Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 69,538
- 122,962
Hiyo haki anayopigania lema ambayo haipo ni ipi. inafaa kudefine watu wajue wazi lema na upinzani siku hizi mnapigania nini. kama ni haki ya kutukana viongozi matusi ya nguoni tujue. kama ni haki kuleta siasa za maono au za kidini tujue. zitto hapa anacheza unafiki kwa watu waliyomfukuza kwenye chama chao kwamba ni msaliti. siju anategemea kupata nini.
Kiongozi gani katukanwa matusi ya nguoni? Acha kujipendekeza ww, kuwa na madaraka sio sehemu ya kunyanyasia wengine.