Zitto Kabwe amwandikia barua IGP Sirro

Zitto Kabwe amwandikia barua IGP Sirro

Wapeleke hizo picha na majina ICC kama ushahidi
 
Ahsante Sana , Sana Mheshimiwa ZITTO KABWE ! Hakika , Wewe ni Kiongozi wa Watanzania . Na ndiye Kiongozi pekee uliyebaki hapa Nchini wa kutufariji Watanzania katika kipindi hiki kigumu Sana tunachopitia !!!
Watanzania gani anawafariji huyo aliyefukuzwa na Mbowe huko chadema kwa USALITI? Leo mnaona anawafariji nyumbu pingapinga Fc? Mbowe anakubaliana na wewe kwamba Zitto ndo mfariji wenu huko CHADEMA?
 
Mara paap website ya act haipatikani hadi kwa vpn...
 
Nyie watu mnajua Zitto anacheo gani huko wazalendo? Mimi najua hana cheo na uongozi haumuamini ndiyo maana hawajampa
 
Sawa kabisa huu ukweli uwekwe kwenye tovuti ya chama kuondoa kabisa propaganda za IGP dhidi ya uhai wa nafsi za watu wasio hatia.
Zitto Kabwe kwasababu amezoea kuishi kwa Kupiga dili, lazima atengeneze story. Atakusanya taarifa za Machafuko nchi Jirani, Waliopata ajali ya Magari, Ajali ya Moto n.k.
Tujikumbushe huyu mpuuzi anayeitwa Zitto Kabwe si aliitisha pess conference na kuutangazia umma kwamba Mpeta -Uvinza kuna Watu wameuliwa zaidi ya 300 huko Mpeta . Anakurupuka saaana
 
Back
Top Bottom