umesahau Edward Lowasa ambaye alifukuzwa uwazir mkuu kwa sababu ya WiziUkweli ni kwamba Zitto amewataja mafisadi wa mabilioni ya Uswiss, kwa kutumia busara yeye kama mbunge. Upande wa jeshi, fedha kwenye account za nje za viongozi hutolewa wakati wa manunuzi ya silaha na vifaa vya jeshi. Upande wa mafuta, makampuni ya mafuta hutozwa kiwango kidogo kulipia serikalini "exploration blocks" wanazopewa, kwa masharti kwamba waweke fedha kwenye account za nje za viongozi wa serikali ambao majina yao kampuni hizo hupewa.
Kwa kifupi basi, hizi hela zimeibiwa toka serikalini.Tusimlaumu Zitto kwa kutotaja majina, na sie tumsaidie kumalizia, kwani ameshatutafunia kila kitu. Hebu malizia, mie naanza;
1. Mawaziri Wakuu, 2003-2010; Sumaye, Lowasa
2. Mawaziri wa Nishati na Madini - 2003-2010; Ngeleja,
3. Mawaziri Wizara wa Ulinzi 2003-2010;
4. Mkurugenzi Mkuu wa (TPDC) 2003-2010; Yona Kilagane
5. Wenyeviti wa Bodi ya TPDC - 2003 - 2010;
6. Makatibu Mkuu wa Wizara ya Nishati 2003-2010; Patrick Rutabanzibwa,
7. Makatibu Mkuu Wizara ya Ulinzi 2003-2010;
8. Wakuu wa Majeshi, 2003-2010; Mboma,
9. Makamishna wa Nishati 2003-2010; Victus, Mlindoko,
10. Wanasheria wa serikali, 2003-2010; Chenge,
11. Wajumbe wa Board ya TPDC, 2003-2010;
Source: Gazeti la Mwananchi, 9/11/2012: Kichwa cha habari; HOJA YA ZITTO YAIBUA MAJADALA MKALI,WABUNGE CCM WAIUNGA MKONO
Kama kweli hizo pesa zipo huko ughaibuni sheria zinasemaje? Za kitaifa na kimataifa? Huyu Membe atujuze hela za nani na kwa nini ziko huko. Kwani benki zetu zimejaa? Kwani kuna dhambi kujua kila mtanzania ana sh ngapi benki? Ukweli na uwazi uko wapi?
[h=3]VIONGOZI WAPYA WA UV-CCM WALIVYOPOKELEWA KWA VIBOKO NA NGUMI[/h]kama jana mliangalia bunge jioni kuhusu viongoz wa nchi yetu walioficha pesa nje ya nchi,kuna mbunge alisema imefika wakati watanzania washtuke wanapoona mbunge kila siku anatoa mamamillion kwenye kuchangia mambo mbalimbali,alidiriki kusema kwamba hiyo ni pesa chafu ambayo inatumika kujisaficha na skendo za richmond na epa.
alisema kwamba angekua yeye anawajua angewataja live pia akasema yeye ni mtaalamu wa kudetect pesa zilipofichwa na anacho kifaa maalumu hivo kama wamechimbia ndani ya nyumba kuficha pesa atawaumbua.
aliwaambia wabunge wenzake kwamba majimbo yao hayana maji,umeme,barabara,na maisha mabovu ni kwa sababu ya pesa ambazo zimefichwa uswisi na nchi nyingine za ulaya,uarabuni na america.
ninachokiona mimi ni kuwa viongozi wengi walioiba pesa wanajipendekeza sana kwa watu wa dini sababu wameshajua udhaifu wa viongozi wetu wa dini wa kupenda pesa na udanganywa sana na pesa wanazopewa na kusahau kuoji mambo ya msingi na tuhuma wanazousika nazo
jaman pesa ambazo zimefichwa ni pesa nyingi sana asa ukizingatia nchi yetu ni maskini sana,hivo usiwe upepo wa kupita,tunatozwa kodi nyingi sana na uwa zikipanda kila mwaka,na pesa ambazo zinafichwa zinavunja raia moyo wa kulipa kodi.
naomba wananchi wote bila kujali chama tukomae tuwajue walioficha na pesa zirejeshwe tanzania kwa maendeleo ya vizazi vijavyo
Hapa hatuhitaji sheria nyingi kama unavyodhani! Tufanye kama china tu! ikidhihirika umeiba ni "kitanzi tu!!" sio kutumia myanya ya sheria kuiba hela zetu, kisa vifungu kumbe mwizi!! Colombia pia wanakukita tu!! halafu baki na sheria zako!Hizo pesa hata CDM wakichukua nchi hawawezi kuzirudisha labda sheria ya uswis wazibadilishe au hao jamaa waamue kuzitoa wenyewe.
