Zitto athibitisha CHADEMA kupoteza Igunga

Status
Not open for further replies.
Misimamo ya Zitto naikubali sana. Keep this up! My prayer are with you.
 
mtu yeyote anaweza kuregister kwa jina la mtu so chanzo chako sio rasmi
 
Huyu zitto naona Sasa anatafuta umaarufu ndani ya CCM namna hii...amenunuliwa tayari huyu kijana.. kuna maana gani ya kukipaka matope chama chako kwenye twita kwa kusema kwamba wewe kama naibu katibu unaona CCM imeshinmda ila chama chako hakijakuli kinataka kwenda mahakamani... hii siyo kauli ya kutolewa na kiongozi wa juu baada tu ya uchaguzi mdogo muhimu kama ulivyokua wa igunga. huyu jamaa muangalieni sana..
 
hata mimi naweza kutengeneza ya Zitto_Kabwe@ nikatoa matokeo yangu ya igunga - achenu kushabikia vitu bila kufikiri.
 
Ngoja hili kundi la watu wa sio jua kusoma na kuandika litoweke nchini na vijijini wapate access ya infs ndipo 2takapo jua nani ana strategies nzuri!
 
Kwani Zitto ni nani? JF haipo kwa ajili ya kiumbe mmoja tu, ina maana hata wewe hapa uwepo wako hauna maana ni hadi pale unapomuona Zitto? kaazi kweli kweli
Zitto naona siku hizi kaikimbia JF, mvuto wa JF unazidi kupungua.
Uzushi umeongezeka unashindwa kujua upi ukweli na uongo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom