Zitto Kabwe aanza majukumu ya TCD

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,336
Mwanasiasa Zitto Kabwe ambaye hivi karibuni alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa jukwaa la demokrasia nchini (TCD) ameanza majukumu yake hayo kwa kukutana na kufanya mazungumzo na bwana John Mnyika Katibu Mkuu wa CHADEMA taifa.

Zitto Kabwe ameeleza dhamira yake ya kutumia jukwaa hilo kuleta maridhiano miongoni mwa watanzania

Chanzo: Zitto kabwe socially medias

 
Ofisi ya Katibu Mkuu wa CHADEMA imekaa kishamba sana! Ndo maana kumbe CHADEMA hamna mikakati ya maana! Nchi inaweza kuchukuliwa na watu wanaopanga mikakati katika mazingira ya kishamba namna hii!
Halafu na hiyo picha iliyowekwa kwenye frem ya pembetatu ina ashiria nini? Ni Freemason au?
Portrait speaks a thousand words! Chinese proverb!
Wanasiasa wa upinzani Tanzania wapuuzi sana! Angalia hata dress code zao! Zero kabisa!
Hawa ndo wapewe Nchi watuongoze! Mtasubiri sana!
 
Toa hoja ya maana,dress code kwani ni wanamitindo hawa?
 
Poor mind yaani we unawza ufreemason tuu,embu jitambue usiwe na akili mgando
 
Wewe ni mbavu mmoja usiyejitambua ni wa kupuuzwa. Hutumii akili yako japo kidogo, yaani wapinzani hawa mnaowachukua kwa gharama kubwa kina Nassari, kiba Mashonji, na wengine ambao ni wakuu wa Wilaya na mikoa na wengine ni mawaziri hivi sasa walitokea wapi? Wameelewa wapi? Sasahivi hawaongozi na siyo sehemu ya utawala? Watashindwa je kuongoza nchi wakati mnawawanunua? CCM hakuna watu?

Stupid! Wapinzani watashindwaje kuongoza nchi wakati wao ni sehemu ya serikali kwa sasa wamebeba tu kadi za CCM. Hawa kina Silinde kina Gekulu, kina Kitila Mkumbo wamekua upinzani etii.
 
Wanaelewa basi vyura hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…