Zitto atua Igunga CCM wazidi kuweweseka

dah kwa kweli nimefuatilia hizi kampeni za Igunga lakini nimegundua zimepwaya sana coz zimekosa Pumba na Porojo, toka kwa katibu mkuu wa zamanai wa Magamba mzee Yusuph Makamba...teh teh uko wapi Zumbe uende kuokoa MV Spice ''CCM'' inazama huko

Ndugu Watanzania,

Napenda kuchukua nafasi hii kuwaasa kuwa walioko Igunga watumie busara kubwa katika kutafuta kura. Chadema msikubali kuchafua CV yenu kwwa sababu za watu wachache wajinga wanaowatia vishawishi. Nawapongeza kwa kumkamata DC, kazi yenu kubwa iwe kukamata bila kupiga wala kukwaruza mahali. Kamata, piga picha, chukua movie, pelekea polisi kwa taratibu zingine japo najua zimwi likujualo....

Lakini nimesikitishwa sana na baadhi ya kauli za viongozi wetu. Imenisitikisha zaidi hasa kwa huyu anayeitwa sijui Kiravu sijui nani. Lugha aliyotumia yeye kujibu tuhuma za Chadema yeye ndo anaonekana MHUNI zaidi kuliko Chadema. Chadema hawakuwa na jinsi, lazima kilichotokea kingetokea tu maana wao wako kazini na wanajua utaratibu wa kampeni unasema nini wakati mikutano ya hadhara inaendelea. Lazima vijana wapate jazba kutokana na historia ya CCM. Sisi tuseme wao kule Igunga walikuwa na hasira lakini kiravu kwenye majibu yake alikuwa kwenye kiti chake.

Kiravu katika lugha ya maadili amekosa adabu, hana staha, amekosa heshima na kauli yake ya kuwaita Chadema wahuni asifikiri anamwita mtu mmoja au chama ajue anawaita watanzania zaidi ya milioni 2 na nusu waliokipa Chadema kura na rais wake. Viiongozi walioko serikalini wajifunze yanatokea Libya. Ghaddafi hakujua kama atatoka kwenye siagi-Kiravu acha jazba, yatakuja kukutokea puani. Kiravu na wenzako jitahidi kusoma alama za nyakati-mwisho wako unakuja, CCM haitaongoza milele, wala Rais Kikwete hatarudi tena kuwa Rais.

Namwambia Kiravu kuwa vijana waliomkata DC siyo wahuni, ni wasomi wana Degree zao tena siyo moja mbili na wengine zaidi, wamepigika na wanajua wanachokifanya. Asidharau dharua tu akifikiri serikali itamlinda, ajifunze yanayowatokea kina Chenge, Lowassa, Rostam, Ballal, Karamagi, Msabaha, na wengineo. Kiravu acha kiburi kwenye kiti ulichokalia, TENDA HAKI Mungu atakupigania. CCM siyo ALFA na OMEGA, mwisho wake unaweza kufika saa na wakati usiojua, siyo lazima 2015, hata kesho watanzania wakiamua wote mtaenda mafichoni.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU TUBARIKI SOTE TUNAOPIGANIA HAKI ZA WANYONGE.

Asanteni sana kwa kunisoma!

wewe inasungumsa msuli mkuu.
Wasongela sana

pambaf! acheni unafiki wenu nyie wachaga wa cdm,sio ninyi mnaomuona zitto msaliti wa chadema mpaka huwa mnashambulia kama paka mwizi? linapokuja swala la kuwasaidia wachaga kuchukua 'inji' au jimbo zitto anakuwa msafi na,lakini ndani ya chadema akitaka uongozi mnamtungia kashfa za kijinga,unafiki na upumbav mkiongozwa na yule mnafiki waaaaahed kubenea na kijarida chake cha mwanahalisi,mfano mzuri hii issue ya juzi mliyoileta hapa majuzi ya yeye kusaidiwa na BARRICK,hata slaa ole wake asije kufkiria kuwa mwenyekiti wa chadema! hakyamungu mtasema katumwa na anatumiwa,zitto,slaa,lwakatare na wote mliokimbilia huko mnatumiwa,utadhani mna macho yasiyoona,masikio yasoskia,bongo zisizozingatia! poleni vilaza wa chadema nchini kote
Tatizo umeongea mengi kwa jazba haitasaidia kitu andika upya ukiwa umetulia.

Mngejua kuwa ccm wanavyomwogopa zitto, wakati mwingine msinge mbeza hata kidogo baadala yake mngemshauri vizuri.

dah kwa kweli nimefuatilia hizi kampeni za Igunga lakini nimegundua zimepwaya sana coz zimekosa Pumba na Porojo, toka kwa katibu mkuu wa zamanai wa Magamba mzee Yusuph Makamba...teh teh uko wapi Zumbe uende kuokoa MV Spice ''CCM'' inazama huko
hahahaha na mwingine (NAPE) kapigwa stop kufika igunga labda aende kwenye shughuli zake binafsi...

Naomba Mungu afungue ufahamu wanaIgunga siku ya kupiga kura wasirubuniwe na shetani

Ana ushawishi mkubwa sana!
Jaribu kusikiliza speech zake
Anakushawishi wewe na watoto wenu vilaza,unaposema "CV" yake una maanisha nn hasa, SIASA?SHULE,Kwa shule hawezi kujifananisha na mimi hata kwa robo, cheki shule alizoma HANDENI SECONDARY Mie Ilboru SecondaryUniversity sijui ndo kasoma wapi, Mie UDSM, tena Degree Program kali coz nilichana paper fresh form six na si kwa kukariri bali kwa kueuelwa,haya yote nimeyadhihirish University na kazi ninayofanya kwa sasa,January hana lolote zaid ya kupata Backup ya Babaake na Mkwe.re,Hamna kitu pale

January ana hoja gan za msing zaid ya kuwa mnafik tu,tatizo yupo ktk chama ambacho ukwel kwao ni mwiko,may b next time atakapokuja kwetu tutawatumia vijana kama zitto kumnoa,lakin kwa sasa bado kabisa

Wadau

CCM baada ya kupata taarifa ya kuwa kijana machachari ZTTO ZUBERI KABWE mwenye uwezo wa kujenga hoja na kushawishi watu ametua igunga jana wameamu kupeleka vilaza wao wengine Janaury Makamba na mukama ili kujarbu kunusuhuru hali mbaya wanayoipata kutokana na kasi kali ya CHADEMA.

CCM hawana chao tena igunga tunasubiria km wana ubavu wakamvue chenge na lowasa ili tukabebe tena majimbo yao.

hii nsito nayo imekua nsuri, si waliikataa wakasema ni ya jk

Lema yuko wanapambana na Lowasa kutafuta diwani huko Moduli...

Mkuu hii habari ni njema alieeko eneo la tukio atupe kinachoendelea huko.

zito malizia kazi ni imeenda swadkita Igunga.

[h=2].
icon1.png
Re: Zitto atua Igunga CCM wazidi kuweweseka

quote_icon.png
By Kalunguine
pambaf! acheni unafiki wenu nyie wachaga wa cdm,sio ninyi mnaomuona zitto msaliti wa chadema mpaka huwa mnashambulia kama paka mwizi? linapokuja swala la kuwasaidia wachaga kuchukua 'inji' au jimbo zitto anakuwa msafi na,lakini ndani ya chadema akitaka uongozi mnamtungia kashfa za kijinga,unafiki na upumbav mkiongozwa na yule mnafiki waaaaahed kubenea na kijarida chake cha mwanahalisi,mfano mzuri hii issue ya juzi mliyoileta hapa majuzi ya yeye kusaidiwa na BARRICK,hata slaa ole wake asije kufkiria kuwa mwenyekiti wa chadema! hakyamungu mtasema katumwa na anatumiwa,zitto,slaa,lwakatare na wote mliokimbilia huko mnatumiwa,utadhani mna macho yasiyoona,masikio yasoskia,bongo zisizozingatia! poleni vilaza wa chadema nchini kote

Tatizo umeongea mengi kwa jazba haitasaidia kitu andika upya ukiwa umetulia​

inasema sawa​

[/h]

Similar Discussions

Back
Top Bottom