Zitto Bungeni Akilia na Elimu!

K-Boko

JF-Expert Member
Aug 3, 2013
697
218
Kabwe Zitto amemaliza punde kuongea Bungeni akilia na suala la elimu ambapo amependekeza shule za VETA ziunganishwe na kambi za JKT ili vijana wanaomaliza huko watoke na elimu zitakazowasaidia moja kwa moja katika maisha kwa faida yao na nchi na akasisitiza walimu wathaminiwe! Wakati wa kumalizia hoja yake amemnukuu mwanasiasa na mpigania haki wa India hayati Indira Ghandi, ambapo Naibu Spika Ndugai amemsifu jinsi alivyomalizia hoja yake kwa nukuu hiyo! (sijainyaka vyema hiyo nukuu). Nimeshainyaka nukuu yenyewe: "First they ignore you, then they laugh at you, then they fight you, then you win" (Thanks Jabulani!).
 
Kabwe Zitto amemaliza punde kuongea Bungeni akilia na suala la elimu ambapo amependekeza shule za VETA ziunganishwe na kambi za JKT ili vijana wanaomaliza huko watoke na elimu zitakazowasaidia moja kwa moja katika maisha kwa faida yao na nchi na akasisitiza walimu wathaminiwe! Wakati wa kumalizia hoja yake amemnukuu mwanasiasa na mpigania haki wa India hayati Indira Ghandi, ambapo Naibu Spika Ndugai amemsifu jinsi alivyomalizia hoja yake kwa nukuu hiyo! (sijainyaka vyema hiyo nukuu).
Kwa hiyo hajaongelea lolote kuhusiana na kauli ya AG na Lukuvi? And this is our Zitto, jamani!
 
Amemaliza kwa kusema "they will laugh at you,then they will fit you then you win" mwisho wa kunukuu.
 
So what,mbona kaongea kawaida tu,by the way haraka ya nini,kukimbilia kupost wakati huna uhakika na unachokipost,ushabiki mwingine kero sana
 
Kwa hiyo hajaongelea lolote kuhusiana na kauli ya AG na Lukuvi? And this is our Zitto, jamani!

Zitto hawezi kuthubutu kuongea kuhusu AG. Zitto wa ajabu kweli.... yaani hana hata jina la Andrew Chenge ambaye wote tunajua kaficha fedha nje
 
So what,mbona kaongea kawaida tu,by the way haraka ya nini,kukimbilia kupost wakati huna uhakika na unachokipost,ushabiki mwingine kero sana

Usijitahidi kufanana sana na jina lako! Maana hao hukurupuka sana wanapofumwa na mbwa vichakani!! Hoja imewekwa na ndiyo inayo-matter! Kama we huioni hoja wengine wataiona na watajadili vilevile, ushabiki uko wapi hapo!!?
 
Kabwe Zitto amemaliza punde kuongea Bungeni akilia na suala la elimu ambapo amependekeza shule za VETA ziunganishwe na kambi za JKT ili vijana wanaomaliza huko watoke na elimu zitakazowasaidia moja kwa moja katika maisha kwa faida yao na nchi na akasisitiza walimu wathaminiwe! Wakati wa kumalizia hoja yake amemnukuu mwanasiasa na mpigania haki wa India hayati Indira Ghandi, ambapo Naibu Spika Ndugai amemsifu jinsi alivyomalizia hoja yake kwa nukuu hiyo! (sijainyaka vyema hiyo nukuu).
tafuta hiyo nukuu na uilete hapa
 
siku hizi kila anachofanya zitto lazma watu waandi. Hata akijamba lazma watu wakimbilie jf kuandika kwamba wamemsikia zitto anajamba
 
wanasiasa wana "nerves of steel" mimi nisingekuwa na nguvu hata ya kutoka nje kwa wiki nzima!!!

Yeye mwenyewe alishasema tusimwamini mwanasiasa yeyote, ikijumuisha yeye mwenyewe. Siasa zina wenyewe na inataka moyo sana mkuu.
 
Huyu jamaa pamoja na kutetewa na miccm amekuwa
hovyo kama pit latrin. Wanaomsifu wamejeuka mende wa hiyo pitlatrine. No use of a thing.
 
Hoja aliyoongelea Zitto kuhusu Veta ina mashiko ya Msingi sana ukiacha kando mambya Siasa za kibongo bongo!
 
mafisadi wa ccm wameungana na mafisadi wa chadema ili kuzima hoja ya zitto kuhusu mabilioni ya uswisi
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom