Zitto kabwe 2020 kurudi Bungeni ni ndoto

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Ndugu,kama una mpango wa kugombea tena ubunge mwaka wa 2020, basi inakupasa ujitathimini upya vinginevyo wewe mwenyewe hutarudi Bungeni na chama chako pia hakitapata mbunge hata mmoja.

Unaonekana huna msimamo na zaidi unaonekana kutaka kudhoofisha wapinzani kwa faida ya watu fulani huku ukijiita mpinzani.Hakika hii itakugharimu sana kisiasa.

Usisahau mkoa unaotaka upinzani una nguvu na unakubalika na ulikubalika kwa wananchi wengi kwasababu ulikuwa upinzani na si vinginevyo.

Tambua tu kwa hali ilivyo hivi sasa on the ground, kuna watu/chama unachopaswa kujitenga nacho kabisa vinginevyo hakuna mtu mwenye kujitambua atakaekuelewa.

2020 kuna chama wabunge wake watapukutika kama majani ya mti yanavyopukutika wakati wa kiangazi na wewe usipokuwa makini utapukutika pia.

Akili ya kuambiwa.......
 
Anaweza kurudi kwa katiba hii , labda tuifanyie katiba yetu tohara. Tambua Zitto ni mwana kitengo.
 
Ndugu,kama una mpango wa kugombea tena ubunge mwaka wa 2020, basi inakupasa ujitathimini upya vinginevyo wewe mwenyewe hutarudi Bungeni na chama chako pia hakitapata mbunge hata mmoja.

Unaonekana huna msimamo na zaidi unaonekana kutaka kudhoofisha wapinzani kwa faida ya watu fulani huku ukijiita mpinzani.Hakika hii itakugharimu sana kisiasa.

Usisahau mkoa unaotaka upinzani una nguvu na unakubalika na ulikubalika kwa wananchi wengi kwasababu ulikuwa upinzani na si vinginevyo.

Tambua tu kwa hali ilivyo hivi sasa on the ground, kuna watu/chama unachopaswa kujitenga nacho kabisa vinginevyo hakuna mtu mwenye kujitambua atakaekuelewa.

2020 kuna chama wabunge wake watapukutika kama majani ya mti yanavyopukutika wakati wa kiangazi na wewe usipokuwa makini utapukutika pia.

Akili ya kuambiwa.......
chadema kwa zitto kabwe ni mnajitekenya na kucheka wenyewe,,,, sasa huyo asilimia mia moja anarudi bungeni kwa facts hiz yupo makini na jimbo lake na sio mjinga kupelekwa na siasa za mihemko,, na pia asaport ujinga eti kisa upinzani mlitamka huyu hutumia maarifa yake na busara katika mambo ya umuhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri huu ungempa Mdee au Kubenea ungekuwa umefanya la maana sana. Njia pekee ya Mdee kushinda Kawe ni kuruhusu viroba na bangi bure mtaani.
 
Tatizo wana chadema mkiambiwa ukweli mnaanza kuleta siasa za maji taka oo ccm b,tundulisu ndo namashaka ana asilimia chache sana za kurudi bungeni
chadema kwa zitto kabwe ni mnajitekenya na kucheka wenyewe,,,, sasa huyo asilimia mia moja anarudi bungeni kwa facts hiz yupo makini na jimbo lake na sio mjinga kupelekwa na siasa za mihemko,, na pia asaport ujinga eti kisa upinzani mlitamka huyu hutumia maarifa yake na busara katika mambo ya umuhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu,kama una mpango wa kugombea tena ubunge mwaka wa 2020, basi inakupasa ujitathimini upya vinginevyo wewe mwenyewe hutarudi Bungeni na chama chako pia hakitapata mbunge hata mmoja.

Unaonekana huna msimamo na zaidi unaonekana kutaka kudhoofisha wapinzani kwa faida ya watu fulani huku ukijiita mpinzani.Hakika hii itakugharimu sana kisiasa.

Usisahau mkoa unaotaka upinzani una nguvu na unakubalika na ulikubalika kwa wananchi wengi kwasababu ulikuwa upinzani na si vinginevyo.

Tambua tu kwa hali ilivyo hivi sasa on the ground, kuna watu/chama unachopaswa kujitenga nacho kabisa vinginevyo hakuna mtu mwenye kujitambua atakaekuelewa.

2020 kuna chama wabunge wake watapukutika kama majani ya mti yanavyopukutika wakati wa kiangazi na wewe usipokuwa makini utapukutika pia.

Akili ya kuambiwa.......
Mlisema uchaguzi uliopita hatopata, bahati mbaya akawaburuza vizuri tu

Mbunge wa chadema ambaye angalao anaweza kupata huruma ya wananchi na kurejeshwa mjengoni ni Mwita Waitara wa ukonga fullstop!
 
Back
Top Bottom