Zitto kabwe 2020 kurudi Bungeni ni ndoto

Wewe piga kelele Zitto alikuwa jimboni juzi na balozi wa China wana mpango wa kujenga kiwanda cha samaki na cha kusindika mawese.
Wewe wasikitikie wabunge wako akina Lisu,Mdee na Kubenea ambao hawajafanya chochote kwenye majimbo yao tangu wachaguliwe .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu,kama una mpango wa kugombea tena ubunge mwaka wa 2020, basi inakupasa ujitathimini upya vinginevyo wewe mwenyewe hutarudi Bungeni na chama chako pia hakitapata mbunge hata mmoja.

Unaonekana huna msimamo na zaidi unaonekana kutaka kudhoofisha wapinzani kwa faida ya watu fulani huku ukijiita mpinzani.Hakika hii itakugharimu sana kisiasa.

Usisahau mkoa unaotaka upinzani una nguvu na unakubalika na ulikubalika kwa wananchi wengi kwasababu ulikuwa upinzani na si vinginevyo.

Tambua tu kwa hali ilivyo hivi sasa on the ground, kuna watu/chama unachopaswa kujitenga nacho kabisa vinginevyo hakuna mtu mwenye kujitambua atakaekuelewa.

2020 kuna chama wabunge wake watapukutika kama majani ya mti yanavyopukutika wakati wa kiangazi na wewe usipokuwa makini utapukutika pia.

Akili ya kuambiwa.......
Kwani kwa sasa ni mbunge wa CHADEMA au CCM? kama akili zako zinavyokutuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
~~~>>>>Nina wasiwasi 2020 ACT itakuwa ndio kwaheri........ Sioni harakati za kukikuza chama ......
 
Ndugu,kama una mpango wa kugombea tena ubunge mwaka wa 2020, basi inakupasa ujitathimini upya vinginevyo wewe mwenyewe hutarudi Bungeni na chama chako pia hakitapata mbunge hata mmoja.

Unaonekana huna msimamo na zaidi unaonekana kutaka kudhoofisha wapinzani kwa faida ya watu fulani huku ukijiita mpinzani.Hakika hii itakugharimu sana kisiasa.

Usisahau mkoa unaotaka upinzani una nguvu na unakubalika na ulikubalika kwa wananchi wengi kwasababu ulikuwa upinzani na si vinginevyo.

Tambua tu kwa hali ilivyo hivi sasa on the ground, kuna watu/chama unachopaswa kujitenga nacho kabisa vinginevyo hakuna mtu mwenye kujitambua atakaekuelewa.

2020 kuna chama wabunge wake watapukutika kama majani ya mti yanavyopukutika wakati wa kiangazi na wewe usipokuwa makini utapukutika pia.

Akili ya kuambiwa.......
Umezidisha mahaba kwa lisu hadi unaboa. Kumpinga tu lisu et ndo asirudi bungeni hahahahahaha. Unajua anachokifanya saiz zito huko jimbon kwake?

sent from kitochi using jamii forum
 
Back
Top Bottom