Zitto Kabwe, Aden Rage laivu STAR TV

Zitto adai marando ana upeo mpana wa sheria na kwa vile hata mwana-CCM Kinana alimwamini na kutowaamini wana-CCM wenzake ndani ya bunge hilo ni vyema hata wana-CCM bungeni wakaiga mfano huo wa Kinana wa kuweka masilahi ya taifa mbele..............
 
Muda umeisha na Aden rage aahidi kutoa ushirikiano kwa wapinzani bungeni lakini siyo kwenye hili la Uspika......................................Mwisho mjadala umefungwa..........................shukrani wote
 
Back
Top Bottom