Zitto ana ufunguo wa CHADEMA kushika dola 2015

Zitto ana ufunguo wa CHADEMA kushika dola 2015

msumeno

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2009
Posts
2,826
Reaction score
1,738
Ninaushauri huu kwa CHADEMA,

1. CHADEMA umrudishe Zitto kwa kishindo kwa kufanya tukio kubwa la kitaifa.

2. Tukio hilo lifanyike Dar na baada ya hapo Zitto azunguke na kamati kuu nchi nzima.

Gear itakata ngebe za ukanda na udini na ita-easy hasira za mashabiki wa Zitto ambao bado wako CHADEMA.

Lakini pia mjue Zitto anakubalika sana na kundi kubwa ambalo huwa si washabiki wa chama chochote ila ni wapiga kura kama mimi .

Mimi sina chama kabisa lakini huwa mpiga kura mzuri kabisa. Mwaka 1995 nilipigia NCCR, mwaka 2000 CUF, mwaka 2005 JK CCM 2010 CCM urais na Halima mdee CHADEMA Ubunge.

Watu kama mimi ni wengi , sisi hatupendi vyama ila watu, na Zitto ana watu kama sisi wengi.

Acheni fahari wapeni watu wapendacho.
 
Acha upuuzi !

Waungwana someni mawazo yangu kabla Mods hawajafuta.

Ninaushauri huu kwa CDM,

1. CDM umrudishe zitto kwa kishindo kwa kufanya tukio kubwa la kitaifa,
2. Tukio hilo lifanyike Dar na baada ya hapo zitto azunguuke na kamati kuu nchi nzima.

gear itakata ngebe za ukanda na udini na ita easy hasira za washabiki wa zitto ambao bado wako cdm, lakini pia mjue zitto anakubalika sana na kundi kubwa ambalo huwa si washabiki wa chama chochote ila ni wapiga kura kama mimi . mimi sina chama kabisa lakini huwa mpiga kura mzuri kabisa. Mwaka 1995 nilipigia NCCR, mwaka 2000 CUF, mwaka 2005 JK CCM 2010 CCM urais na Halima mdee CDM Ubunge.

Watu kama mimi ni wengi , sisi hatupendi vyama ila watu, na zitto anawatu kama sisi wengi. acheni fahari wapeni watu wapendacho.
 
Kipi rahisi kumshauri mtu 1 (ZZK) au taasisi(CDM)? kama unampenda ZZK sio chama kwanini msim shauri we na wenzio mnaompenda ZZK awemgombea binafsi? Mantiki iko wapi unampenda MTU sio chama then unataka chama kimrudishe huoni kama uteseka ZZK atakapo kuwa ndani ya chama wakati wewe hupendi chama? Nina hakika hata ZZK mwenyewe akisoma hiyo post yk anaweza kuchukia maana atagundua walionyuma yake ni MINARA!
 
Zito mwenyewe anasema ameshalikoroga wewe bado unamfikiria huyo kayaharibu mwenyewe kwa tamaa yake
 
Sisi wananchi hatuna tatizzo ila tatizo lipo kwa viongozi wasaliti taipu ya Zana Za Kilimo.
 
Kama Zito anakutosha popote alipo inakuwaje unataka awe CHADEMA? Kiri basi kuwa nawe ni mpenzi wa chama - CHADEMA. Kama sivyo, una lengo la ajabu.
 
Ninaushauri huu kwa CHADEMA,

1. CHADEMA umrudishe Zitto kwa kishindo kwa kufanya tukio kubwa la kitaifa.

2. Tukio hilo lifanyike Dar na baada ya hapo Zitto azunguke na kamati kuu nchi nzima.

Gear itakata ngebe za ukanda na udini na ita-easy hasira za mashabiki wa Zitto ambao bado wako CHADEMA.

Lakini pia mjue Zitto anakubalika sana na kundi kubwa ambalo huwa si washabiki wa chama chochote ila ni wapiga kura kama mimi .

Mimi sina chama kabisa lakini huwa mpiga kura mzuri kabisa. Mwaka 1995 nilipigia NCCR, mwaka 2000 CUF, mwaka 2005 JK CCM 2010 CCM urais na Halima mdee CHADEMA Ubunge.

Watu kama mimi ni wengi , sisi hatupendi vyama ila watu, na Zitto ana watu kama sisi wengi.

Acheni fahari wapeni watu wapendacho.
Mbona kama vile mmechelewa. Treni imeshaondoka kituoni.
 
Zitto akiendelea kukaa chadema nitamdharau sana na sintokaa nimuunge mkono kwenye harakati zake zozote. Na kwa kuendelea kukaa chadema atakua amewasaliti watanzania wengi wapenda demokrasia, vilevile atakua kawasaliti watu walio hangaika nae kwenye kipindi cha raha na matatizo kama Prof.Kitila na Mwigamba.

Hicho chama kimeshapoteza dira hivyo Zitto kuendelea kukaa humo ni kama chama kitakua kinaitumia nyota ya Zitto kuendelea kuwepo.
 
Kama anamashabiki wengi huyo fisadi aanzishe chama, ili umfuate huyo mbunge wa mahakama
 
Back
Top Bottom