Zitto athibitisha CHADEMA kupoteza Igunga

Status
Not open for further replies.
We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition

Zitto amekuwa siku zote hana direction anaweza kuwageuka muda wowote
sijaona mantiki ya kuandika kwenye ukurasa wake wa twitter

"We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition"

Siku zote huwa simuamini bado ana mambo ya kipandikizi pandikizi

Pumbavu! wavisingizio vya kijinga wewe.
 
nina mashaka kuwa kile alichoandika zitto hujakielewa. Si unajua mambo ya lugha za watu tena. Huyu kijana zitto ni mzandiki mkubwa, huyu ndo tatizo hapo chadema

Kwa mwendo huo wa kutafuta vingizio mtaendelea kupoteza kila siku
 
Zitto ni mwanachama na kiongozi wa chadema kama walivyowengine. Matokeo aliyotoa ni ya kwake na si ya chama, ndio maana alitumia akaunti yake na si ya chama.
 
Matusi hayasaidii kubadili matokeo Igunga, CDM tumieni akiri na uelewa, mambo huwa hayaendi mtakavyo nyny yanaenda kwa kufuata taratibu, kanuni na sheria. kama umeshindwa umeshindwa tu, jipangeni huu sio mwsho wa uchaguzi kubalini matokeo hakuna namna nyngne.
 
We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition Zitto amekuwa siku zote hana direction anaweza kuwageuka muda wowote sijaona mantiki ya kuandika kwenye ukurasa wake wa twitter "We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition" Siku zote huwa simuamini bado ana mambo ya kipandikizi pandikizi
Mmeanza kumuandama Zitto wa watu kwa makosa yenu.
 
Matusi hayasaidii kubadili matokeo Igunga, CDM tumieni akiri na uelewa, mambo huwa hayaendi mtakavyo nyny yanaenda kwa kufuata taratibu, kanuni na sheria. kama umeshindwa umeshindwa tu, jipangeni huu sio mwsho wa uchaguzi kubalini matokeo hakuna namna nyngne.

kwahiyo zito kafuata utaratibu upi kutangaza chadema kushindwa.
 
facebook au twitter? kwani hii mitandao ni rasmi? kama si rasmi sasa kosa lake li wapi?
 
CCM wakishinda wamechakachua. Lakini CHADEMA wakishinda eti wameshinda kihalali. Huo ndio utumwa wa wa mawazo ya selfshness. Ilivyo ni kuwa wapenzi wengi wa CHADEMA wanadhani kuwa wote wale wasiokuwa CHADEMA eti ni wajinga na hawana akili. CHADEMA kina mwelekeo wa ufashisti. Ni chama hatari sana kwa amani siyo tu kwa Tanzania bali kwa dunia nzima.
 
Kushindwa kwa CHADEMA ni aibu kwa magazeti kama MTANZANIA, TANZANIA DAIMA na lile la Kenya la MWANANCHI.
 
Sasa mambo yako wazi kwamba CCM imeshinda Igunga baada ya upande wa pili yaani Chadema kukiri hivyo. Hayo yamesemwa na Zitto katika ukurasa wake wa Twitter ameandika hivi:

We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition.

Follow the link: Twitter
Lakini Zitto huyo huyo amneendelea kusema akimwambia J. Makamba:- You lost an election. Don't give excuses. Look within your party. You can't win through thuggery, militarism and grievance. Duh!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom