Zitto aongea na Power Breakfast ya Clouds FM

He,! hakuna sehemu yoyote katika post yangu niliyotaja neno kabila, na nilipotaja neno wachaga! hakuna soma tena

Hakuna sehemu yoyote niliyoandika kuwa kwenye post yako ulitaja neno kabila au wachaga. Nimekukumbusha tu yale mliyoyaandika hapa (wewe na Zitto) kwa chuki za ajabu dhidi ya wachaga kipindi kileeeee ... unakumbuka enheee

Soma tena

au wewe unaifuata chadema kwa sababu kuna wachaga basi unawafuata kwa sababu hiyo?? mbona wengine sio wachaga, Zito, Bob makani, Slaa mbona sio wachaga?

Mhh ... maandishi ya mtu anayedai kuwa ana IQ ya juu hapa JF.

lol! umejianika pwaaaaa!!!! duka la mzungu li wazi, lauza mchele na nazi!!!!

wimbo unaendelea ..

kitumbua sio andazi .... tulilo lilo lilo ..... ziiii

tulilo lilo lilo .... zii

Anza kuanzia juu

Duka la mzungu li wazi, lauza mchele na nazi!!!

kitumbua sio andazi ....

utaendelea

I sincerely do love chadema mkuu is the only hope for me, ila lazima niseme kama kuna makosa na hii ndio demokrasia, pole wee!

Wewe umeandika hapa over and over kuwa kura yako inabaki ccm. Hayo mapenzi na chadema umeanza lini?
 
yaleyale hakuna sehemu yoyote niliyowahi kusema dunia hii naipenda CCM, au nitaipa kura CCM, CCM kwangu ni mafisadi na hawana jipya.Kitu usichoelewa ni kuwa sitaki Chadema iwe kama ccm nataka kuwe na tofauti!

Inaonekana wewe mzushi na tuko page mbili tofauti, kiloa sentensi yako unaandika kupata uhsindi wa ubishi, post zako hazina sense mkuu, kama hawajawahi kukuambia leo ujue hivyo,Hakuna sehemu niliyosema nina IQ ya juu m sijajua lengo lako ni nini hasa!!!

Na hii post ya mwisho kujibizana na wewe, so jifurahishe andika utakavyo ukijua hakuna atakaye kujibu, hivi watu wengine huwa hamuoni aibu..duh!!!.kama kwa akili yako unazo[ost ndiyo hoja na unataka kushinda chukua ushindi! mzushi we!
 
Mengi yamesemwa na yataendelea kusemwa, lakini ushauri wangu kwa Bro. ZITTO ni kwamba;
(1) Endelea kusimama imara.
(2) Epuka baadhi media kwa kuwa nyingine zinatumiwa na akina nanihii...
(3) Jitahidi kupunguza tofauti zilizopo ndani ya chama.
(4) Unganisha wapinzani.
(5) Kumbuka hata humu ndani ya JF kuwa akina flani flani either wanajaribu au wanatumiwa kukumaliza kisiasa (Kwahiyo tumia hekima zaidi ku-respond).

Ni hayo tuu...
 
CAG zeros in on TANESCO

By ThisDay Reporter

14th December 2009
tanesco2.jpg

One of the TANESCO company houses refurbished at excessive cost, and said to be lined up for purchase by Rashidi and other senior company managers at bargain prices.

AUDITORS from the office of the Controller and Auditor General (CAG) have uncovered serious financial mismanagement at the state-run Tanzania Electric Supply Company (TANESCO), including excessive purchases of luxury vehicles, luxury furniture, and construction of swimming pools at company houses.
The reports of a lavish spending spree apparently authorized by TANESCO's outgoing managing director, Dr Idris Rashidi, come against a backdrop of serious liquidity problems that have dogged the public utility for quite sometime now.
Rashidi bowed out of TANESCO this month after the expiry of his employment contract, and has been temporarily replaced by the power utility's general manager in-charge of power generation, Stephen Mabada, during the transitional period until President Jakaya Kikwete appoints a new MD.
Officials from the National Audit Office told THISDAY that the CAG's office is expected to conclude a special audit on TANESCO next month, and submit its report to the board of directors.
A "special investigation" by auditors into financial accounting at TANESCO has already uncovered various dubious expenditures made by the company's management.
"The TANESCO management recently purchased eight new (Toyota) Land Cruisers at a cost of 160m/- per vehicle. This is considered wasteful spending considering that the company has been facing serious financial difficulties," a NAO official familiar with the matter told THISDAY.
"Hundreds of millions of shillings have been spent on renovating company houses, including the installation of stand-by power generators, state-of-the-art swimming pools, and expensive furniture," the official added.
While the TANESCO management doled out the undisclosed amounts of money on the afore-mentioned items plus other above-board amenities, the power utility is reported to have suffered a total loss of 137.9bn/- in the 2006/07 financial year.
The amount is almost three times the loss of 54.5bn/- that TANESCO incurred during 2005/2006.
MD Rashidi is understood to have secured a massive syndicated loan for TANESCO in September 2007 amounting to a healthy 300bn/-, and the loan was intended to pay off some of TANESCO's long-term creditors and assure cash flow for operations.
Stanbic Bank is the lead bank in the loan syndicate that also includes the National Microfinance Bank (NMB), CRDB Bank, Exim Bank, Tanzania Investment Bank (TIB), Parastatal Pension Fund (PPF), National Social Security Fund (NSSF), Government Employees Provident Fund (GEPF), and the Public Service Pensions Fund (PSPF).
The loan was expected to bankroll TANESCO's five-year financial recovery plan, which also involves some capital investment.
Under the terms of the agreement, the loan was to be repaid by installments in six years with an 18-month grace period, at interest pegged on 182-day treasury bill (TB) rates.
Sumve Member of Parliament Richard Ndassa (CCM) raised questions in parliament about renovations of TANESCO houses, which he claimed were intended to be bought by Rashidi and other senior company managers at bargain prices.
The MP's queries directly led to the government ordering a special audit into TANESCO.
"Auditors have been dispatched to the regions to investigate how the TANESCO management spent some 80bn/- earmarked for infrastructure maintenance and purchase of line materials such as electric poles and other equipment," said another NAO source.
According to TANESCO's website, the power utility has paid out more than 192.5bn/- for various procurement contracts this year alone (by September 2009).
This includes a staggering 17.45bn/- paid to Toyota Tanzania Limited for the supply of motor vehicles.
TANESCO also spent another $4.29m (approx. 5.75bn/-) this year to purchase vehicles from Quality Motors Limited, a company linked to controversial local businessman Yusuf Manji.
In response to questions from THISDAY, the TANESCO management confirmed that it has already received 235bn/- out of the syndicated loan.
According to the power utility management, some 101bn/- of this has already been spent on the purchase of service line material for rural electrification, upgrading the power transmission/distribution networks, and other projects.
Another 117bn/- was used to service a long-standing World Bank loan, while the Independent Power Tanzania Limited (IPTL) was paid by TANESCO some 7.79bn/-.
 
Hivi huyu ndiye Rashid ambaye Mheshimiwa labelled him as the best CEO in the country.

http://www.thisday.co.tz/?l=10443

Rufiji, tena jina la kwetu ikwiriri. Hujui kuwa ni kazi ya magazeti ya mengi kumchafua Rashidi wa TANESCO: Yaani hujajua tu hiyo vita inayoendeshwa na kulikoni na Thisday?

wana kamkurugenzi kao na wanataka kawemo ili kufanikisha malengo yao ya powerpool east africa. Ndo maana wanapata habari za Bodi kwa kuwa Victor Mwambalaswa, mb ni mjumbe wa bodi ya TANESCO, Mkurugenzi wa Powerpool inayofanya biashara na TANESCO maana tayari wa MoU na ni mjumbe wa kamati ya Bunge ya Nishati na Madini ambayo Mkurugenzi mwingine wa Powerpool Dkt. Mwakyembe ni makamu mwenyekiti.

