zittokabwe Zitto Zuberi Kabwe @
@Irenei2011 hali imerudi kuwa shwari
26 minutes ago
»
zittokabwe Zitto Zuberi Kabwe @
@MariaSTsehai haina shida
@jmakamba @islam66 iwekwe hapa
57 minutes ago
»
zittokabwe Zitto Zuberi Kabwe @
@JMakamba I have the letter with me nitakupa
@islam66 @mariastsehai
1 hour ago
»
zittokabwe Zitto Zuberi Kabwe @
@JMakamba walikuwa wanapita kwenda halmashauri. Vijana wenu wakawavamia
1 hour ago
»
zittokabwe Zitto Zuberi Kabwe
@omarilyas vijana wa chadema walikuwa wanakusanyika katika ofisi na kambi ya chadema kupata maelezo ya viongozi. Polisi wamekuja kusambaza
1 hour ago
»
zittokabwe Zitto Zuberi Kabwe
Polisi wanarusha mabomu kusambaza wafuasi wa chadema ambao wamekusanyika hapa kambini kwetu kusikiliza viongozi
1 hour ago
»
zittokabwe Zitto Zuberi Kabwe
Duh yanapigwa mabomu kila mtu hoi machozi tu. Tumo hapa kambini kwetu Planetel Hotel ni machozi tu
1 hour ago
»
zittokabwe Zitto Zuberi Kabwe
Mabomu yanapigwa. Hali mbaya sana
1 hour ago
»
zittokabwe Zitto Zuberi Kabwe @
@shurufu irregularities nyingi sana
1 hour ago
»
zittokabwe Zitto Zuberi Kabwe @
@Mwanakili90 kuna vurugu zatokea.
1 hour ago
»
zittokabwe Zitto Zuberi Kabwe @
@chiefezra our count gives us 45% and ccm 49%. Irregularities are mountanious
1 hour ago
»
zittokabwe Zitto Zuberi Kabwe @
@matokeo taarifa rasmi bado.
1 hour ago
»
zittokabwe Zitto Zuberi Kabwe @
@BetsonBrighton tunakubalika sana vijijini. Tatizo ni turnout. Watu wajue umuhimu wa kura na wasiuuze shahada. Low turnout imetuua
1 hour ago
»
zittokabwe Zitto Zuberi Kabwe @
@SueMbise matokeo yetu tuliyojumlisha
2 hours ago