The Prophet
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 682
- 94
Ushahidi wa uovu wa Zitto dhidi ya wananchi wa Tanzania ingawa ni wa kimazingiza lakini is overwhelming.Zitto ni ndumi la kuwili.Zitto amenunuliwa na mafisadi, no question about it.Anaye bisha ni kipofu.Kwanza huyu anayemtetea Zitto katumwa na nani?
mimi ni ndumilakuwili mara mbili. aliyetoa mada naunga mkono hoja; wanaompinga naunga mkono hoja; kwa kuwa wote hawana ushahidi wa yale wanayoyasema au kuyawaza juu ya zitto.
lakini huyu zitto.....
ngoja kwanza unabii wa kugeuza Kigoma kuwa Dubai utimie au ufulie. nita-comment kuhusu zitto. kwa sasa nabaki kujiuliza juu ya hawa wanaokuja na hoja za mkoa wa kipolisi wa kigoma. kama kigoma inakuwa dubai, otomatikale polisi watataka wakafanye kazi huko ili wakale pepo.