Zitto ana ufunguo wa CHADEMA kushika dola 2015

Zitto ana ufunguo wa CHADEMA kushika dola 2015

Watu wenye akili kama yako ni wachache sana. Akili pevu hufuatilia sera na sio mtu.
 
Ninaushauri huu kwa CHADEMA,

1. CHADEMA umrudishe Zitto kwa kishindo kwa kufanya tukio kubwa la kitaifa.

2. Tukio hilo lifanyike Dar na baada ya hapo Zitto azunguke na kamati kuu nchi nzima.

Gear itakata ngebe za ukanda na udini na ita-easy hasira za mashabiki wa Zitto ambao bado wako CHADEMA.

Lakini pia mjue Zitto anakubalika sana na kundi kubwa ambalo huwa si washabiki wa chama chochote ila ni wapiga kura kama mimi .

Mimi sina chama kabisa lakini huwa mpiga kura mzuri kabisa. Mwaka 1995 nilipigia NCCR, mwaka 2000 CUF, mwaka 2005 JK CCM 2010 CCM urais na Halima mdee CHADEMA Ubunge.

Watu kama mimi ni wengi , sisi hatupendi vyama ila watu, na Zitto ana watu kama sisi wengi.

Acheni fahari wapeni watu wapendacho.

Usituletee uchuro na U- CCM wako!.. UDINI na UKANDA si ni sera za ZITTO na masisiemu unaowapigia kura?
 
una msubiri mtu? je akifa?.... je kama akianuwa kubadilika na kuwa mchumia tumbo? mm nilidhani ukubali kwanza sera za chama na mtu anae zisimamia sio kupenda mtu, hayo mambo ya kupenda yako kwenye mapenzi, hasa wakati wa kuowa, na sio kwenye siasa.
 
Kabla ya mkutano mkuu mlitukana sana na kumfanya huyo jamaa yenu ni hero na kuwa mkutano mkuu ungeonyesha jinsi uongozi usivyokubalika. Mumeumbuka na jamaa yenu kabaki mweupe kabisa.
 
what you are talking is nothng rather than purified truth. Am stil trust. That zzk can call spade spade the way to 2015 cdms succes. People is always the power. Cdm is my big political wing.
 
Ninaushauri huu kwa CHADEMA,

1. CHADEMA umrudishe Zitto kwa kishindo kwa kufanya tukio kubwa la kitaifa.

2. Tukio hilo lifanyike Dar na baada ya hapo Zitto azunguke na kamati kuu nchi nzima.

Gear itakata ngebe za ukanda na udini na ita-easy hasira za mashabiki wa Zitto ambao bado wako CHADEMA.

Lakini pia mjue Zitto anakubalika sana na kundi kubwa ambalo huwa si washabiki wa chama chochote ila ni wapiga kura kama mimi .

Mimi sina chama kabisa lakini huwa mpiga kura mzuri kabisa. Mwaka 1995 nilipigia NCCR, mwaka 2000 CUF, mwaka 2005 JK CCM 2010 CCM urais na Halima mdee CHADEMA Ubunge.

Watu kama mimi ni wengi , sisi hatupendi vyama ila watu, na Zitto ana watu kama sisi wengi.

Acheni fahari wapeni watu wapendacho.
Acha ujinga wewe zitto ni nani chadema?acha akafie mbele huko
 
ukiwa idiot basiii unakuwa hovyo kama mleta mada na mambo yake ya kifacebuk facebuk, wew uchaguzi wa chama na yote yaliyofanyika yameenda kwa ufunguo wa zito,. au nn yeye atafanya cha zaidi tofauti na kutaka kujisafisha ? tumia akili
 
Ni ushauri mzuri lakini naona kwa sasa is too late. Kwakuwa wewe ni mfuasi wa mtu muda si mrefu Zitto atakuwa ACT utamfuata hukohuko na huku CDM utaendelea kuchagua wale unaowaona wanafaa.
 
The likes of Mr Msumeno sijawahi kukutana nao maishani. have you been to a classroom au any form of education in your life? Hujui hata ni kwa nini watu wanaanzisha vyama vya siasa? hivi nani kakwambia kusudi la vyama vya siasa ni kuwapa uongozi watu wanaopendwa na wapambe au watu wa duniani? jamani sasa hata hiyo elimu ya uraia itaweza kukusaidia kweli? chama ni mkusanyiko wa watu wenye shared objectives, na sio wenye objectives za kuwafurahisha watanzamaji. Both you and your idol Zitto hamkujua hilo? poleni sana ni sawa na kukosa elimu ya msingi ya mambo ya kawaida ya maisha, mnahitaji kujifunza. Kwa taarifa yako you and your zitto have missed the flight, as we speak, taarifa ni kwamba wameshateua mbadlala wa mbunge wa mahakama, naye ni the greate young mwanazuoni according to Prof Lwaitama jana, inamaana Zitto anaendelea kuachwa nyumba, tamaa na usaliti umemponza, kiburi na cheap popularity ya kundi la wajinga kama wewe linamchelewesha kufanya marekebisho. Namlipia ushauri wa bure, asione aibu kujionyesha huko ACT maana NCCR mageuzi hawezi kuchungulia pua, Mbatia is too big for his stupidity. Ulimpenda lakini bwana mungu amempenda zaidi
 
Zitto akiendelea kukaa chadema nitamdharau sana na sintokaa nimuunge mkono kwenye harakati zake zozote. Na kwa kuendelea kukaa chadema atakua amewasaliti watanzania wengi wapenda demokrasia, vilevile atakua kawasaliti watu walio hangaika nae kwenye kipindi cha raha na matatizo kama Prof.Kitila na Mwigamba.

Hicho chama kimeshapoteza dira hivyo Zitto kuendelea kukaa humo ni kama chama kitakua kinaitumia nyota ya Zitto kuendelea kuwepo.

Una uhakika na unachokinena? Hivi kati ya ZZK na CDM nani kapoteza dira? nadhani wewe ni kati ya watu waliofurahi ZZK kuharibikiwa. Itachukua muda sana ZZK kurudi kwenye chati aliyokuwanayo kipindi akiwa CDM. Kuisimamisha ACT hadi iwe imara itachukua si chini ya miaka 15, ukijumlisha na umri wa ZZK wa sasa tayari atakuwa anaelekea kuchoka na siasa za siku hizi kwa kizazi hiki zionabadirika kila siku na kila mwaka kuna kuna kina ZZk wengi wanazidi kuzaliwa
 
Ninaushauri huu kwa CHADEMA,

1. CHADEMA umrudishe Zitto kwa kishindo kwa kufanya tukio kubwa la kitaifa.

2. Tukio hilo lifanyike Dar na baada ya hapo Zitto azunguke na kamati kuu nchi nzima.

Gear itakata ngebe za ukanda na udini na ita-easy hasira za mashabiki wa Zitto ambao bado wako CHADEMA.

Lakini pia mjue Zitto anakubalika sana na kundi kubwa ambalo huwa si washabiki wa chama chochote ila ni wapiga kura kama mimi .

Mimi sina chama kabisa lakini huwa mpiga kura mzuri kabisa. Mwaka 1995 nilipigia NCCR, mwaka 2000 CUF, mwaka 2005 JK CCM 2010 CCM urais na Halima mdee CHADEMA Ubunge.

Watu kama mimi ni wengi , sisi hatupendi vyama ila watu, na Zitto ana watu kama sisi wengi.

Acheni fahari wapeni watu wapendacho.

ndugu msumeno; Inawezekana kweli usiwe mwanachama wa chama chochote, lkn kwa nini unapenda zito awe mwanachama wa CHADEMA? Umewahi kujiuliza kwa nini CHADEMA imfukuze ZITO na si MBILINYI? kwa nini ZITO na si TUNDULISU? kwa nini asifukuzwe WENJE? Unayempenda Zito unaijua na dhambi aliyoitenda role model wako? Je Zito kakutuma umwombee nafasi? unamfanyia suluhu? Hata MUNGU huwasamehe wanaokiri na wanaotubu makosa yao Je, Zitto role model wako kakiri dhambi zake? Suala la yy kuwa maarufu na kuitumikia chadema si sababu za kuabudiwa hata akifanya uhain kwa chama. Vinginevyo MUNGU asinge waadhibu watenda dhambi walio wahi kutoa sadaka. Ushauri wangu kwako ni kwamba usiishauri CHADEMA bali mshauri ZITO azunguke kanda zote akiri dhambi zake then aombe radhi atasamehewa tu!
 
Back
Top Bottom