Media zote Tanzania isipokuwa Raiamwema na Mwananchi zinatumikia mabawana wenye fedha. Mengi - interest zinalindwa na Ippmedia, media solution na Mwanahalisi. Rostam Azizi - Habari Corporation, Tazama, Taifa Tanzania na wkati fulani TSN.

hawa ndio wanaoweka nchi at ransom. uwe makini na habari unazosoma mdogo wangu kama sio mwanangu. Hii sio nchi tena. Ni captured state. Huoni Habari corporation inavyomwanadama Salim na Warioba? Huoni Magazeti yote ya Mengi yanavyomwandama bwana mdogo Zitto.
 
Acheni kuwa obsessed na Zitto kiasi cha wote kuonekana hatunazo, Zitto wakati anasema Rashid is best CEO alikuwa na vigezo vyake na sababu zake, wala hakujua black side ya huyu jamaa. Ok, let say kwa tuhuma hizi unamwita Zitto atoe maoni yake kuhusu huyu jamaa leo hii, unafikiri atasema tena best CEO? je yeye ni polisi kuwa kabla ya kutoa maoni lazima afanye upelelezi? kwa nini mnajiweka mizani moja na Zitto na anateka mawazo yenu kiasi cha kila reference 'alisema Zitto', this is childish beyond measure, ndio tunaonekana tuna udumavu wa akili kwani watu hawawezi kusema wanayoyawaza kisa baadae watashushuliwa, lets move to another level, Zitto alisema kabla ya hizi tuhuma kuwa nje, sasa 'zito' 'zito', mpaka inaboa

Kwa nini hamumchukulii kuwa ni binadmu wa kawaida mnweye mapungufu na makosa anapokosea?? kwa nini

Mkuu unasema siasa sasa, jamaa ana tuhuma tena mbaya mno kiasi cha kuwa anatakiwa anyongwe tu! hii kusema kuna siasa chafu, sisi wengine hatujui, kuna vithibitisho kila kona kuwa jamaa ni mchafu hata kama wako wanaowania nafasi yake, shauri zao, yeye ni mchafu .period

anatakiwa asiwe na doa kiasi cha hao wanaotaka nafasi yake wakose pa kuanzia, sasa kwa sababu CV yake imetoboka toboka kutoka deals zote za nyuma, yeye ni kibaraka wa mafisadi wakubwa na yeye haimwachi kutokuwa fisadi

Huwezi ukajiwekea genereta linaloendesha jengo la wizara kwenye nyumba ya kulala na bado ukasema eti ni msafi

Please lets call nanihii by their real names

Rashid is fisadi, say it again...Rashid is fisadi
 
kama yaliyoandikwa ni ya kweli upo sahihi. tutatoa hukumu ripoti ikitoka ya CAG na hawa jamaa wataenda kwenye kamati ya Bunge na taarifa itwakuwa wazi au wataficha huko bungeni wakati tuhuma zilitolewa piya bungeni?
 
Forget about that my friend, No one can do anything to someone like Rashid, hata kama CAG atasema yoote, hakuna lolote litakalofanyika.

Ni rahisi kwa akina Mramba kwenda jela lakini si watu wa aina ya Rashid, kabeba, anajua na amesaidia ufisadi mwingi tu, anajua kila aina ya siri za hawa jamaa, walioko madarakani na walioondoka ' he is untouchable'

Kumbuka huyu jamaa ni smart anajua udhaifu uko wapi, TANESCO alijua tatizo ni nini, amepiga kazi na kuanza kutengeneza faida, na anaanza kuzila taratibu, ndiyo janja aliyotembea nayo katika mashirika yote

Ni wale walio na mentality fanya 'kazi ionekane lakini iba uwezavyo'

we need smart president thats all.
 
Acheni kuwa obsessed na Zitto kiasi cha wote kuonekana hatunazo, Zitto wakati anasema Rashid is best CEO alikuwa na vigezo vyake na sababu zake, wala hakujua black side ya huyu jamaa. Ok, let say kwa tuhuma hizi unamwita Zitto atoe maoni yake kuhusu huyu jamaa leo hii, unafikiri atasema tena best CEO? je yeye ni polisi kuwa kabla ya kutoa maoni lazima afanye upelelezi? kwa nini mnajiweka mizani moja na Zitto na anateka mawazo yenu kiasi cha kila reference 'alisema Zitto', this is childish beyond measure, ndio tunaonekana tuna udumavu wa akili kwani watu hawawezi kusema wanayoyawaza kisa baadae watashushuliwa, lets move to another level, Zitto alisema kabla ya hizi tuhuma kuwa nje, sasa 'zito' 'zito', mpaka inaboa

Kwa nini hamumchukulii kuwa ni binadmu wa kawaida mnweye mapungufu na makosa anapokosea?? kwa nini

Mkuu unasema siasa sasa, jamaa ana tuhuma tena mbaya mno kiasi cha kuwa anatakiwa anyongwe tu! hii kusema kuna siasa chafu, sisi wengine hatujui, kuna vithibitisho kila kona kuwa jamaa ni mchafu hata kama wako wanaowania nafasi yake, shauri zao, yeye ni mchafu .period

anatakiwa asiwe na doa kiasi cha hao wanaotaka nafasi yake wakose pa kuanzia, sasa kwa sababu CV yake imetoboka toboka kutoka deals zote za nyuma, yeye ni kibaraka wa mafisadi wakubwa na yeye haimwachi kutokuwa fisadi

Huwezi ukajiwekea genereta linaloendesha jengo la wizara kwenye nyumba ya kulala na bado ukasema eti ni msafi

Please lets call nanihii by their real names

Rashid is fisadi, say it again...Rashid is fisadi

Unajua nini , mzee unazungumza zungumza tuu kama watu walio kijiweni. Kitu ulichosema juu na ulichosema hapo chini vinajicontradict. Lazima utambue ya kuwa maneno yana power, mtu kama Zitto anaposema Rashid is the best CEO in the country many people believed that he did a thorough research. I don't have a personal vendetta against Mheshimiwa but I am going to call as I see it. How can you call a person the best CEO while his integrity is questionable ?
 
He, haya alisema hivyo, unataka kutuambia nini, tumchape Zitto, au tumfanye nini sasa? maana naona hatuelewani, mimi nasema achana na Zitto, yeye aliko huko ameshajifunza kitu baada ya kuboronga kutokana na kutofanya research. Ok, leo hii unataka kutuambia kuwa Zitto alisema yeye ni msafi , wote tunajua hivyo unataka tufanye nini sasa? nani asiyejua kuwa Zitto alimtetea? au kuna kitu unataka kusema tusichojua, you can comment anything kuhsu Zitto kuwa naye ni fisad sawa! kuwa hatufai sawa! my objection was , mbona kila siku tunasema 'Zito alisema' zito alisema, then so what?? mtanzania wa kawaida atafaidika nini kujua kuwa Zitto alisema Rashid ni mchafu??

His integrity is questionable then so what?? nchii hii kama Zitto kangia kundi la mafisadi amefanya nini cha ajabu ya nchi hi?? achana naye!!tunataka Rashid aende jela-napenda iwe hivyo, arudishe mali zetu, kuwa zitto alisema-yeye msafi, haitusaidii kitu sisi!

Duh!

hata watu wote Tanzania wakisema Zitto mbaya, haitusaidii tutamweka kundi la akina mkapa, RA, EL ambao tumekuwa tukiwasema humu bila mafanikio yoyote, Zitto ni mtu mdogo mno kubaki kumwazia na kuweka reference 'alisema' haiwezekani mustakabali wa taifa hili ukawa parallel na perpendicular na Zito. Lets our level of discussion be far higher than him

Leo Rashid akienda jela, una haja gani ya kumwambia Zito ulikose sentensi yako!!! kuna vingine huwa hatuvisemi tukijua mtu mzima Zitto alishakosea, sasa tukibaki alisema alisema, alisema,. aisema.. huyu hapa alisema, then so what??
 
He, haya alisema hivyo, unataka kutuambia nini, tumchape Zitto, au tumfanye nini sasa? maana naona hatuelewani, mimi nasema achana na Zitto, yeye aliko huko ameshajifunza kitu baada ya kuboronga kutokana na kutofanya research. Ok, leo hii unataka kutuambia kuwa Zitto alisema yeye ni msafi , wote tunajua hivyo unataka tufanye nini sasa? nani asiyejua kuwa Zitto alimtetea? au kuna kitu unataka kusema tusichojua, you can comment anything kuhsu Zitto kuwa naye ni fisad sawa! kuwa hatufai sawa! my objection was , mbona kila siku tunasema 'Zito alisema' zito alisema, then so what?? mtanzania wa kawaida atafaidika nini kujua kuwa Zitto alisema Rashid ni mchafu??

His integrity is questionable then so what?? nchii hii kama Zitto kangia kundi la mafisadi amefanya nini cha ajabu ya nchi hi?? achana naye!!tunataka Rashid aende jela-napenda iwe hivyo, arudishe mali zetu, kuwa zitto alisema-yeye msafi, haitusaidii kitu sisi!

Duh!

Waberoya,

Hii ya kila siku kusema Zitto alisema au Zitto amefanya au kutofanya kitu fulani, haina tofauti na vile watu wanavyosema hapa kila siku kuwa Mkapa, Mwakyembe, Kikwete, Chenge, Sitta, Mrema, Mtikila etc wamefanya au kusema kitu fulani.

Tukitumia standard yako kuwa kama wamesema or wamefanya kitu fulani so what ..... basi hakuna kitu kitakachoandikwa hapa maana wote hapa hatuna uwezo wa kuwachapa hao wote fimbo kama unavyoshauri kuhusu Zitto.

Kumbuka kuwa Zitto ni binadamu na ni mwanasiasa kama wengine wooote wanaojadiliwa hapa kila siku. Ataendelea kujadiliwa kwa siku nyingi sana zijazo so ni bora ukaanza kuizoea hiyo hali.

Huwezi kukataza watu kumjadili Zitto.
 
CAG zeros in on TANESCO

By ThisDay Reporter

14th December 2009
tanesco2.jpg

One of the TANESCO company houses refurbished at excessive cost, and said to be lined up for purchase by Rashidi and other senior company managers at bargain prices.

AUDITORS from the office of the Controller and Auditor General (CAG) have uncovered serious financial mismanagement at the state-run Tanzania Electric Supply Company (TANESCO), including excessive purchases of luxury vehicles, luxury furniture, and construction of swimming pools at company houses.
The reports of a lavish spending spree apparently authorized by TANESCO's outgoing managing director, Dr Idris Rashidi, come against a backdrop of serious liquidity problems that have dogged the public utility for quite sometime now.
Rashidi bowed out of TANESCO this month after the expiry of his employment contract, and has been temporarily replaced by the power utility's general manager in-charge of power generation, Stephen Mabada, during the transitional period until President Jakaya Kikwete appoints a new MD.
Officials from the National Audit Office told THISDAY that the CAG's office is expected to conclude a special audit on TANESCO next month, and submit its report to the board of directors.
A "special investigation" by auditors into financial accounting at TANESCO has already uncovered various dubious expenditures made by the company's management.
"The TANESCO management recently purchased eight new (Toyota) Land Cruisers at a cost of 160m/- per vehicle. This is considered wasteful spending considering that the company has been facing serious financial difficulties," a NAO official familiar with the matter told THISDAY.
"Hundreds of millions of shillings have been spent on renovating company houses, including the installation of stand-by power generators, state-of-the-art swimming pools, and expensive furniture," the official added.
While the TANESCO management doled out the undisclosed amounts of money on the afore-mentioned items plus other above-board amenities, the power utility is reported to have suffered a total loss of 137.9bn/- in the 2006/07 financial year.
The amount is almost three times the loss of 54.5bn/- that TANESCO incurred during 2005/2006.
MD Rashidi is understood to have secured a massive syndicated loan for TANESCO in September 2007 amounting to a healthy 300bn/-, and the loan was intended to pay off some of TANESCO's long-term creditors and assure cash flow for operations.
Stanbic Bank is the lead bank in the loan syndicate that also includes the National Microfinance Bank (NMB), CRDB Bank, Exim Bank, Tanzania Investment Bank (TIB), Parastatal Pension Fund (PPF), National Social Security Fund (NSSF), Government Employees Provident Fund (GEPF), and the Public Service Pensions Fund (PSPF).
The loan was expected to bankroll TANESCO's five-year financial recovery plan, which also involves some capital investment.
Under the terms of the agreement, the loan was to be repaid by installments in six years with an 18-month grace period, at interest pegged on 182-day treasury bill (TB) rates.
Sumve Member of Parliament Richard Ndassa (CCM) raised questions in parliament about renovations of TANESCO houses, which he claimed were intended to be bought by Rashidi and other senior company managers at bargain prices.
The MP's queries directly led to the government ordering a special audit into TANESCO.
"Auditors have been dispatched to the regions to investigate how the TANESCO management spent some 80bn/- earmarked for infrastructure maintenance and purchase of line materials such as electric poles and other equipment," said another NAO source.
According to TANESCO's website, the power utility has paid out more than 192.5bn/- for various procurement contracts this year alone (by September 2009).
This includes a staggering 17.45bn/- paid to Toyota Tanzania Limited for the supply of motor vehicles.
TANESCO also spent another $4.29m (approx. 5.75bn/-) this year to purchase vehicles from Quality Motors Limited, a company linked to controversial local businessman Yusuf Manji.
In response to questions from THISDAY, the TANESCO management confirmed that it has already received 235bn/- out of the syndicated loan.
According to the power utility management, some 101bn/- of this has already been spent on the purchase of service line material for rural electrification, upgrading the power transmission/distribution networks, and other projects.
Another 117bn/- was used to service a long-standing World Bank loan, while the Independent Power Tanzania Limited (IPTL) was paid by TANESCO some 7.79bn/-.

Zitto, Rashidi, na Manji wote sawa - mafisadi waliokubuhu
 
Waberoya,

Hii ya kila siku kusema Zitto alisema au Zitto amefanya au kutofanya kitu fulani, haina tofauti na vile watu wanavyosema hapa kila siku kuwa Mkapa, Mwakyembe, Kikwete, Chenge, Sitta, Mrema, Mtikila etc wamefanya au kusema kitu fulani.

Tukitumia standard yako kuwa kama wamesema or wamefanya kitu fulani so what ..... basi hakuna kitu kitakachoandikwa hapa maana wote hapa hatuna uwezo wa kuwachapa hao wote fimbo kama unavyoshauri kuhusu Zitto.

Kumbuka kuwa Zitto ni binadamu na ni mwanasiasa kama wengine wooote wanaojadiliwa hapa kila siku. Ataendelea kujadiliwa kwa siku nyingi sana zijazo so ni bora ukaanza kuizoea hiyo hali.

Huwezi kukataza watu kumjadili Zitto.

Asante sana Solomon for this peace of advise, lets talk about them..
 
duh! jamaa wamejenga hata swimming pull, wakati shirika lina run kwa hasara? Huyu ndiyo Rashid anayetetewa? somebody to give us a break.
 
Nilikuwa TANU na kisha CCM mpaka 1992. hivi sasa mimi ni raia tu na unaweza kuangalia hoja bila kujali kadi ya chama changu hata kama ningekuwa bado CCM. Zito anakutoa roho na chuki zako wewe. alipotetea dowans alikuwa waziri? atakuwa mbunge, atakuwa Rais. muda tu

Kaka hizi details ulizotoa hapa zinanipa picha kuwa upo ndani unajua mengi kuliko hao unaobishana nao hapa. Tafadhali achana nao watu wanafrustrations zao za maisha ambao ili kujipa moyo kuwa maisha hayajawakalia vibaya basi njia rahisi ni kugeuza wengine wote kuwa ndio wenye matatizo....

Wengine ndio hivyo ni mabingwa wa kulia ukabila wakati wao ni wafaidika, waumini na waendekezaji wakubwa wa ukabila na udini wao. Unapoona mtu anamgeuzia mwezanke kuwa adui eti kwa kuwa aliquestion mantiki ya magazeti yanayomilkiwa na watu wa kabila moja kumshambulia wakati akiwa katika ushindani na mtu wa kabila lao basi ujue ni ukabila huohuo ndio unaoshape chuki zake hizo.

Mwenzao Zitto badala ya kukimbilia umaarufu kwa siasa za kikasuku amechagua kwenda kujielimisha zaidi kuhusu sekta ya madini na kujiongezea maarifa kwa upana zaidi katika upeo wa kimataifa na kufanya utafiti wa kisayansi ili aweze kutoa mchango madhubuti zaidi jinsi ya kuyashughulikia mapungufu yaliyopo katika sekta hiyo hapa kwetu.

Tatizo wengi wanamjua Zitto kwa muono wa buzwagi na mengineyo wanasahau kuwa uwezo wa kuthamini, kutafuta na kujielimisha kuhusu masuala aliyochagua kuyasimamia hata kabla ya buzwagi ndio imekuwa na inaendela kuwa nguvu yake kubwa kama kiongozi mahiri.

Hawa wao wanasubiri WAHANDISI WETU WA HABARI kutoka katika vyomboi vya havbari vilivyogubikwa na maslahi binafsi za wamiliki wake ndio wawapashe, wa-shape na kuongoza mitizamo yao katika mnasuala muhimu ya nchi.
 
Kaka hizi details ulizotoa hapa zinanipa picha kuwa upo ndani unajua mengi kuliko hao unaobishana nao hapa. Tafadhali achana nao watu wanafrustrations zao za maisha ambao ili kujipa moyo kuwa maisha hayajawakalia vibaya basi njia rahisi ni kugeuza wengine wote kuwa ndio wenye matatizo....

Omarilyas, sote tukianza kutoa details kama alivyofanya huyo jamaa, waweza shangaa lakini hayo tuyaache.
Mwenzao Zitto badala ya kukimbilia umaarufu kwa siasa za kikasuku amechagua kwenda kujielimisha zaidi kuhusu sekta fulani na kujiongezea maarifa kwa upana zaidi kuhusu sekta ya madini katika upeo wa kimataifa na kufanya utafiti wa kisayansi ili aweze kutoa mchango madhubuti zaidi jinsi ya kuyashughulikia mapungufu yaliyopo katika sekta hiyo hapa kwetu
Hili ni jambo zuri na la kupongezwa lakini siyo guarantee ya ufanisi katika utendaji kama tulivyoshuhudia na tunaendelea kushuhudia kwa watendaji wetu wengi kuanzia Chenge, Marehemu Balali, Dr. Rashidi na wengineo wengi tu. Ni hawa hawa wanataaluma tena wazuri tu wanaotuangusha na hii hali inachochewa zaidi na mfuomo tulio nao. Yahitaji ujasiri usio wa kawaida hivi sasa kusimama na kutetea hali iliyopo na kwa vyo vyote huo ujasiri haiwezekani ukasukumwa na uchungu wa kutetea maslahi ya taifa. Ndio maana wengine hatusiti kusema hapana - hapa mwenzetu unatuchanganya.
Hawa wao wanasubiri WAHANDISI WETU WA HABARI kutoka katika vyomboi vya havbari vilivyogubikwa na maslahi binafsi za wamiliki wake ndio wawapashe, wa-shape na kuongoza mitizamo yao katika mnasuala muhimu ya nchi.
Binadamu ni mtu wa ajabu sana, akisifiwa kwa matendo anaona fahari lakini akiambiwa hapana bwana, hapa umekosea - mmh, si gubu hilo. Waandishi wa habari wanaweza kufanya kazi kubwa ya kumjenga mtu lakini wakianza tu kuanika mapungufu yake, wanabatizwa na kuitwa wahandisi wa habari. Huyo shujaa wa leo atafahamika vipi katika jamii bila vyombo vya habari, huo umaarufu wake nani ataujua bila waandishi wa habari. Ni kweli wao siyo malaika na wanaweza wakapotosha habari wakati mwingine lakini ni jukumu la muathirika to put the record straight na ikiwezekana kudemand apology.
 
Omarilyas, sote tukianza kutoa details kama alivyofanya huyo jamaa, waweza shangaa lakini hayo tuyaache.

ni vema mtoe hizo details maana imekuwa kama kitisho kwa bwana mdogo Zito. Toeni hizo details na za kweli zitasimama na huyu kijana kuwajibishwa nazo na kama ni zile za uzushi kama kawaida tutazipuuza. Toa hizo details kama hutoi huna na wewe umejawa chuki tu kwa huyu kijana.

Unasema wasomi wametuangusha. Tuambie wajinga waliotufikisha mbali katika nchi. Hoja ya kitoto kabisa unatoa. Eti hata akisoma anaweza kuwa kama kina chenge. So? akachukue degree za kina Kamala na kina nchimbi? Watanzania watu wa ajabu kabisa. Sisi hatukulelewa hivi.

Huyu kijana kaibeba ajenda ya madini iliyokufa imekufa kabisa na kuirudisha mpaka ajenda ya kitaifa. Kaitoa mtaani kaipeleka bungeni. Sheria ya madini imetungwa 1998, sheria mbovu kabisa na kina Slaa, Shelukindo Iddi Simba, Cheyo walikuwemo Bungeni. Mliwasikia. Kijana huyu kachukua ajenda na kuifikisha mahala pa muswada mpya wa madini kuandikwa - haijawahi kutokea. Siri yake? Kusoma na kusoma na kusoma. Hoja zake zinatokana na kusoma kwake na sio habari za magazeti ambazo hazijafanyiwa utafiti wa kutosha.

Unataka kusema hakuna wahandisi wa habari? Kama ilivyo kuna wabunge vilaza ndivyo hivyo hivyo kuna wahandisi wa habari.

Wewe nawe una gubu tu maana hakuna jema la Zito
 
Yaani kama mashindano ya miss congeniality. Kutaka kujionesha kuwa umekuwa mwana TANU au umri wako ni mkubwa ni kuzidi kujidhihirisha kuwa miafrika mingi ndiyo ilivyo - minafikini na mipenda sifa (longo longo tu huku matendo sufuri).

Unasema wasomi wametuangusha. Tuambie wajinga waliotufikisha mbali katika nchi. Hoja ya kitoto kabisa unatoa. Eti hata akisoma anaweza kuwa kama kina chenge. So? akachukue degree za kina Kamala na kina nchimbi? Watanzania watu wa ajabu kabisa. Sisi hatukulelewa hivi.

Ni kweli wasomi wametuangusha... kwani unakataa?

Huyu kijana kaibeba ajenda ya madini iliyokufa imekufa kabisa na kuirudisha mpaka ajenda ya kitaifa. Kaitoa mtaani kaipeleka bungeni. Sheria ya madini imetungwa 1998, sheria mbovu kabisa na kina Slaa, Shelukindo Iddi Simba, Cheyo walikuwemo Bungeni. Mliwasikia. Kijana huyu kachukua ajenda na kuifikisha mahala pa muswada mpya wa madini kuandikwa - haijawahi kutokea. Siri yake? Kusoma na kusoma na kusoma. Hoja zake zinatokana na kusoma kwake na sio habari za magazeti ambazo hazijafanyiwa utafiti wa kutosha.

Pamoja na kuichukua ajenda ya madini na kuileta kwenye level ya kitaifa (kitu ambacho ni debatable), ni kimefanyika baada ya hapo?

Report ya kamati ya madini ilisomwa na Sinclair kabla hata ya wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sinclair alianza kutamba kwenye vyombo vya habari kuwa kamati ya madini ya Kikwete haitabadilisha chochote kwenye mikataba ya Barick na wenzake - kitu ambacho ndicho kilitokea.

Zitto kaisaidia sana Barick kufunika maovu yake - kuna kingine chochote alichofanya unachoweza kukisema hapa?

Unataka kusema hakuna wahandisi wa habari? Kama ilivyo kuna wabunge vilaza ndivyo hivyo hivyo kuna wahandisi wa habari.

Wewe nawe una gubu tu maana hakuna jema la Zito

Tatizo lenu mnadhani kuwa kila mtu anayempinga Zitto ana chuki au wivu dhidi ya Zitto. Kuna watu hapa wanafanya kazi za kuwapatia vipato vya halali tofauti na Zitto ambaye ametajirika kwa kuunga magaidi wa madini na nishati Tanzania - Dowans na Barrick
 
Back
Top Bottom