Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

Status
Not open for further replies.

Kifulambute

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,484
2,000
Ni kweli ameshinda pingamizi lake mahakamani leo

Source Eatv.

Judge kaamua kuwa kamati haitakuwa na mamlaka ya kujadili uanachama wake mpaka atakaposikilizwa na pingamizi lake na baraza ndio litakalo amua uanachama wake.

Kamati kuu ya chadema haitajadili uanachama wake au chombo chochote hadi kesi ya msingi isikilizwe
.
 

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,570
2,000
Source Eatv.

Judge kaamua kuwa kamati haitakuwa na mamlaka ya kujadili uanachama wake mpaka atakaposikilizwa na pingamizi lake na baraza ndio litakalo amua uanachama wake.

U]Kamati kuu ya chadema haitajadili uanachama wake au chombo chochote hadi kesi ya msingi isikilizwe[/U][/B].
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom