hatimaye zitto kabwe amevuliwa unaibu kiongozi kambi ya upinzani bungeni, tukio hili pengine la kihistoria limetokea huko bagamoyo, katika semina ya wabunge wa chadema inayofanyika huko. mnamo majira ya mchana jana, yeye mwenyewe aliwasilisha paper na katika paper hiyo alijitetea kwa mengi yanayosemwa juu yake.
baadaye wabunge wa chadema walikutana kwa dharura na katika kikao hicho wabunge 28 walipiga kura ya kutokuwa na imani naye, wakati wabunge 8 wakibakia bila kuwa na msimamao, na mmoja akiwa amepiga kura ya kuwa na imani na zitto
nafasi yake bado iko wazi
chanzo, semina ya wabunge wa chadema inayoendelea huko bagamoyo
Inatakiwa uwe na Imani ya kidini ili uamini Loyalty ya Zitto katika Chama chake!