Zitto athibitisha CHADEMA kupoteza Igunga

Status
Not open for further replies.
CHADEMA is a loosing party> If it doesn't change strategy; this is going be to the trend. Shame on them
 
Genious wa Vingunguti,
Pro-CDM JF mimi wengi washikaji siwezi kuleta dharau zozote.
Najua kabisa CDM wameshindwa Igunga, nikiamua kuleta kejeli humu patachafuka, ndio maana toka juzi nimekuwa msomaji tu badala ya kuchangia.
Najua saizi watu wapo kwenye hali gani sipendi niwadhiaki nawaheshimu sana washikaji zangu, wengi uwa tunapigana madogo lakini sio kwenye ili suala la Igunga.
Umesikia wewe dogo wa Vingunguti[/QUO Nani alikuambia mimi wa vingunguti, jiangalie utaishia ku hisi hivyohivyo kama mjombaako marehemu wa magomeni, wengine hatuko nchini
 
sasa mh. zitto kama mnajua tayari mmekwisha shindwa kwenye uchaguzi kwa nini msiwatulize wafuasi wenu na kuwaeleza ukweli ili watawanyike?badala yake mnawaacha na matumaini ya ushindi, wanafanya fujo, na wengine watapata vilema vya maisha for nothing!! why? mnaniboa sana cdm na ndiyo maana hamtakuja kushika nchi hii kamwe! ccm itatawala milele, mtaandamana mpaka na miti yote lakini wapi hakuna kitu!
 
acha fitna asubuhi asubuhi hii wewe!!
nina mashaka kuwa kile alichoandika zitto hujakielewa. Si unajua mambo ya lugha za watu tena. Huyu kijana zitto ni mzandiki mkubwa, huyu ndo tatizo hapo chadema
 
Zitto amekanusha amesema they have not conceded and they‘re thinking about petitioning!

Na saivi huko igunga ni mabomu tu yanapigwa!
 
CHADEMA is a loosing party> If it doesn't change strategy; this is going be to the trend. Shame on them

acha mawazo mgando wewe......................

otherwise, hujui ulisemalo........!!!!!!!
 
Ushindi sio watu ni strategy. CHADEMA mko very poor kwenye strategy !

Nadhan strategy ni pamoja na nilizosema. Sasa wewe kwa chama ambacho hakikuwa na mgombea uchaguzi uliopita na mgombea wa ccm RA alipata almost 80% leo hii chama hichohicho wapipa kura walewale wanagombea ushindi bado unaona hiyo sio strategy? Basi utakuwa wa ajabu sana kama hauwez kutambua hilo. Nadhan tuongee facts na sio ushabiki hata kama ccm imeshinda.
 
Zitto naona siku hizi kaikimbia JF, mvuto wa JF unazidi kupungua.
Uzushi umeongezeka unashindwa kujua upi ukweli na uongo.

Mvuto gani ujazidi kupungua ilihali watu walikuwa wwamejazana hapa JF jana kutwa nzima usiku kucha?

Zitto anayo haki ya kuja Jf ama kwenda kwenye mtandao mwingine wowote lakini JF itabakia pale pale.

Hapa ni mtakuja, wanakuja wanaondoka na kurudi tena.
 
Ushindi sio watu ni strategy. CHADEMA mko very poor kwenye strategy !
Naamini inawezekana umewasaidia ili wakati ujao wakuprove wrong. Pia wanapaswa kuhakikisha moto waliouwasha wakati wa kampeni wanauendeleza kwa kufungua matawi mengi na kuandikisha wanachama ili wawe na watu huko wakati wote, sio kusubiri wakati wa uchaguzi tu.
 
