Zitto ataja mawaziri mizigo

Zitto ataja mawaziri mizigo

Mbali na mizigo, idadi ya mawaziri ni kubwa ni mzigo wa gharama kwa taifa, kuwatunza bila faida yoyote!! Liwekwe baraza dogo la mawaziri, liwe competent, efective!!
Ondoa lundo la watu wasio na tija!!

Unataka hao wengine wakale wapi watakaopunguzwa? Anachotuumiza nacho kikwete ni uswaiba katka kugawa majukumu na siyo uwezo. Kwa kweli ananiudhi sana huyu rais wa ccm maana ndiyo chanzo cha upumbafu wote huu.
 
mi naamini kinachotuumiza ni ile kutaka kila ntu apate nafasi aau cheo! wizara zingekuwa chache tu kama 12 na zisiwe na manaibu waziri, pia wakuu wa mikoa wafutiliwe mbali.
 
WanaJf, katika orodha ya majina ya mawaziri mizigo wanaotajwa sehemu mbalimbali kwenye mikutano ya hadhara, bungeni na mitaani ni waziri gani anaonekana ni mzigo zaidi kuliko wengine? Au kama vipi orodhesha kuanzia waziri mzigo zaidi hadi nafuu kuliko wengine.
 
Simba......!
Mkuu ungetaja full name maana ukiishia hapo hilo ni neno tata; Simba mnyama, Simba timu ya soka au? Labda kwa msaada wa wasiomjua unamaanisha waziri SOPHIA SIMBA?
 
WanaJf, katika orodha ya majina ya mawaziri mizigo wanaotajwa sehemu mbalimbali kwenye mikutano ya hadhara, bungeni na mitaani ni waziri gani anaonekana ni mzigo zaidi kuliko wengine? Au kama vipi orodhesha kuanzia waziri mzigo zaidi hadi nafuu kuliko wengine.


Mizigo iliyo expire pia isiyo na faida na nchi: Kijana Pinda, Mulugo
 
Mi naona ni mzee Nyoka kwa sababu tangu awe waziri mkuu kusema kweli sijaona alichofanya zaidi ya kulia kama mtoto wa dada na ile kauli ya wapigwe tu maana tumechoka. Huku kijijini ile kauli ya wapigwe tu ndio itakayotumika kuihukumu sisiem 2015.
 
Hoja zetu wanaJF za kuboresha maisha wanaona hazina mashko eti tutumie muda kusoma, tukasome, tulikwisha soma ndo maana upuuzi mnaofanya tunaweza kuuona, hapo tena inaonesha uwezo wenu wa kufikiri ulivyo mdogo
 
mzigo ni aliyewateua,namaanisha dr dr dr dr dr mzururaji kikwete.
 
..."wote ni chakavu na wamedumaa."...by msigwa...
 
Hivi nyie watz hamjui kama huko nje kuna vichwa. Kazi haifanywi na mtu mmoja. Nyie mlidhani kazi ya UN alifanya yy tu. Wapo Wenye kujua kazi zao. Mm nilijua tangu mwanzo hayo yangetokea tu.

Na Huyo migiro wa JK ilikuwaje UN. Mnarudishiwa tena bongo. Hatujui ubora wa kazi yake ni upi. Tunakaririshwa watendaji wakati watz wapo kibao Wenye shida ya kufanya kazi. Ukisikia Majanga ndio haya. Kwa maccm kila kitu kinawezekana.
 
Ni lazima atusikilize au itakuwa ujingaaa sana, maana nchi ni yetu sote sio yake na pia hata yeye halipi kodi ambayo ni aibu
 
wote uliowataja umepatia , lakini pale namba 6 UMEPATIA ZAIDI ! Yule mama TIBAIJUKA amefeli kuliko tulivyotarajia , kiukweli amenifanya nitafakari tena kuhusu kuwaamini wanawake .


Sijamuona mzee Sitta,amefeli sana kule EAC. Ateuliwe mtu mwingine atakaye weza kwenda kasi kama majirani zetu!
 
Back
Top Bottom