Wanaenda kuvuna aibu na fedheha lakini yote siasa...

unakubali ku2mika 2... Kwa posho ya NEPI, Ondoka uko wataku2mia na mwisho watakumwagia tindikali..

Wanaenda kuvuna aibu na fedheha lakini yote siasa...
Mbowe na Halima mdee wazima mkuu?
Mkuu kama ni cv atanishinda kwa kubebwa na baba yake,nasema hivi kama sio baba yake kumsafishia njia asingejaribu kuwa hapo alipo,endelea kupigia debe watoto wa washua na kamshahara kako ka manispaa
Wewe kakojoe ulale, usingizi unakusumbua!asiyejua kuwa nzitto ni sisiemu anyooshe kidole...asiyejua kuwa zitto kaenda ingunga kumsafishia njia mrithi wa rostam aseme suuuuuu...
Umeongea vizur..kuna tunaoona mbali na nyie ambao upeo wenu ni mdogo sana..mnaona tu hapo mlipoNajua lazima tuwe na binadamu kama ww Rejao!!maana hata science inadhihirisha hilo ili kufanya mambo yaende kati ya jamii flani lazima viumbe mtofautiane!!la sivyo "competition for resources will be high"lakini naimani ukweli unaujua.Ni utoto tu ukikua utaacha.
Hahaha...kweli wewe kilaza!Anakushawishi wewe na watoto wenu vilaza,unaposema "CV" yake una maanisha nn hasa, SIASA?SHULE,Kwa shule hawezi kujifananisha na mimi hata kwa robo, cheki shule alizoma HANDENI SECONDARY Mie Ilboru SecondaryUniversity sijui ndo kasoma wapi, Mie UDSM, tena Degree Program kali coz nilichana paper fresh form six na si kwa kukariri bali kwa kueuelwa,haya yote nimeyadhihirish University na kazi ninayofanya kwa sasa,January hana lolote zaid ya kupata Backup ya Babaake na Mkwe.re,Hamna kitu pale
Mnyika ana uwezo kuliko wana CDM yote..kwa simple mathematics..all CDM suppoterz=1mnyika!Bado mdee > myika > lissu...watu wachukue jimbo.
Ana ushawishi mkubwa sana!
Jaribu kusikiliza speech zake
Kama kawaida ya wanachadema...mnaishia kuongea lugha zisizo na maana! Poleni kwa maumivu mnayopewa na CCMRejao aliyekwambia unafanya kibarua manispaa hakukosea. Huwezi kuwa mzima unakaandika masaburi namna hii.
Kama kawaida ya wanachadema...mnaishia kuongea lugha zisizo na maana! Poleni kwa maumivu mnayopewa na CCM
Pole sana mkuu..Wewe ni binadamu gani huoni Maumivu hayo? Pamoja na ujambazi wote wanaoufanya wewe huyaoni? Kalagabaho

Ndugu Watanzania,

Napenda kuchukua nafasi hii kuwaasa kuwa walioko Igunga watumie busara kubwa katika kutafuta kura. Chadema msikubali kuchafua CV yenu kwwa sababu za watu wachache wajinga wanaowatia vishawishi. Nawapongeza kwa kumkamata DC, kazi yenu kubwa iwe kukamata bila kupiga wala kukwaruza mahali. Kamata, piga picha, chukua movie, pelekea polisi kwa taratibu zingine japo najua zimwi likujualo....

Lakini nimesikitishwa sana na baadhi ya kauli za viongozi wetu. Imenisitikisha zaidi hasa kwa huyu anayeitwa sijui Kiravu sijui nani. Lugha aliyotumia yeye kujibu tuhuma za Chadema yeye ndo anaonekana MHUNI zaidi kuliko Chadema. Chadema hawakuwa na jinsi, lazima kilichotokea kingetokea tu maana wao wako kazini na wanajua utaratibu wa kampeni unasema nini wakati mikutano ya hadhara inaendelea. Lazima vijana wapate jazba kutokana na historia ya CCM. Sisi tuseme wao kule Igunga walikuwa na hasira lakini kiravu kwenye majibu yake alikuwa kwenye kiti chake.

Kiravu katika lugha ya maadili amekosa adabu, hana staha, amekosa heshima na kauli yake ya kuwaita Chadema wahuni asifikiri anamwita mtu mmoja au chama ajue anawaita watanzania zaidi ya milioni 2 na nusu waliokipa Chadema kura na rais wake. Viiongozi walioko serikalini wajifunze yanatokea Libya. Ghaddafi hakujua kama atatoka kwenye siagi-Kiravu acha jazba, yatakuja kukutokea puani. Kiravu na wenzako jitahidi kusoma alama za nyakati-mwisho wako unakuja, CCM haitaongoza milele, wala Rais Kikwete hatarudi tena kuwa Rais.

Namwambia Kiravu kuwa vijana waliomkata DC siyo wahuni, ni wasomi wana Degree zao tena siyo moja mbili na wengine zaidi, wamepigika na wanajua wanachokifanya. Asidharau dharua tu akifikiri serikali itamlinda, ajifunze yanayowatokea kina Chenge, Lowassa, Rostam, Ballal, Karamagi, Msabaha, na wengineo. Kiravu acha kiburi kwenye kiti ulichokalia, TENDA HAKI Mungu atakupigania. CCM siyo ALFA na OMEGA, mwisho wake unaweza kufika saa na wakati usiojua, siyo lazima 2015, hata kesho watanzania wakiamua wote mtaenda mafichoni.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU TUBARIKI SOTE TUNAOPIGANIA HAKI ZA WANYONGE.

Asanteni sana kwa kunisoma!

pambaf! acheni unafiki wenu nyie wachaga wa cdm,sio ninyi mnaomuona zitto msaliti wa chadema mpaka huwa mnashambulia kama paka mwizi? linapokuja swala la kuwasaidia wachaga kuchukua 'inji' au jimbo zitto anakuwa msafi na,lakini ndani ya chadema akitaka uongozi mnamtungia kashfa za kijinga,unafiki na upumbav mkiongozwa na yule mnafiki waaaaahed kubenea na kijarida chake cha mwanahalisi,mfano mzuri hii issue ya juzi mliyoileta hapa majuzi ya yeye kusaidiwa na BARRICK,hata slaa ole wake asije kufkiria kuwa mwenyekiti wa chadema! hakyamungu mtasema katumwa na anatumiwa,zitto,slaa,lwakatare na wote mliokimbilia huko mnatumiwa,utadhani mna macho yasiyoona,masikio yasoskia,bongo zisizozingatia! poleni vilaza wa chadema nchini kote

Zitto can not hold candle to January's virtuosity, he don't even come close to. He has many things to learn from an international relations whizz.