Zitto ataja mawaziri mizigo

Zitto ataja mawaziri mizigo

Suala la ardhi limeangamizwa na rushwa.Namshauri waziri amuombe Rais aweke agenda ya ardhi katika kikao kijacho cha baraza la mawaziri,ili azimio liandaliwe mahsusi kuhamisha mamlaka kutoka serikali za mitaa na kurejeshwa serikali kuu.Na maamuzi yote ya ugawaji wa ardhi yasimame mara moja ili iandaliwe policy itakayo elekeza nguvu zake kwenye equity,transparency ,integrity na accountability.Hapa tuna tatizo la ardhi kwa wafugaji na wakulima,ardhi kwa ajili ya makazi,ardhi kwa ajili ya uwekezaji mkubwa ,wa kati na mdogo pamoja na ardhi kwa ajili ya uhifadhi wa mazingira na Mali ya asili.Tumesomesha watanzania wengi sana hapo Chuo cha ardhi na wengine wapo vyuoni hadi hivi Sasa.Ina maana wote hao hakuna kitu kichwani hadi tufikie hapa tulipo Sasa?Ushauri wangu tena,serikali iandae kongamano kubwa pale ardhi university,tupate mawazo ya watanzania wengi,yafanyike kazi mara moja katika kuandaa policy yenye muelekeo niliotaja hapo mwana..Nawasilisha.

Tatizo kubwa halipo kwenye output kutoka Ardhi University. Ushauri wa kitaalamu mara nyingi hauzingatiwi, mfano Shivji alitoa mapendekezo mazuri sana lakini tume yake ilipuuzwa na serikali, Prof. Tibaijuka (akiwa chairperson akishirikiana na Prof. F Kaijage) mwenyewe akiwa UDSM waliandika paper nzuri kwenye Land Tenure Study Group (1995) lakini serikali haikutilia maanani ushauri wao. Mara nyingi matatizo ya Ardhi yamesababishwa na kukosekana kwa uwajibikaji au rushwa.
 
Ukweli unauma nakuuuunga mkono na mguu pia Fikirikwanza mama kachemka raisi alikuwa na imani nae lakini bilabila.
Angalia alivyokurupuka pale jengo lilipodondoka kisutu eti katoa siku 30 avunje au watavunja wao mpaka leo bilabila duh usomi mwingine wa nashaka sana.
 
Matatizo yapo tena ya msingi, lakini inawezekana unayaaddress sehemu isiyo husika. Swala la bei kwa mjini haliwezi kuepukika. Kwa mfano sheria inakutaka udevelop eneo lako ndani ya miezi 36. Sasa kama utashindwa kununua kiwanja kwa milioni 2 hivi kweli wewe unaweza kujenga ndani ya miezi 36? Tatizo la ulanguzi wa viwanja nadhani tukianza kutumia teknolojia ya Land Information Systems tutaweza kubaini kirahisi nani anahujumu. Mimi nadhani tutumie muda mwingi kutafuta suluhisho la tatizo na sio kulalamika.
Utajua tatizo bila jamii kulalamika??? unatafuta majibu mepesi, kama teknolojia ije kubadilisha watu tabia waache wizi na ufisadi wa ardhi wawe waaminifu. Hakuna kitu kama hicho teknolojia itazungukwa tu maana imetengenezwa na binadamu hawa hawa ambao ni wezi. Tuweke mifumo ambayo itazuia mtu kujilimbikizia mali, nimetoa mfano tu ardhi haiuzwi full stop kama ulipata kiwanja huna uwezo wa kujenga, au hutaki unarejesha serikalini anapewa mtu mwingine na wewe unapewa senti zako ulizolipa wakati wa kuchukua kiwanja, maana sio tumekunyanga umeshindwa mwenyewe. Ni marifuku mtu kuuza ardhi, utaona kujilimbikizia viwanja inakufa yenyewe. hiyo ni sehemu moja. Ziadi nitakuja tena kama itahitajika, kiwanja ni 40x40 hapo tunahitaji nini hatujui umuhimu wa kiwanja vikubwa??? mbona mawaziri wote wako kwenye viwanja vikubwa, nani apewe ulimi wa kiwanja???? kwanini??? matabaka umasikini wake??? anapewa 20x20 kwa vile hata iweje hawezi kupata mali zaidi??? kama anaweza kupata zaidi je itabidi tena atafute kiwanja kingine akizipata??? tufikirie nje ya boksi.
 
