Zitto Kabwe alazwa hospitali

Zitto Kabwe alazwa hospitali

Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya mashirika ya umma na mbunge wa kigoma kaskazini mh. Zitto kabwe amelazwa katika hospital ya agakhan baada ya kuugua ghafla vyanzo mbalimbali vya habari vimeeleza anaumwa maradhi yasijulikana hivyo basi natumia fursa kumuombea dua apone na Mwenyezi Mungu ampe afya njema ili aweze kuendelea na majukumu yake ya ujenzi wa taifa.
Take care Magamba Kill squad at rampant!!
 
Mungu amsaidie Zitto apone haraka na kurejea katika afya yake kama kawaida
 
Get well soon Mh. Zitto!! hakika mimi na wapenda haki tunakutakia upone haraka na uendelee na harakati zako za kupambana na wezi wa nchi yetu!.
 
Tunakuombe upone haraka ili urejee kulitumikia Taifa kwa uaminifu as u always do.
 
Mitanzania ilivyo na akili fupi wataanza kusema amepewa sumu.
 
mwenye info zaidi amwage..
anaumwa nini????????

----------
UPDATES:
Taarifa toka hospitali zinadai anaendelea kuchekiwa, kichwa ndicho kinamsumbua na ana 'bacterial infection'

mkullo asije kuwa na mkono wake hapo!
 
Tumuombee apate nafuu soon na kurudi kwenye majukumu ya taifa. Get well soon bro!
 
Ka aota kake kalipopimwa kameonekana kapo imara sio kama kale ka Kolimba.
 
Back
Top Bottom