Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

Status
Not open for further replies.
Mapambano bado ingawa ameshinda by 70% Kumbuka hili ni zuio tu sasa ataingia kwenye kesi ambako huko kushinda ni rahisi zaidi maana Katiba Yenyewe Ya Chama imechezewa!
 
Hii ni habari njema kwa wapenda haki, sheria, kanuni na taratibu- inaweka precedence nzuri kwa demokrasia nchini kwamba huwezi kuwa kwa kuwa wewe ni mwenyekiti wa chama basi upindishe kanuni na taratibu za chama kwa ajili ya manufaa binafsi

Kashinda anarudi kuwa Naibu Katibu Mkuu au kashinda kwamba hatafukuzwa Chadema ?
 
SSM SSM CUF CUF hoyeeeeeeeeeeeeee!!!! Hureeeeeeeee masalia na saliti.
 
Kashinda au? Kwa hiyo kama kashinda ina maana bado atakua kiongozi wa CDM? ama ushindi wake unamaana gani haswa?

Ina maana maamuzi mengine ya CDM dhidi yake itabidi yasubiri uamuzi wa Mahakama kuhusu kesi ya msingi aliyoifungua awali dhidi ya maamuzi ya CDM-CC.
 
Asiyesikia la mkuu, atashikishwa adabu na mahakama!
Ataitwa mbunge wa mahakama, lakini bado mbunge, mbaya zaidi CHADEMA wameonyeshwa hadharani kuwa chama kisicho na kichwa, tuliwaambia ma-F4F yamejaa huko wakbisha.
 
Sasa kashinda nini wakati alitaka mahakama izuie asijadiliwe?


Kigeugeu wewe, Kama sio ushindi ni nini huo. Kama hapakuwa na kesi hapo nini kilichowapeleka mawakili wa cdm watatu, na hilo genge lenu la wanywa gongo. Mbona mnakuwa kama malaya sugu
 
zitoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo haahhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wowwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwww
 
Ameshinda wapi? Pingamizi limekubaliwa la kutojadiliwa na chama hadi rufaa yake kwa Baraza Kuu isikilizwe. Hana cheo chochote so far!!! Ni uanachama tu ambao nao ulisemekana ni kwa njia ya mahakama!!! Kichama si mwanachama na hatakiwi kabisa.

:thumbup::thumbup:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom