Zitto, Arfi, Shibuda kujadiliwa Kamati Kuu...

. jioni ndo kikao cha ubunge kikawa kimefanyika kikamvua huo uongozi kama ilivyokuwa kwenye ratiba.

Tayari ilikwisha wekwa kwenye ratiba? sasa hapo umeeleweka mkuu maana hakukuwa na haja ya kumsikiliza maana ilikwisha amuliwa na 'wazee'. Nafasi yake apewe Mchaga,
 
Tunasubiri..... kama JF huwa inawaamulia na nyie kutojisimamia basi kazi ipo!!
 
Tayari ilikwisha wekwa kwenye ratiba? sasa hapo umeeleweka mkuu maana hakukuwa na haja ya kumsikiliza maana ilikwisha amuliwa na 'wazee'. Nafasi yake apewe Mchaga,
Tartiiiiiibuuuu unaanza kubadili mada................... Usije ukarudishwa ulikokuwa
 
Tayari ilikwisha wekwa kwenye ratiba? sasa hapo umeeleweka mkuu maana hakukuwa na haja ya kumsikiliza maana ilikwisha amuliwa na 'wazee'. Nafasi yake apewe Mchaga,

uchaga umetoka wapi hapo? waliopiga kura ni wabunge wa chadema na wala siyo bunge la wachaga. ni lini tutaacha kufikiria ukabila na udini?
 
Huyu jamaa toka aende ile kamati ya madini basi CCM ndipo walipomuua na kupandikiza unafiki kichwani mwake lakini atambue kuwa saizi hali ni tofauti kabisa na kipindi kilichopita.

Saa hizi kuna wabunge vijana kama yeye ambao wanatafuta umaarufu na kuifanyia taifa mambo makubwa. Kama yeye anaona ameshailifanyia taifa mambo makubwa na kuvimba kichwa anakaribishwa CCM ambako watu wa type yake wanapatikana
 
mi naona mnakinzana hakuna uhakika wa habari yenyewe
ngoja tupate uhakika.
 
ni lini tutaacha kufikiria ukabila na udini?

siku ambayo hakutakuwa na vyama vya kikabila vyenye kufanya kazi za kisiasa? wabunge wote wa cchadema walishiriki kuandaa ratiba ya kumfukuza zitto? au walitumika katika kuhalalisha maamuzi ya wazee?
 
Tayari ilikwisha wekwa kwenye ratiba? sasa hapo umeeleweka mkuu maana hakukuwa na haja ya kumsikiliza maana ilikwisha amuliwa na 'wazee'. Nafasi yake apewe Mchaga,

Burn daaa siku hizi fikra zako zinaelekea wapi? Au hii ID anaitumia mtu mwingine?
 
kaaaazi kweli kweli hakuna mwanajf kwenye hicho kikao akatujuza mbivu na mbichi hapa matoana macho kwa Jambo msilokuwa na uhakika nalo
 
Zito kuvuliwa cheo kama ana makosa ni sawa kabisa.
Lakini kama kwa maslahi ya watu fulani hasa ya masuala ya ukabila hilo tunaweza kulijadili kwani linajadilika kwa maslahi ya nchi wala si zito wala CDM.

Na kama amevuliwa kweli Tusubiri atakayewekwa.

Hatuwezi kuacha kujadili hilo kwa kuogopa eti mambo ya Ukabila,No

Kweli kuna sheria kuwa ili uwe kiongozi CDM ni lazima utoke sehemu fulani ya nchi.

Tuliponda madai ya kafulila na wenzake sasa rtunaanza kuona yana KUNTU
 
Kama ni kweli nimefurahi sana. Kavuliwa na wabunge wenzie siyo? wabunge wenzie ndio wamesema hawana imani naye siyo? SWAFI SAAAAAAANA
 
Zito kuvuliwa cheo kama ana makosa ni sawa kabisa.
Lakini kama kwa maslahi ya watu fulani hasa ya masuala ya ukabila hilo tunaweza kulijadili kwani linajadilika kwa maslahi ya nchi wala si zito wala CDM.

Na kama amevuliwa kweli Tusubiri atakayewekwa.

Hatuwezi kuacha kujadili hilo kwa kuogopa eti mambo ya Ukabila,No

Kweli kuna sheria kuwa ili uwe kiongozi CDM ni lazima utoke sehemu fulani ya nchi.

Tuliponda madai ya kafulila na wenzake sasa rtunaanza kuona yana KUNTU
Mathias na wewe siku hizi umeanza kupata kutu kichwani siyo?
Habari zinasema kavuliwa na wabunge wenziwe maana ni kikao cha wabunge. Sasa hizo pumba ulizoandika umetumwa na nani?
 
Jamani ndugu tungeelekeza nguvu zetu kwenye more constructive things (katiba, tume mpya, ufisadi, bajeti iliyochakachuliwa) tujadili tunafanya nini.... hizi speculations will do no one any good ile thread ya bajeti iliyopelekwa kwa wahisani still needs watu kuichangia sio hizi issue

""hizi speculations will do no one any good"" we nae unafanya nini?? si usingechangia kabisa na wewe ni walewale aina zitto
 
Nimechoka kusoma, ngoja niwahi kwenye kilabu cha Pombe! Hivi wabunge wana mamlaka kuliko kamati kuu kufikia maamuzi? ama vikao vingine vya kichama?
 
Mh! Hii kali ni kweli, but he deserve it. Msimamo ni jambo la msingi sana kwa mtu yeyote. Maamuzi ya pamoja ni zingatio muhimu katika demokrasia ya kweli. Wengi waliamua 'A' yeye akaenda 'B'. Adhabu ni muhimu sana ili kujenga heshima ya taasisi.
 
I remain mute untill a trusted source reveal the facts of the prevailing issue otherwise stop speculating.
 
Mathias na wewe siku hizi umeanza kupata kutu kichwani siyo?
Habari zinasema kavuliwa na wabunge wenziwe maana ni kikao cha wabunge. Sasa hizo pumba ulizoandika umetumwa na nani?

Hilo si tatizo
Inawezekana,mbunge mmoja mwenye ushawishi akaleta hoja kama hiyo kisha ikapigiwa kura na ikawa hivyo
kumbuka kikao kilichoamua Sita hasigombee uspika ilikuwaje

hilo la kwamba ni maamuzi ya wabunge si hoja ya msingi sana kwasni hata wewe unajua kuwa ZITO alikuwa nas bifu la kitambo na viopngozi wa CHADEMA ngazi za juu

ingawa nasisitiza kuwa kama amekosa uamuzi huo ni sawa Lakini kama ni kwa matakwa ya ukabila(ambayo labda kwa sasa ni vigumu kuyadhibitsha) hapo si sawa
 
Back
Top Bottom