Kumbe picha wanazo post ni za kuchakachua?
Mimi naamini huyu bwana Mdogo atapata aibu kubwa siku za usoni nahii nifundisho kwa wanasiasa wanaoweka mbele matumboyao huku wakidhani Watanzania waleo niwale wa miaka ya 90.Ngoja nahuo Ubunge aukose kabisa hapa kigoma ndio ajue kwamba haikuwa kwa Kabourou tu
Cdm tunatafuta kutawala,act ndio mnajijenga kwa watu ili wawajue
Huyu amekosa sera anaona aongelee chadema, kwanini asiongelee chama ambacho yeye ni mungu
watu mnavyo viwanda vya uongo balaa. nawewe unatofauti gani na mafisadi. mimi nilikuwepo mbona hilo sikuliona? wewe tu ndio ulikuwa kwenye huo mkutano?. ukweli ni kwamba mkutano wa zotto leo ulifana na haijawahi pata tokea. kijana anakipawa kikubwa cha kupendwa.
The A.yatollah Pontiff Zitto would now have his ego stroke by tye masses and dance like a prima donna ballerina
Mshaurini zzk akagombee afisa mtendaji
Akirudi bungeni nitavaa pampasi siku ya kuapishwa kwake!
umepanicKiwanda cha kutengeneza uongo.
"Alikuwa akielezea kuhusu CAG,:mara watu wakasema usiseme kuhusu CDM!!! " CAG siku hizi kawa wa CDM?