Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

pole kwa kuuguliwa mh. Zitto, tunamwombea mwanaharakati mama yako apone haraka. Lakini mbona hata kwenye maandamano ya arusha haukuwepo? Na huko nani alikua anaumwa?
 
Uguza pole kamanda kamanda. we expect much from you. lakini mama akipona basi tuunge mkono kwenye ziara zijazo ili ufute rumous ya kuwa wewe ni kibaraka wa chama cha wenyewe. any we still have trust in you man keep it up. peeeeeeeepleeeeeeeeeeees
 
Jamani mbona Zitto kaandamwa hivyo???he made a mistake fine,but how long are we to judge him for that?mbona tunasahau mchango wake katika chama na kuangalia mabaya tu???Zitto is human,we all make mistakes and we all deserve a second chance lakini how is Zitto going to feel forgiven kama tutaendelea kumsonga hivi????Tukumbuke mazingira humjenga mtu na jinsi tunavyomuweka Zitto katika mazingira ya kumtilia mashaka kwa kila afanyacho basi na sisi tutajilaumu siku moja kwa mchango wetu katika kumvuruga Zitto.tusilaumu jibu alilotoa hapa,mimi nadhani yupo disappointed kutokana na watu kumuonesha wazi kutokuwa na imani nae.Let's give the guy a chance jamani.muacheni amuuguze mama yake,that alone is enough to worry about tusimuongezee na yetu atleast for now.
 
Mkuu Crystal, while its our duty to give the mhe a second chance, actually we have already given it a long time ago, its in the same line the responsibility of the Boy to take chance of the chance. and, he should not just take it but take it firmly, definitely, certainly and surely tena beyond any reasonable doubt. he should not only take it but should be seen to take it. akiweza kufanya hivo ataondoa hii kitu waungwana wanachomwambia kuwa bado wanampenda but his past deeds remain taintful to his otherwise had been respectfully big name....ZITTTO KABWE. As of now and unless he confesses bitterly and directly, the name is not as big anymore!!!
 
Inshaalah Mama yetu atapona na kurudi katika hali yake - namuombea safari njema huko India na arudi salama.
 
Mkuu Crystal, while its our duty to give the mhe a second chance, actually we have already given it a long time ago, its in the same line the responsibility of the Boy to take chance of the chance. and, he should not just take it but take it firmly, definitely, certainly and surely tena beyond any reasonable doubt. he should not only take it but should be seen to take it. akiweza kufanya hivo ataondoa hii kitu waungwana wanachomwambia kuwa bado wanampenda but his past deeds remain taintful to his otherwise had been respectfully big name....ZITTTO KABWE. As of now and unless he confesses bitterly and directly, the name is not as big anymore!!!

Very well moshdar,kama keshapewa second chance then we should burry the past and move on.let Zitto not be judged based on his past (not fair) ila akirudia kosa hata mimi nitakuwa wa kwanza kumcondem.otherwise naamini Zitto sio msaliti na ana nia njema na nchi yake na chama chake na ndio maana he is still in Chadema and trusted!!!!
 
Zito hawa ndio wale wale wanataka wapate cha kusema tuko pamoja kuona Tanzania mpya ikizaliwa sababu sasa naona maadui hawawezi zuia mabadiliko haya.

Nawashukuru mliomjibu huyu bwana/bibi. Kuhusu dowans nilisema mwaka 2009! Sina jipya la kusema. Pia miye si msemaji wa chama kuhusu nishati, jukumu hili ni la bwana John Mnyika.

Kama kutokusema ni sawa na kuwa na hisa basi kuna mewngi kweli hatusemi na hivyo tuna hisa nyingi kweli. Pia kuna wengi hawajasema kuhusu dowans na hivyo dowans ina hisa kwa Watanzania wengi sana!
 
Safi sana mheshimiwa Zitto, hoja rahisi kama ya huyu jamaa hujibiwa kwa majibu mepesi tu kama hayo big up, wewe ni mpiganaji wanaotaka kukugombanisha na chama na wananchi ni hao wasiofikiria vizuri, mara kwanini kanda ya ziwa hukuja, mara hivi ... kwani vipi piga kazi ikiwezekana Mungu akijaalia kanda ya kusini nenda na Tendwa atajuwa kuwa Chadema tupo , nasikia anataka kuifuta ajaribu aone
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mbunge wa cdm amekuwa kimya kuhusu dowans
mana ukilijea kauli yake kuhusu dowans ina chembe chembe ya kuwa na share dowans

Je ni kweli Zitto kamegewa share dowans?

ccm na zitto ni maswahiba, huoni mtazamo wangu,
rais KIKWETE ndiye mwenye share kubwa ndani ya Dowans
so how do you feel about Zitto?
anamfichia siri JK
 
Nawashukuru mliomjibu huyu bwana/bibi. Kuhusu dowans nilisema mwaka 2009! Sina jipya la kusema. Pia miye si msemaji wa chama kuhusu nishati, jukumu hili ni la bwana John Mnyika.

Kama kutokusema ni sawa na kuwa na hisa basi kuna mewngi kweli hatusemi na hivyo tuna hisa nyingi kweli. Pia kuna wengi hawajasema kuhusu dowans na hivyo dowans ina hisa kwa Watanzania wengi sana!

Zitto

Jibu lako ni safi sana.
 
Big Up Man, man bado tuko pamoja nawewe. Tunamiss mavitus yako majukwaani ndo maana tunakuandikia umuhimu wa kuwepo kwako majukwaani. We hope your mother will improve soon. Tuko pamoja na wewe na majibu yako yanatia matumaini kuwa tuko pamoja
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mbunge wa cdm amekuwa kimya kuhusu dowans
mana ukilijea kauli yake kuhusu dowans ina chembe chembe ya kuwa na share dowans

Je ni kweli Zitto kamegewa share dowans?

ndugu wewe unabifu na zito au akili yako haifikirii ipasavyo?
chama kimetoa tamko kuhus msimamo wao na dowans na wameipa serikali muda ukipita huo muda wataitisha maandamano nchi nzima.sasa wewe unataka zito aseme nini?
 
namkumbuka sana zitto enzi zile alipotoa ushauri kwa serikali ikubali kununua mtambo wa dowans eti nchi itaingia gizani.huku mtendaji mkuu dr,idrisa rashid akisistiza, je huo ulikuwa mpango wa kushadadia mgawo wa umeme kwa masilahi binafsi ya kundi la akina zito?kama sasa imegundulika mgao wa umeme ni matakwa ya watendaji wa tanesco aidha uwepo au usiwepo.Pia juzi akiwa mwenyekiti wa POAC amekuwa mkali wa kutetea akina mhando.je zitto ni kweli anafaa kuwa rais kijana? , nawasilisha.
 
zito anatuachia many unanswered questions!niliposom humu wakati ule jinsi alivyonyamazishwa 'kiaina' na barrick na ukiunganisha matukio mengine haya.....najiskia vibaya sana kwamba watu wengi tulikuwa tunam'admire sana kama kijana shupavu tunayemhitaji katika uongozi kumbe naye....loh!!
 
Ulikuwa ni mjadala mkali sana hapa jamvini na wachangiaji wengi walipinga pendekezo la kununua mtambo ule wa Dowans.
 
Back
Top Bottom