Someni hiyo:
Banking law of 1934
The Swiss Parliament passed the Banking Law of 1934, which codified the rules of secrecy and criminalizes violation of it. The secrecy provisions were not included in the first draft of the law, which mainly concerned administrative matters such as bank supervision. The provisions, found in Article 47(b), were added before passage of the bill due to Nazi authorities' attempts to investigate the assets of Jews and "enemies of the state" held in Switzerland.
Source:wekipedia
Haya mambo ya kuhisihisi nayo si mazuri.zitto anatumiwa na membe hapa..for the right cause though..he has my support
Hofu yangu ni kwamba kama hizo document bado hajashare na mtu, basi usalama wake unaweza kuwa hatarini sana. Najua hao walio mbioni kutajwa ni watu wenye influence kubwa kwenye majeshi ya nchi na hata usalama wa taifa. Kwahiyo hawashindwi kumfanya chochote, na bado wakawa na imani kwamba litapita kama upepo. Kwa upande mwingine naona kama kwa usalama wake Zito alipaswa kuyataja hayo majina. Kwa kutokutaja amejiweka pabaya zaidi kiusalama.Kwenye hili la mapesa ya uswisi nimeona Mh.Zitto akiwa makini japo serikali ya CCm haiwezi kukubali kuumbuka na kwakweli tuna safari ndefu ili kuifikia Tanzania tuitakayo.......!!!!Big up mh.Zitto na upinzani bungeni.
Hizo pesa hata CDM wakichukua nchi hawawezi kuzirudisha labda sheria ya uswis wazibadilishe au hao jamaa waamue kuzitoa wenyewe.
Someni hiyo:
Banking law of 1934
The Swiss Parliament passed the Banking Law of 1934, which codified the rules of secrecy and criminalizes violation of it. The secrecy provisions were not included in the first draft of the law, which mainly concerned administrative matters such as bank supervision. The provisions, found in Article 47(b), were added before passage of the bill due to Nazi authorities' attempts to investigate the assets of Jews and "enemies of the state" held in Switzerland.
Source:wekipedia
Hakuna uhusiano na Hoja binafsi ya Zittto!! jipange sawasawa!!Sawa Zitto ila fanya kama kuwafungua macho waTZ usifanye kama karata ya kutaka urais. Hii kutaka taka urais inatuboa sana.
huyo ni mbunge wa jimbo la mwimbara, jina limenitoka.
jamaa alikuwa anaongea km yupo kijiweni tu au kwenye baa.
eti ana kifaa cha kugundua pesa iliyochimbiwa chini!!!!!
mi mpaka awataje, maana kasema anawajua, kwa nini asaidiwe? baada ya yeye kutaja wengine wanaofahamu wanaweza kuongezea au kurekebisha. kuongea bila evidence inaweza ikawa ni technic ya kuwin akili za watu, aonekane shupavu na anafaaa kuwa kiongozi. baadae wenzenu wakikutana wanakula tano- umejiongezea point, na kumbe hata hakuna issue ya namna hiyo. awataje na ikiwezekana atoe more details, tutaamini
umesahau Edward Lowasa ambaye alifukuzwa uwazir mkuu kwa sababu ya Wizi
Usifikiri it is that simple. Am sure ingekuwa rahisi hivyo kuwataja tusingekuwa huku sasa hivi.
Bt the funny part people like you and me tumekaa nyuma ya desktop zetu laptops zetu kwenye TV tunalalama mbona Zito hawataji, anawaogopa, anataka uraisi. What have you and me done kusiaidia kuiokoa nchi hii kwenye mambo kama haya. Mi nashangaa sana watu kama Zito na other whistle blowers they do all the hardwork (wanatuletea vitu mpka kwenye doorsteps zetu) (meremeta,Richmond,mabilioni uswizi,Jairo nk) vyote hivi tunaona bungeni vinavyozimwa sisi tupo tu tunaishia kulalamika tu.
Hizo inchi tunazopenda kutolea mfano kama Benchmark (Marekani, UK) usifikiri wemefika hapo kwa kulalamika tu.. They took steps and they made sure wakilalamika viongozi wao feel nguvu yao.
Viongozio wao wanapo resign sio kwasababu wana uzalendo sana, au kweli wanajutia. Noo because wananchi wao walitengenrza culture ya lazima uwajibike kwa njia yoyote either kwa sheria au nguvu ya public (wata make sure hawakuchagui tena au wataandamana au chochote kile)
Thus Serikali Wabunge wanafanya wanavyofanya kwasababu they know whats our price.
Story ya Riz1 na unga China.Jason Bourne ni HOAX kama story ya Temeke watu kugandana.