zitto ni mzigo yeye anafanya mambo as if alipokuwa spika wa bunge la UDSM..no way aende tu ...hafai hata kidogo kuwa CHADEMA na kumuacha ni hatari auende akajiunge na TLP au CCM
JK aliposema atashirikisha wapinzani kwenye serikari yake alikuwa ana maanisha CUF au? Je akifanya uteuzi wa kichokozi kwa kumteuwa ZITTO ambae amekuwa PRO-JK kwa sababu zinazoeleweka itakuwaje?
Ndugu Wana JF,
Kuna uwezekano mkubwa baadhi ya wabunge wa chadema wenye muelekeo wa kuitambua serikari ya JK na kutaka kushirikiana na CCM na huenda wakatajwa kuwa kwenye Baraza la mawaziri la JK, Lengo likiwa kuleta msuguano na mitafaruku ndani ya chama chetu cha chadema.
Kwani misimamo mingi ya bwana ZITTO KABWE imekuwa ikiwapa talking point wapinzani wakubwa wa chadema hususani CCM, na nadhani JK anaweza kuwateuwa baadhi ya wabunge wa chadema hususani ZITTO KABWE kama wachambuzi wengi wa masuala ya kisiasa wanavyo speculate, Je ikiwa baadhi ya wabunge wa chadema watateuliwa chadema wamejipanga vipi kukabiliana na suala hilo lenye nia ya kutaka kuongeza msuguano na kukidhohofisha chama? watakubali uteuzi au watawazuia wabunge hao kushiriki kwenye serikari ya ccm, na je uamuzi wowote wa chama utakuwa na repucation gani kisiasa?
Ni mtazamo wangu huru, wadau tujadili hili.
Vipi ndugu yangu! Hujui kuwa jk huwa anaongea kitu ambacho hata yeye mwenyewe hakijui? Na hawezi hata kukitolea ufafanuzi muda mfupi baada ya kukizungumza? Na anapenda sana kupigiwa makofi hata kama alichokisema hakivutii!JK aliposema atashirikisha wapinzani kwenye serikari yake alikuwa ana maanisha CUF au? Je akifanya uteuzi wa kichokozi kwa kumteuwa ZITTO ambae amekuwa PRO-JK kwa sababu zinazoeleweka itakuwaje?
je hakuna repucation zozote kama chama kikimwaga zitto, kwani kumekuwa na propaganda za udini chadema na hizo propaganda zinatumiwa makusudi na ccm ili kumweka zitto kama icon ndani ya chadema hivyo basi kama chadema kita mwaga zitto , ccm hawawezi take advantage kukimaliza chama chetu kisiasa?
Je hakuna repucation zozote kama chama kikimwaga ZITTO, kwani kumekuwa na propaganda za udini CHADEMA na hizo propaganda zinatumiwa makusudi na CCM ili kumweka ZITTO kama icon ndani ya chadema hivyo basi kama Chadema kita mwaga ZITTO , CCM hawawezi take advantage kukimaliza chama chetu kisiasa?
Hofu ya Zitto ni kufunikwa na Mnyika ambaye ndiye mpinzani wa kweli na ni msomi mahiri kuliko Zitto.
Nadhani huyu bwana mdogo anahitaji kupepewa
Kujaribu kumfanya Mnyika kuwa mshindani ama adui wa Zitto hakumsaidii Mnyika na wala CHADEMA. Hawa pamoja na Halima Mdee wanapaswa kuwa mbali na hizi siasa za makapi ya CCM (SLAA na MBOWE) ili muda utakapowadia wao kuondoka basi ile nuru ya chama mbadala makini iweze kushamiri.......Kumbuka, hata Mnyika naye ana mapungufu yake na hivyo kumuingiza katika hii vita dhidi ya Zitto kunaweza kumfanya mhanga asiye na hatia.....Ni wazo la busara tu
Mbona siyo siri tena? Hata mfuasi wa CCM hapa ukumbini Selemani kishasema kuna mipango ya ku-infiltrate Chadema.