Zitto Kabwe amwandikia barua IGP Sirro

Zitto Kabwe amwandikia barua IGP Sirro

Kwani shida iko wapi??? Ndugu waliosafisha izo maiti na kuzika wapo. Nyie subiruni kwenda ICC tu
Acha utoto watu wanakufa kila siku na wanazikwa kila siku hivyo hoja yako dhaifu. Ujerumani Ni Chadema iliyochangamka
 
Safi zito tena hii barua ni vizuri uka wa cc umoja wa ulaya, balozi za ulaya na marekani, pamoja na icc
Unapoteza muda tu Ujerumani ni Chadema iliyochangamka na ndiyo waliozungumza kwenye bunge la Ulaya na hoja yao haijapita Marekani tumevunja IPTl, Downs hawana upendo wowote kwetu
 
Acha utoto watu wanakufa kila siku na wanazikwa kila siku hivyo hoja yako dhaifu. Ujerumani Ni Chadema iliyochangamka
Kwani shida iko wapi?? Nimekujibu mashahidi walioosha hiyo miili na kuivika sanda mpaka kuiswalia na kuizika wapo. Nyie subirini tu kwenda Icc!! Au mnaogopa???😂😂😂
 
Unapoteza muda tu Ujerumani ni Chadema iliyochangamka na ndiyo waliozungumza kwenye bunge la Ulaya na hoja yao haijapita Marekani tumevunja IPTl, Downs hawana upendo wowote kwetu
Kwani shida iyo wapi comredi??? Suala sio iptl wala sio downs ( kama ulivyoandika wewe kilaza😂😂😂), suala ni mmeua watu, kuwateka, kuwabambikia makesi au la ???

Icc is for sure, jiandaeni tu😂😂😂
 
Kufuatia kauli ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamanda Sirro kuhusu vifo na kuvunjwa kwa Haki za binaadam nimemuandikia Barua na kumkabidhi Taarifa yetu yenye idadi ya Watu waliokufa kwa majina yao na Picha, Watu walioteswa vituo vya Polisi, kutekwa na kushikiliwa kinyume cha Sheria.

Vile vile Taarifa yetu yote kwa Kiswahili na kwa Kiingereza tunaiweka kwenye tovuti ya Chama ili Kila mtu aweze kuisoma na kujionea ukatili mkubwa uliofanywa kwa Wananchi. Chama kitafanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa Uchunguzi unafanyika na hatua za kisheria kuchukuliwaView attachment 1631348
Safii
 
1. Anatakiwa atoe maelezo Polisi yaandikwe ili yawe ushaidi mahakamani......
2. muongozo kwa waendesha mashitaka na DPP......
3. Ikumbukwe picha na jina havithibitishi kifo bali Daktari 4. Mwambieni asichanganye Sheria na Porojo za kisiasa.....

1. Hayo maelezo ya kuhojiwa na kuandikwa.... Ndio hiyo taarifa aliyo mpelekea Siro

2. Huyo DPP na hao watuhumiwa wa mauaji wote ndio walewale... Upande wa CCM na sio ACT...

3. Kudhibitisha marehemu walikufa ktk mazingira yapi hiyo Ni kazi ya polisi sio ya Zitto... Japo polisi ndio watuhumiwa hivyo hawawezi kujichunguza... Na kutoa majibu ya kweli...

4. Usilete porojo za kisiasa wakati wapo waliopoteza ndugu zao kwa uonevu wa sababu za kisiasa...

Usijitoe akili kushabikia mauaji Ni heri ukae kimya..
 
Ahsante Sana , Sana Mheshimiwa ZITTO KABWE ! Hakika , Wewe ni Kiongozi wa Watanzania . Na ndiye Kiongozi pekee uliyebaki hapa Nchini wa kutufariji Watanzania katika kipindi hiki kigumu Sana tunachopitia !!!
Unapitia wew icho kipindi usitusemee na wengine,tunakula raha mstarehe .
 
Safi zito tena hii barua ni vizuri uka wa cc umoja wa ulaya, balozi za ulaya na marekani, pamoja na icc
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Utumwa wa jitu jeusi, ona ili kila jambo linadhan ulaya ndo wanalitatulia hata wao wana ya kwao yanawasumbua acheni ukolo..
 
Zito hu
Safi sana
Hakuna excuse hapo
Lengo la Press conference ya Sirro pamoja na kujaribu kuwater down tuhuma za mauaji na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu ilikuwa pia na lengo la kuwapa mabalozi wetu nje ya nchi takwimu feki zenye backup ya kitaasisi ili wakibanwa sana watoe taarifa feki kutoka kwenye mamlaka ili kupunguza munkari!

Zitto hapa kawaondolea karata muhimu ya kujitetea kuwa hawana taarifa!
Zito huyu aliyewahi kusema watu mia tatu waliuwawa kisha akakosa ushahidi?
Mi nadhani arudi chadema akaongopee huko,
Ni msaka tonge tu.

Na hiyo taarifa aweke ya kwao aliyotoa mwenyekiti wao kuwa wachukue mapanga na siraha zozote kisha wakaanza kukata watu, kuteka police, kumiliki mabomu zote aunganishe kwenye hiyo taarifa.
 
Zitto usisahau pia kuweka video na picha za vijana wakiwarushia mawe na kuwakata vichwa askari wetu wakiwa kwenye kutekeleza majukumu yao ya kazi za kulinda usalama wa raia na mali zao
kurushiwa mawe sio sababu ya kutosha kuua watu,wao wapo kulinda raia na si kuua raia, harafu nilisikia polisi alipoteza AK 45 bunduki kubwa ya kivita iliendaje kutumika kulinda usalama wakati wa uchaguzi, na vifaa vinginevya kijeshi kama ni kweli vilienda kufanya nini kulikuwa na vita huko au uchaguzi? siku hizi hawatumii tena rubber bullet kutuliza ghasia wanatumia risasi za moto kutuliza ghasia maajabu ya karne.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Utumwa wa jitu jeusi, ona ili kila jambo linadhan ulaya ndo wanalitatulia hata wao wana ya kwao yanawasumbua acheni ukolo..
Safari hii ubaya ubaya yaaani
 
Utakaa sana thread zako za juzi na jana. Please recall your threads au umeedit mkuu?
Share izo thread kama kuna sehemu nilisema tumewekewa vikwazo??? Umenichanganya mie na certified vilaza wenzako wa Lumumba nini???

Mie kiingereza kinapanda kweli sio kama mzee wenu na wasaidizi wake! Nikileta taarifa humu ujue ni ya uhakika
 
Share izo thread kama kuna sehemu nilisema tumewekewa vikwazo??? Umenichanganya mie na certified vilaza wenzako wa Lumumba nini???

Mie kiingereza kinapanda kweli sio kama mzee wenu na wasaidizi wake! Nikileta taarifa humu ujue ni ya uhakika
Kumbe kiingereza kinapanda mimi nilifikiri unakielewa kiingereza! Basi kiache kipande mpaka kifike kichwani uitwe slavery mentality!!
 
Back
Top Bottom