Kuna mambo magumu yanatendeka ambayo hayana faida kwa yoyote, awe hai au amekufa!!! Kinachoendelea Arusha ni vita ya siasa baina ya wanasiasa na mbunge wa Arusha. Kwa bahati mbaya sana, hawa wachache wanaojitoa kupambana na udhalim wanakosa mass support na mwishowe wanakandamizwa na kuonewa na vyombo vya sheria vya dunia ya tatu. Na katika hili, nchi za dunia ya tatu hazikustahili ziendelee kubaki dunia ya tatu, nafikiri tumeshajizogeza hadi dunia ya sita, ambayo mind zime-freeze completely. Wakati utaamua, na wakati ukifika kila kitu kitakuwa sawa.