Ukweli ni kwamba Chadema watashinda 2015. Kwanza kazi ya kwanza ni kufungua matawi nchi nzima, pili kuwa na TV, radio na gazeti la chama, tatu ni kuhamasisha uchaguzi wa serikali za mitaa, nne ni kuwahamasisha vijana kujiandikisha uchaguzi ujao. I am sure vijana wengi watajiandikisha na watapiga kura na hawa wazee wengi watakuwa wamepungua sana
 
Inauma sana lakin its okey. Tulipata watu wengi kwenye mikutano yetu lakin haijawa riziki. Nina hakika ule umati weng wao hawakuwa wanejiandikisha ila nao inawauma pia next time watajiandikisha kwa hasira mana wametambua lilipo tatizo. Pamoja na hayo ni maendeleo makubwa kutoka kutokuwa na mgombe previous election 10 months ago leo hii tulizaniwa kushinda inatia moyo. Tujipange vizur na wakati wa kujiandikisha tuwahamasishe watu wajitokeze kwa wingi nadhan hiyo ndo solution ya msing. Then chama kiendelee kutoa elimu ya uraia. Na kwa kuwa Tbc imegeuka Tbccm ni vema chama kikaanzisha Tv station mapema. Inatia uchungu sana kukosa kwa jinsi watu walivyotuamin wakaonyesha mwitikio mkubwa. GOD BLESS CHADEMA. Viva forever
Tatizo lenu nyie hamjui maisha ya kijijini, mkutano wowote ndio Starehe zao, uwe wa kidini au siasa. Kuliko kukaa nyumbani unazuba halafu mnada hakuna si bora uende kwenye mkutano ukasikilize mziki. Na uzuri zaidi kwenye mikutano ya kisiasa siku zote kuna zawadi. Hili wanalijua CCM lakini naona CDM bado.
 
Ukweli ni kwamba Chadema watashinda 2015. Kwanza kazi ya kwanza ni kufungua matawi nchi nzima, pili kuwa na TV, radio na gazeti la chama, tatu ni kuhamasisha uchaguzi wa serikali za mitaa, nne ni kuwahamasisha vijana kujiandikisha uchaguzi ujao. I am sure vijana wengi watajiandikisha na watapiga kura na hawa wazee wengi watakuwa wamepungua sana
waongeze waislam kweye high table yao.
 
Ukweli ni kwamba Chadema watashinda 2015. Kwanza kazi ya kwanza ni kufungua matawi nchi nzima, pili kuwa na TV, radio na gazeti la chama, tatu ni kuhamasisha uchaguzi wa serikali za mitaa, nne ni kuwahamasisha vijana kujiandikisha uchaguzi ujao. I am sure vijana wengi watajiandikisha na watapiga kura na hawa wazee wengi watakuwa wamepungua sana

kizazi cha kuanzia 80's lazma kilete mabadiliko, hili halikwepeki.
 
Genious wa Vingunguti,
Pro-CDM JF mimi wengi washikaji siwezi kuleta dharau zozote.
Najua kabisa CDM wameshindwa Igunga, nikiamua kuleta kejeli humu patachafuka, ndio maana toka juzi nimekuwa msomaji tu badala ya kuchangia.
Najua saizi watu wapo kwenye hali gani sipendi niwadhiaki nawaheshimu sana washikaji zangu, wengi uwa tunapigana madogo lakini sio kwenye ili suala la Igunga.
Umesikia wewe dogo wa Vingunguti[/QUO Nani alikuambia mimi wa vingunguti, jiangalie utaishia ku hisi hivyohivyo kama mjombaako marehemu wa magomeni, wengine hatuko nchini

Mbona unalilia dogo wa Vingunguti!
Vumilia wewe mbona unaniita majina mengi tu mimi nipo kimya. Ukiamua kumshambuli Ritz akianza kurudisha usilie, hata kama upo wapi wewe ni Genious wa Vingunguti
 
jamani kwa taarifa kutoka Igunga magamba waliingiza kura feki na masanduku yameondolewa hivyo mpaka sanduku la mwisho CDM wanaongoza kwa kura 2800 maana kulibakia kata 4 ndizo zimetoa hiyo real data
 
twitter Ndo nini wajameni.. tupashane basi au ndio TUME MPYA!!.. na huyo Zito kabwa ndo nani vile.. au Kiravu flaN..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom