bigilankana
Senior Member
- Dec 15, 2009
- 144
- 4
umeanguka weye na chuki zakonyiye bwa ha ha ha, mlishaanguka siku nyingi sana nyiye.
umeanguka weye na chuki zakonyiye bwa ha ha ha, mlishaanguka siku nyingi sana nyiye.
Nilikuwa TANU na kisha CCM mpaka 1992. hivi sasa mimi ni raia tu na unaweza kuangalia hoja bila kujali kadi ya chama changu hata kama ningekuwa bado CCM. Zito anakutoa roho na chuki zako wewe. alipotetea dowans alikuwa waziri? atakuwa mbunge, atakuwa Rais. muda tu
ndivyo tulivyosoma kwenye Tanzania daima la Mbowe. Mbowe alilalamika Kikwete anachukua brain yake. mtoto wa watu hakutaka makuu. Rais akaahirisha kutangaza baraza toka saa nne mpaka saa tisa ili kupata mwafaka wa Zito. Mbowe alimkataza kwa chuki na woga wake tuHa ha ha ha, Zitto alimsikiliza Mbowe? hiyo ilikuwa kwenye ndoto au kwenye ze comedy?
Alitetea dowans kwa vile ni fisadi kama fisadi papa Rostam Azizi kama ulivyo wewe fisadi wa tokea enzi za TANU.
ndivyo tulivyosoma kwenye Tanzania daima la Mbowe. Mbowe alilalamika Kikwete anachukua brain yake. mtoto wa watu hakutaka makuu. Rais akaahirisha kutangaza baraza toka saa nne mpaka saa tisa ili kupata mwafaka wa Zito. Mbowe alimkataza kwa chuki na woga wake tu
kama wewe ulivyo fisadi nyangumi
Wandugu watanzania tuwe macho na siasa za magazeti na mchecheto usio na mambo ya msingi tuangalia ni mtizamo na majukumu gani kisiasa na uwepo wa uchumi ulio imarika kwetu sote kwa ustawi wa jamii zetu hivyo wewe kama mtanzania je tunahitaji bunge la aina hii tulilo nalo leo ama tunahitaji mabadiliko kama ni mabadiliko Mh. Zitto ni mtanzania mmoja ambaye anahitaji kupewa sifa kwa uzalendo alio uonyesha hapa kwetu Tanzania tunahitaji wengine tuwe nao 150 tu maendelo yatakuja
Zitto mbona anapewa sifa kibao tu na wafuatao..
1. Rostam Azizi - kwa dowans
2. Rutabanzibwa - kwa iptl
3. Sinclair - kwa kuzima issue ya buzwagi
4. Kikwete - kwa kutetea ufisadi wa serikali ya JK
5. Rashid - kwa kusaidia ufisadi wake Tanesco
.....
1001. Kingunge Ngombare Mwiru - kwa kuipa nguvu ccm
.....
10,001. .... nachukua glass ya maji ....
Inaendelea...
Baadaye mkaamua kurudi mlikotoka ili mjipange vizuri, wakati mkiwa bize kusoma gazeti la uhuru, simu yako ikalia.
***bingilankana --- haroo harooo
*** ........
***bingilankana --- haroo haroo hiri ni ri nani rinapiga simu
***Kingunge --- (kwa sauti ya uchovu) w...e...w....e
Itaendelea hapa chini
Ha ha ha,
Nimekumbuka sasa, siku ile mlivyotoka kwenye kikao cha chama cha kifisadi hapo lumumba, mkapiitia magomeni ili kununua Tanzania daima. Kwa vile mmejaa ufisadi, mkapewa gazeti la uhuru (mkidhani kuwa ni TD).
Inaendelea hapa chini....
ukiishiwa hoja ni vioja
utatengeneza sana vijistori vyako. gubu
kata kata wembe umeze
Inaendelea..
Bigilankana (huku akimnyooshea dereva kidole) - nitakuchanja viwembe wewe
nilikataa nilipoambiwa wewe msagaji. sasa umeshaonyesha asilimya 89 ya tabia za kisagaji.
ukiishiwa hoja ni vioja
Huna kazi ya kufanya au hakuna thread zingine za kusoma ,mpaka unabishana na Mwafrika humu!
You will waste your time, kama anataka ushindi wa ubishi mpe, haitakupunguzia chochote after all tutakuona wise.
Huyu ni mmoja wa watu walio blind, puppet, wanaofikiri anayeisema chadema basi ni adui.Yuko tayari kusema na kuandika chochote kile, ili mradi afiche vilivyowazi. Ni coward hutamkuta kwenye mijadala ya akili na hot ya kuhus chama chake.Yeye utamkuta kwenye mipasho ya aina kama hii. hapo IQ yake ndiyo inafika tamati.
Hawazi wala hawezi kukuambia kwa nini wapinzani wanakosa kura, hata kaa akueleze kwa nini uchaguzi haukufanyika ndani ya chama wakati ni chama cha demokrasia. Hana uwezo wa kukueleza chama kina member wangapi na kila mwaka wanaongezeka wangapi au wanapungua wangapi.
Hataweza kukutajia vitega uchumi vya chama, ila atakueleza wakopeshaji wa chama. Hataweza kukueleza kwa nini Mbowe anamsifia JK
You better know whom are talking with. Waulize maswali ya akili akina Mnyika, Kitila, lakini sio huyu,
Hafikirii kama chadema ni chama kwa nini hakimfukuzi Zito, wala hajiulizi kiburi cha Zitto kinatokana na nini? ukitaka matusi mwambie kiongozi wao ni fisadi na opportunist, mseme Slaa kuwa anaburuzwa na Mbowe!
Ukitaka matusi kiseme chadema kuwa ni chama cha matabaka, kwa nini kafulila afukuzwe na Zitto kama ana makosa yaleyale asifukuzwe.
HAJIULIZI kiburi cha zitto pengine kinatoka na uchafu wa chama! muulize mbowe kushindwa kuchukua hatua ni athari za kutopiga kura, hivyo hajui nani anampenda na nani hampendi!
Ukiona chama kila baada ya miaka mitano kura wanazopata zinapungua! ukiona mtu anabisha na kutetea chama bila kujiuliza kulikoni, hauna mtu hapo!
wala sipati picha lichama likubwa kwa nini ikose raha kwa ajili ya mtu mmoja! wakati wanawaza kushika dolla ya watu mil.40!!!
Ukiona jibu la maswali hayo ni matusi, confusion na kuandika dialogue zisizo na kichwa wala miguu then forget take your time.RELAX huku ukiangalia 'chama' kinavyo-operate.Relax uone wangapi watakipa kura mwakani!
There are times to wake them up, there are times to make them sleep!
Sasa mtu anabishana mpaka kutoka damu humu, wakati wapiga kura wanaoinyima kura chadema wako huko na sababu zao lukuki!