Haya ndio ya Zitto haya.
Mchana anatupigania kwa jasho na machozi. Usiku analala nao!
Zitto Kabwe amekubali, ame endorse jinsi Kikwete administration inavyo handle masuala ya mali asili za Tanzania. Amepitisha, amebariki, mwelekeo mzima wa mining policy ya Kikwete administration kwa kupasisha na kusifia kazi ya kiongozi wa wizara ya madini.
Now, Hon. Zitto, you have every right to - and you could be absolutely right in - your assesment of Ngeleje's work. After all, since you wrote that presidential report you are probably more privy on all issues on the mining front than most experts are.
Lakini sasa, mheshimiwa mbunge, lakini sasa, tusije tukasikia, tusisome mahala, tusije tukakuona sehemu yoyote, bungeni, ama Ikulu, ama mitandaoni, ama kwingine kokote kule kwa siri unapokutana na viongozi wa CCM, tusisikie umetamka kukosoa, kuswalisha, kubeza au kudai maelezo ya chochote na lolote lile lililopo chini ya portfolio ya William Ngeleja.
Ahsante kwa kutuwekea wazi msimamo wako.
Malcom X, mwanaharakati wa kimarekani wa karne iliyopita, aliwahi kusema kwamba ana heshima zaidi kwa mtu anaemwambia aliposimama, hata kama hayuko sawa, kuliko yule anaekuja kama malaika lakini ndani hana unje wa vazi la kondoo. Kwa hilo, ahsante tena.
Ok. Tusonge mbele. Nani aliyebaki sasa ? Tuna nani mwingine? Nani ataahidi kulinda mali za Watanzania ? Yana mwisho!
Allien, umemuelewa Bulesi ?
Hata huyo Kikwete mwenyewe, did you hear him, Bulesi anakwambia hata huyo Kikwete mwenyewe anamgombeza gombeza Ngeleja hadharani.
Leo Kikwete kagomba kuhusu bei za mafuta, kasema kamuagiza huyu Ngeleja afanye a do something.
Kikwete alishawahi kumwambia hadharani Ikulu kwamba inaonekana huyu Ngeleja ha make time kusoma documents muhimu. Remember that ?
Kikwete mwenyewe is not happy with this official, anam lambast in public kama kitoto kidogo all the damn time.
Halafu mpinzani aliyekuwa anapiga kelele kuhusu wizi wa mali asili za umma anakuja kum endorse, baada ya kuanza kualikwa alikwa kwenye cocktail parties za Magogoni. Na kuandika ripoti ambazo baadae anakuja kutuambia hawakua na nguvu ya kufufua kila yaliyofichika - including the names of who own which mine - kwa sababu hawakuwa na nguvu za ku subpoena watu na documents. Tume ya Rais haina subpoena authority!!! Sasa kwa nini ulikubali kuingia kwenye kitume kisicho na nguvu ya ku find out nani anamiliki mgodi ati kwa vile hawana power of subpoena ? Rais kwani hana nguvu ya ku grant subpoena power ? Please, usanii mwingine bana.
Bulesi, that was a trenchant point there.
Haya ndio ya Zitto haya.
Mchana anatupigania kwa jasho na machozi. Usiku analala nao!
Zitto Kabwe amekubali, ame endorse jinsi Kikwete administration inavyo handle masuala ya mali asili za Tanzania. Amepitisha, amebariki, mwelekeo mzima wa mining policy ya Kikwete administration kwa kupasisha na kusifia kazi ya kiongozi wa wizara ya madini.
Now, Hon. Zitto, you have every right to - and you could be absolutely right in - your assesment of Ngeleje's work. After all, since you wrote that presidential report you are probably more privy on all issues on the mining front than most experts are.
Lakini sasa, mheshimiwa mbunge, lakini sasa, tusije tukasikia, tusisome mahala, tusije tukakuona sehemu, bungeni, ama Ikulu, ama mitandaoni, ama kwingine kokote kule kwa siri unapokutana na viongozi wa CCM, tusisikie umetamka kukosoa, kuswalisha, kubeza au kudai maelezo ya chochote na lolote lile lililopo chini ya portfolio ya William Ngeleja.
Ahsante kwa kutuwekea wazi msimamo wako.
Malcom X, mwanaharakati wa kimarekani wa karne iliyopita, aliwahi kusema kwamba ana heshima zaidi kwa mtu anaemwambia aliposimama, hata kama hayuko sawa, kuliko yule anaekuja kama malaika lakini ndani hana unje wa vazi la kondoo. Kwa hilo, ahsante tena.