Sera ya Ardhi lini??? au ndo kila mtu anasubiri muda uishi aseme alikimbiza kijiti??? wengine waendeleee
 
Huyu mama ni mla rushwaa.....!!!
Vipi lile gorofa alilo sema livunjwa ndani ya 30,limesha vunjwa..??????au kachukua pesa za kwenda kuwapikia wa haya pilau......!!!
 
Samahani mama,swali langu jukumu lako nn wizarani?vp kuhusu moto wa vwnja vya wazi umizimkia wapi?tupe ujasiri wa waliovamia fukwe na kuziba mikondo ya mito kwa mjengo na viwanda.na tuende wapi tukihitaji´kudhulumiwa au kuvunjiwa makazi?pole na kaz
 
Nape Nnauye na Katibu Mkuu wake Kanali Abdulrahman Kinana wanasema kuna mawaziri ni mizigo. Hivi CCM wameanza lini utaratibu wa kushambuliana hadharani?
Je, nani ni jasiri kati ya CCM wanaolalamika na Chadema wanaochukua hatua?
 
Unaweza kasirika sana, lakni hebu fikiria unataka ule mshahara wa waziri bila kazi yoyote ya maana??? au unataka uwe mtu wa vikao na posho basi??? sera ya ardhi mama lazima tukudai kuhusu hili
 
Suala la ardhi litakuja kutupa shida sana kama wakenya endapo hakuna mkakati maalumu wa kisera kutoa haki ya kila mtu kupata ardhi kama ilivyo elimu ya msingi

Mimi niliomba kiwanja kwenye mradi wa Kimbiji 600mq ths 4,200,000 za kitanzania.Kutoa Magogoni(Ferry)mpaka kwenye mradi ni km 40+ hakuna huduma yoyote ile kweli utaanza ujenzi hapo?

Nimeshindwa nikarejea Madale kwenye maporomoko
 
Hili ndo tunalipigania, ardhi iwe haki ya kuzaliwa kama uraia, mama tunaomba sera ya ardhi itengenezwe wala hatuna ugomvi na mtu binafsi hapa, ingekuwaje wewe binafsi ungekuwa umepanga na familia yako??? mbona unanyumba kubwa ya gorofa, kiwanja kikubwa??? nani umempangia hizi high density? nani hapendi kuwa na kiwanja kikubwa na nyumba?? Utapata wapi nyumba huna kiwanja unamiliki? Utamilikije kiwanj wakati bei ni mara 100 ya kipato chako cha mwaka??? hapo usile hata senti, Serikali haiwez kuongeza mishahara basi ishushe bei za viwanja, kama tecknoljia ni aghali basi tutumie kamba kama zamani ilil mradi WATz wamudu viwanja.
 
Naandika kumuunga mkono kinana na nape kuhusu ukweli kuwa kuna mawaziri mizigo tena ya misumari ya nchi 12, orodha hiyo ni vema ikawa wazi ikajadili ili kuhakikisha iwapo rais anafanya maamuzi ya kutuondolea mizigo hii ktk nchi kwa maaana ya uwaziri wao, naamini ukweli pia nyumbani kwao na kwa jamaa na marafiki zao wao sio mizigo kama ambavyo kinana na nape kwaniaba ya waTZ wengi wemeona.

Mawaziri mizigo kama livyotaja kinana, pamoja na wengine ambao tumekwisha wajadili hapa JF hata kabla ya CCM kusikia kilio cha wananchi ni kama:

1. Kawamba
2. Maghembe
3. Mulugo
4. Hawa Ghasia
5. Pinda
6. Tibaijuka (kama hakuna viwanja vilivyopimwa kwa bei ya kumudu mwalimu na wafanyakaz wa serikali, hakuna sera ya ardhi, hakuna makaz bora TZ hence failure in performance, tusibabaishe kazi)
7. Majaliwa
8. Mwanri
9. Simba Sofia waziri wa jinsi, unyanyasaji wa kijinsia unakua kila siku hakuna mpango, picha za uchi, mitandaoni na mavazi ya aibu, hatuwezi fumbia macho tukasema nchi iko safi, sera miongozo nan atoe??
10. Amos Makala na Mkangara
11. Malima
12. Chiza
13. Wassira, suala la katiba na mahusiona ya vyama vya siasa na dini
14. Chikawe, suala la katiba

