Zitto anasema uhuru anaopata kwa sasa unatosha

Zitto siyo mtu wa kumuani hata kidogo
Tumuamini nani sasa.



Alafu wewe BABATI na unafiki wenu mgombea wenu alivyokuwa ananadi kura kanisani kwa kusema zamu ya Waluther kuna kuna kiongoz yoyote hapo saccos alimpa onyo?

AU ULIKUWA SIO UBAGUZI WA KIDHEHEBU.

Tulizeni bongo hata uwepo ukristo pekee yake bado bongo za kiafrika zitabaguana kidhehebu na kikanda.
 
CCM haina dini bwashee!
Hiyo Chadema ni dini gani? Ukitaja Ulutheri basi uje na majibu kabisa ya haww watu iwapo nao walikuwa/ ni Walutheri pale Chadema (Halima Mdee, Profesa Safari, Mabere Marando, aliyekua Katibu Mkuu Dr. W. Slaa, nk.)
 
yinyi ndio udini unawasumbua, acheni kuangalia mambo kwa angle hiyo, mnachojidai kukemea ndiomkinacho nwasumbua.
Ukatae, ukubali! Ila mwisho wa siki ukweli wa jambo hili anaujua Zitto mwenyewe.
 
Ungekuwa huo ndio uhuru Gadafi asingeuawa mtaroni,Saudi Arabia pasingekuwa na wapinga serikali na nchi nyingine nyingi.
Tatizo kubwa ni kuwa watu hawasomi historia na waulizi.
Marehemu JPM amefanya mambo makubwa ,nakkubali lakini kuna ambao pia walifanya makubwa kuliko yeye.
Tazara na mabwawa ya umeme ya Nyumba ya Mungu na Kidatu na Mtera (Sio Magufuli).
Kwa maiak mitano pamoja na zahanati na umeme vijijini na barabara za lami tayari tulishakuwa brain washed na tukaingizwa woga usio kifani.
 
Hiyo Chadema ni dini gani? Ukitaja Ulutheri basi uje na majibu kabisa ya haww watu iwapo nao walikuwa/ ni Walutheri pale Chadema (Halima Mdee, Profesa Safari, Mabere Marando, aliyekua Katibu Mkuu Dr. W. Slaa, nk.)
Walutheri siyo dini ni dhehebu bwashee!

Naona unataka kuwaibua vifutu.
 
Kila jambo ni hatua. huwezi kupata vyote kwa wakati mmoja.
Zitto yuko sawa.
 
Makaburu ya SA yalijenga hospitali kila sehemu, barabara, maji elimu bure lkn bado wananchi walidai uhuru.
 
CHADEMA na Zitto, CCM na Tundu Lissu.

Mmebakiza risasi 36 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…