi ndio watuhumiwa hivyo hawawezi kujichunguza... Na kutoa majibu ya kweli...

4. Usilete porojo za kisiasa wakati wapo waliopoteza ndugu zao kwa uonevu wa sababu za kisiasa...

Usijitoe akili kushabikia mauaji Ni heri ukae kimya..
Acha umbumbumbu wewe Mwanasiasa Uchwara maelezo ya shaidi yanaandikwa na polisi tena chini ya Tamko Rasmi/kiapo sasa wewe umejifungia pale kijitonyama kwenye kale kabaa cha kuuza kitimoto chenye rangi ya zambarau eti unasema ushaidi. Peleka taarifa Polisi iandikwe na Usain .Huwa mnafikiri Sheria ni Porojo.
 
Ina tegemea na Mazingira yenyewe kama yaliruhusu hayo kufanyika Mkuu.
Kifo lazima kithibitishwe siyo maneno ya Porojo. Kama unavyofahamu adhabu ya kuua ni kunyongwa sasa usifikirie kuwa kuna mtu atanyongwa kirahisi hivyo. Pia kumbuka kuwa kama watu waliuwawa Makaburi yapo hivyo kuprove kwa DNA inawezekana kuwa huyo aliyekufa ni nani Je ametaja makabur waliozikwai? Je amewataja ndugu zake ili DNA iprove, Je kifo hicho kilisababishwa na uonevu ?
 
IGP anapogeuka kuwa kama kina Polepole ni hatari kwa Taifa..

Safi Zito kuweka records sawa!!
 
Zitto usisahau pia kuweka video na picha za vijana wakiwarushia mawe na kuwakata vichwa askari wetu wakiwa kwenye kutekeleza majukumu yao ya kazi za kulinda usalama wa raia na mali zao
Weka hapa wewe uliyenazo kisha uwapelekee na akina Zero,matawi na vyama ndugu
 
Kifo lazima kithibitishwe siyo maneno ya Porojo. Kama unavyofahamu adhabu ya kuua ni kunyongwa sasa usifikirie kuwa kuna mtu atanyongwa kirahisi hivyo. Pia kumbuka kuwa kama watu waliuwawa Makaburi yapo hivyo kuprove kwa DNA inawezekana kuwa huyo aliyekufa ni nani Je ametaja makabur waliozikwai? Je amewataja ndugu zake ili DNA iprove, Je kifo hicho kilisababishwa na uonevu ?

Hiyo Ni kazi ya serikali ya CCM, na hawawezi kutoa taarifa za kujikaanga wenyewe...

Usitete mauaji... Mungu anakuona.
 
Acha ubabaishaji, kama ni miili, ile ya kwenye viroba mbona serikali iligeuka bubu? Ushahidi upo wazi na Polisi wanajua. Hawakawiagi kutugeuka. Ya akwilina mwanzo walikiri. Walipoagizwa tofauti, wakafuta mashitaka dhidi ya polisi, wakawafungulia mashitaka kina Mbowe. Yaani ni uonevu uliopitiliza, halafu Magu analeta magumashi ya "kumtegemea Mungu ". Kashfa ilioje!

Mungu sio wakumdhiaki au kupiga nae porojo... Malipo Ni hapahapa duniani...
 
Uvunjifu wa amani, sheria na taratibu mfanye wenyewe then yakiwakuta lawama kwa vyombo vya dola

Mngelitii sheria, taratibu na mamlaka husika wala yasingewakuta

Ila mkiendelea na ubishi wenu, kiburi, makusudi, kuijaribu mamlaka yataendelea kuwakumba tuu
Mkuu walivunja sheria zipi ambazo hazikuainishwa kwenye Katiba?
 
Kufuatia kauli ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamanda Sirro kuhusu vifo na kuvunjwa kwa Haki za binaadam nimemuandikia Barua na kumkabidhi Taarifa yetu yenye idadi ya Watu waliokufa kwa majina yao na Picha, Watu walioteswa vituo vya Polisi, kutekwa na kushikiliwa kinyume cha Sheria.

Vile vile Taarifa yetu yote kwa Kiswahili na kwa Kiingereza tunaiweka kwenye tovuti ya Chama ili Kila mtu aweze kuisoma na kujionea ukatili mkubwa uliofanywa kwa Wananchi. Chama kitafanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa Uchunguzi unafanyika na hatua za kisheria kuchukuliwaView attachment 1631348
Chama cha mfukoni kila mtu anaweza kuandika barua na kutumia electronic signature aibu kubwa katika zama hizi za uwazi. Zito umekosa Ubunge kwa sababu ya maslahi yako binafsi.
 
Chama cha mfukoni kila mtu anaweza kuandika barua na kutumia electronic signature aibu kubwa katika zama hizi za uwazi. Zito umekosa Ubunge kwa sababu ya maslahi yako binafsi.
Mwenyewe alijiona bora sana kuliko WATZ wengine sasa atajua nini maana ya Uzembe na Uzururaji. Mpuuzi sana eti sisi tuandamane kwa ubunge alioukosa yeye utafikiri tulikuwa tunagawana Posho za vikao
 
Sawa kabisa huu ukweli uwekwe kwenye tovuti ya chama kuondoa kabisa propaganda za IGP dhidi ya uhai wa nafsi za watu wasio hatia.
Akiweka uni tag , Hawa viongozi wanawaona nyie chadema nyumbu kuamini kila Aina ya uongo mnaolishwa.
Kila siku mnayoambiwa mnashangilia halafu hamna kinachotokea na kwa vile hamnazo hamkumbuki Jana mliambiwa Nini na hakikufanyika.
Eti nitaingiza watu barabarani
Mara màandamano bila kikomo
Hamjakaa sawa mbwatukaji kawakimbia kaenda kwa beberu lake Amsterdam na kuwaahidi mapambano huko aliko!
Juzi kataka maridhiano na JPM!
Mnaweweseka hamueleweki mnataka Nini.
 
Back
Top Bottom