Nawasilisha
 
Uko sahihi ila umesahau mifugo na maliasili. Pinda ni victim wa kauli za mwanri. Mwanri ameiangamiza hata ccm yenyewe. Itakuwa vizuri pia kama baraza litakuwa dogo
 
Naandika kumuunga mkono kinana na nape kuhusu ukweli kuwa kuna mawaziri mizigo tena ya misumari ya nchi 12, orodha hiyo ni vema ikawa wazi ikajadili ili kuhakikisha iwapo rais anafanya maamuzi ya kutuondolea mizigo hii ktk nchi kwa maaana ya uwaziri wao, naamini ukweli pia nyumbani kwao na kwa jamaa na marafiki zao wao sio mizigo kama ambavyo kinana na nape kwaniaba ya waTZ wengi wemeona.

Mawaziri mizigo kama livyotaja kinana, pamoja na wengine ambao tumekwisha wajadili hapa JF hata kabla ya CCM kusikia kilio cha wananchi ni kama:

1. Kawamba
2. Maghembe
3. Mulugo
4. Hawa Ghasia
5. Pinda
6. Tibaijuka (kama hakuna viwanja vilivyopimwa kwa bei ya kumudu mwalimu na wafanyakaz wa serikali, hakuna sera ya ardhi, hakuna makaz bora TZ hence failure in performance, tusibabaishe kazi)
7. Majaliwa
8. Mwanri
9. Simba Sofia waziri wa jinsi, unyanyasaji wa kijinsia unakua kila siku hakuna mpango, picha za uchi, mitandaoni na mavazi ya aibu, hatuwezi fumbia macho tukasema nchi iko safi, sera miongozo nan atoe??
10. Amos Makala na Mkangara
11. Malima
12. Chiza
13. Wassira, suala la katiba na mahusiona ya vyama vya siasa na dini
14. Chikawe, suala la katiba

Nawasilisha

kabisa kwa nn Jk haweki kuwapima hawa jamaa?
 
Na baba ako pia, sababu alishindwa kukupatia maisha mazuri,saiv umebaki kulaumu watu serikalini
 
Na baba ako pia, sababu alishindwa kukupatia maisha mazuri,saiv umebaki kulaumu watu serikalini

na baba ake nnape na kinana kwa kushindwa kupewa elimu pia maana nao wanalalamika kila wanapopita kuwa hawa mawaziri hawafai...tumia kichwa kufikiri sio ma------.
 
na baba ake nnape na kinana kwa kushindwa kupewa elimu pia maana nao wanalalamika kila wanapopita kuwa hawa mawaziri hawafai...tumia kichwa kufikiri sio ma------.

Ukiona ccm inakukera,jitangazie uhuru,anzisha nchi yako!
Hapa tutatawala mpaka damu yako itavyofutika ulimwenguni
 
Naandika kumuunga mkono kinana na nape kuhusu ukweli kuwa kuna mawaziri mizigo tena ya misumari ya nchi 12, orodha hiyo ni vema ikawa wazi ikajadili ili kuhakikisha iwapo rais anafanya maamuzi ya kutuondolea mizigo hii ktk nchi kwa maaana ya uwaziri wao, naamini ukweli pia nyumbani kwao na kwa jamaa na marafiki zao wao sio mizigo kama ambavyo kinana na nape kwaniaba ya waTZ wengi wemeona.

Mawaziri mizigo kama livyotaja kinana, pamoja na wengine ambao tumekwisha wajadili hapa JF hata kabla ya CCM kusikia kilio cha wananchi ni kama:

1. Kawamba
2. Maghembe
3. Mulugo
4. Hawa Ghasia
5. Pinda
6. Tibaijuka (kama hakuna viwanja vilivyopimwa kwa bei ya kumudu mwalimu na wafanyakaz wa serikali, hakuna sera ya ardhi, hakuna makaz bora TZ hence failure in performance, tusibabaishe kazi)
7. Majaliwa
8. Mwanri
9. Simba Sofia waziri wa jinsi, unyanyasaji wa kijinsia unakua kila siku hakuna mpango, picha za uchi, mitandaoni na mavazi ya aibu, hatuwezi fumbia macho tukasema nchi iko safi, sera miongozo nan atoe??
10. Amos Makala na Mkangara
11. Malima
12. Chiza
13. Wassira, suala la katiba na mahusiona ya vyama vya siasa na dini
14. Chikawe, suala la katiba

Nawasilisha

15. prof sospeter muhongo
 
Back
Top Bottom