Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,009
- 74,643
Hiyo nukuu yake inahusiana nini na hoja aliyotoa kuhusiana na elimu? Hata imfanye naibu spika amsifie? Mwenye akili amemtambua Zitto anataka kumaanisha nini ila kaleta kimipasho pasho vitu ambavyo ndio vinamwangusha kwa watn makini. Hana tofauti na JK, kiongozi makini hama mipasho yeye anakuwa straight bila blabla.