Wanaoshughulikia wenzao mbona tunawajua. Tunakwenda kwa rekodi mkuu. Anzia toka Kolimba hadi hawa wawili wa juzi walioko hospitali India - Mwakyemba na Mwandosya. Huenda hata kwa huyu mmeweka mkono wenu sasa mnataka kujiosha.
Kwa sasa tunamwombea kamanda Zitto apone haraka.
Naomba kujua kalazwa hospitali gani hapo Dar wakuu kwakua kesho nitakua safarini kwenda Dar es Salaam ili niweze kumtembelea mtetezi wa taifa hili.