Kwa hiyo hajaongelea lolote kuhusiana na kauli ya AG na Lukuvi? And this is our Zitto, jamani!Kabwe Zitto amemaliza punde kuongea Bungeni akilia na suala la elimu ambapo amependekeza shule za VETA ziunganishwe na kambi za JKT ili vijana wanaomaliza huko watoke na elimu zitakazowasaidia moja kwa moja katika maisha kwa faida yao na nchi na akasisitiza walimu wathaminiwe! Wakati wa kumalizia hoja yake amemnukuu mwanasiasa na mpigania haki wa India hayati Indira Ghandi, ambapo Naibu Spika Ndugai amemsifu jinsi alivyomalizia hoja yake kwa nukuu hiyo! (sijainyaka vyema hiyo nukuu).
Kabwe Zitto amemaliza punde kuongea Bungeni akilia na suala la elimu ambapo amependekeza shule za VETA ziunganishwe na kambi za JKT ili vijana wanaomaliza huko watoke na elimu zitakazowasaidia moja kwa moja katika maisha kwa faida yao na nchi na akasisitiza walimu wathaminiwe! Wakati wa kumalizia hoja yake amemnukuu mwanasiasa na mpigania haki wa India hayati Indira Ghandi, ambapo Naibu Spika Ndugai amemsifu jinsi alivyomalizia hoja yake kwa nukuu hiyo! (sijainyaka vyema hiyo nukuu).
Kwa hiyo hajaongelea lolote kuhusiana na kauli ya AG na Lukuvi? And this is our Zitto, jamani!
So what,mbona kaongea kawaida tu,by the way haraka ya nini,kukimbilia kupost wakati huna uhakika na unachokipost,ushabiki mwingine kero sana
tafuta hiyo nukuu na uilete hapaKabwe Zitto amemaliza punde kuongea Bungeni akilia na suala la elimu ambapo amependekeza shule za VETA ziunganishwe na kambi za JKT ili vijana wanaomaliza huko watoke na elimu zitakazowasaidia moja kwa moja katika maisha kwa faida yao na nchi na akasisitiza walimu wathaminiwe! Wakati wa kumalizia hoja yake amemnukuu mwanasiasa na mpigania haki wa India hayati Indira Ghandi, ambapo Naibu Spika Ndugai amemsifu jinsi alivyomalizia hoja yake kwa nukuu hiyo! (sijainyaka vyema hiyo nukuu).
wanasiasa wana "nerves of steel" mimi nisingekuwa na nguvu hata ya kutoka nje kwa wiki nzima!!!
Hazina ya Tanzania, kijana mwenye Busara pekee katika chama cha Wachaga.
siku hizi kila anachofanya zitto lazma watu waandi. Hata akijamba lazma watu wakimbilie jf kuandika kwamba wamemsikia zitto anajamba
tafuta hiyo nukuu na uilete hapa
teh teh,kushinda hata chama cha wapemba?Hazina ya Tanzania, kijana mwenye Busara pekee katika chama cha Wachaga.