Ok. Tusonge mbele. Nani aliyebaki sasa ? Tuna nani mwingine? Nani ataahidi kulinda mali za Watanzania ? Yana mwisho!
Zitto kama mwanasiasa Liberal ana haki ya kusifia mazuri.
....Kesho akimlima Ngeleja itakua ni haki yake
"Mwanasiasa Liberal" maana yake nini ?
Tusije tukawa tunaokotaokota mawazo na maneno kutoka mifumo ya siasa za sehemu nyingine halafu maelezo ya ki-mushkeli mushkeli yanafanya tusielewane.
Unataka kusema siasa za mrengo wa kushoto? Tanzania tunacho hicho kitu? Mashoga wanakubalika Tanzania? Wasioamini Muumba wanachukuliwaje Tanzania ? Kuna uhuru wa kusema unachotaka ? Unaweza kusema "Rais ana malengelenge" ? Sijui unanielewa ? Hakuna liberalism Tanzania!!
"Mwanasiasa Liberal ana haki ya kusifia mazuri," kwa hiyo ndio kusema conservatives hawana haki ya kusifia mazuri ?
Una maana gani "Mwanasiasa Liberal" ?
Una maanisha independent politician ? Zitto ni independent yule? Unayo voting record ya Zitto ? Ni kwa kiasi gani Zitto ame vote kwa kuji align na CCM au ku endorse platform ya CCM ? Sijui hata unanielewa? "Mwanasiasa Liberal" ?
Unaongelea haki kwa mujibu wa nini, haki za Kikatiba za kufyatua unachotaka al muradi hujasema Rais ana malengelenge, ama ?
Unajua tofauti kati ya the right to say something na being right in what you said ?
Signature issue iliyojenga political career ya Zitto Kabwe ni ufisadi wa mali asili za Tanzania. Leo ametoa ringing endorsement kwa kazi ya mkuu wa serikali mwenye portfolio ya sekta ya madini Tanzania.
Sasa asije kusikika akipiga yowe tena kuhusu usimamizi na undeshaji wa sekta ya mali asili za Tanzania.
Acha kukurupuka,ungekua unaelewa maana ya kuwa Liberal politician usingekurupuka kushangaa Zitto kumsifia Ngeleja au kutoa maonyo hayo ya ajabu ajabu
Wewe una mawazo mgando ya kuwa mtu akishakua upinzani au chama flani basi ni wa kukosoa tu,na akisifia inakua dhambi kwa jinsi unavyoonekana
Mh, yamekuwa hayo tena Hon.Kabwe?
Ni haki yako lakini usji ukala matapishi yako tena, hatutakuelewa!!!!!!!!!!!!!!!!
Juzi Juzi tu Jakaya kaamshambulia Ngeleja kwa ugoigoi wa wizara yake kubadilisha mitambo ya kuzalisha umeme ili itumie gesi asilia. Leo bwana kabwe anakuja na mpya kumsifia huyo huyo bosi wake alieonyesha kutorudhika na utendaji wake. Zitto ni vyema ukawa mkweli tujue uko upande gani ili usitupotoshee harakati za kuikomboa nchi yetu.
Inwezekana huyo aliyemshutumu ndiye goigoi, kuchelewa kuibadilisha hiyo Mitambo ndiyo umakini wenyewe ambao Zitto kaungelea. Hauwezi uka damp hela ya Umma kwenye mitambo ambayo ina mgogoro ambao haujaamuliwa na mahakama hadi sasa. Aliyemshambulia Ngeleja hayupo makini na ndio maana Zitto akamtaka aondoke kule kwani Umakini wake unakwaza
Nashangaa sana watu kutumia mashambulizi ya JK kwa Ngeleja publically kwamba ni kuonyesha Ngeleja kashindwa kazi ama ni goi goi katika utendaji wake
Yawezekana umakini wake ndicho chanzo cha kushambuliwa na kuonekana hafanyi kazi!, Yawezekana kutokubali tupa pesa za walala hoi katika vitu visivyo na tija, na pengine kutokubali kimbia na mihuri ya serikali hotelin Londoni ndicho chanzo chake yeye kuonekana kashindwa kazi!
Umakini unatakiwa ...kuchunguza uhalali wa JK kumshambulia publically mara kwa mara Ngeleja!
Hivi ukifananisha utendaji kazi wa karamagi na Zitto katika Wizara hiyo iliyokuwa imeharibika; huwezi kusema kuwa kijana anajitahidi? Give credits when due! after all if you don't have facts, you have the right to keep your mouth shut!!!!!