Zitto amshukia Lema kuhusu Posho

Zitto amshukia Lema kuhusu Posho

Status
Not open for further replies.
hata kama unaungwa mkono na mtei+mkwewe kampan limited kwa wabishi wa kigoma utadance mzee wa viroba
 
napita tuu, kwani hoja hakuna hapa bali ni taarabu tuu... Kuna siku nimekuona mimi mwenyewe mirambo50 kwenye ofisi ya rostam ukichukua..... Sema wewe ni mzalendo Zitto
 
Last edited by a moderator:
Watanzania wa wapi sema wana Arusha wa maeneo ya Sakina na Stendi ya vifodi.

Bahati mbaya sana unajibu bila kusoma vizuri.
Akili za bangi hizo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
CHADEMA wana mengi sana ya kujifunza kutoka CCM. sema kinachowafanya wasitake kujifunza ndio kitakachowafanya wasikae wachukue dola maisha yao yote!

ni kweli mkuu. miongoni mwa hayo ni ufisadi, ujangili, kulindana, uroho wa madaraka, kufikiri kwa kutumia ngumi, n.k.
 
Kaka hapo umenena jambo la msingi. viongozi wa cdm lifanyieni kazi suala hili
 
Siku hizi umebadili jina?

Vya halali huli ila haramu kwako halali,

Huna usafi wowote katika ardhi ya dunia hii,

Wafanyie usanii watanzania wasiokujua, lakini tangu sasa maovu yako yote tutawapa watu wajionee wenyewe,

Mahakama bora kuliko zote duniani ni mahakama ya umma tu,

zito aeleweki kweli ok fine anakataa posho ya bungeni kinafiq wakati hapohapo yeye na zoka wakikaa wanampatia mamilion ya fedhwaaa kupitia benki za ndani na.kwa classmate wake huko Germany. Refer thread ya jasorne bourne
 
ubunge wa miaka 3 unajidai je ungekua umekomaa kama zito siungetembea makalio nje

Hapa Arusha wenye akili zao hawataki hata kumsikia, wanatamani uchaguzi ufanyike leo waondoe hii kadhia mjini kwao, amebaki na kundi la vijana anaowanunulia viroba ili waandamane na kufanya fujo ili ionekane ni NGUVU YA UMMA ambayo bado inamuhitaji. Lema kaikuta Arusha ikiwa na Amani, aiache ikiwa na Amani. atuachie ARUSHA YETU ikiwa shwari! Fujo akazifanyie huko MOSHI, si ndio kwao?
 
Haya yatendekayo humu.. mwisho wake si mzuri kwa Maendeleo ya chama...
haya mambo ni ya kujadiliwa ndani ya chama na si katika mitandao.
Kupitia mitandao kila mtu atasema lake ilhali anahakikisha anazidisha mikanganyiko kwa watu... na kukivuruga chama..
Si wote tuliomo humu tuna uchungu na Tanzania.
 
Amebadili sistem anaacha posho mchana anachukua rushwa gizani.ile mil 250 CRDB na dollar lak 2 za ujerumani hizo ni halali yake kama malipo ya kuwasaliti watz na kuhujumu chama chake jamani.mbona mna wivu?
 
Wakati mjadala huu unapamba moto nadhani mwaka 2011 au mwanzoni mwa mwaka 2012 niliwahi kusema kwamba posho zitatutagawa lakini wana JF wakanibeza kwa kusema kuwa zitanigawa mimi! Haya sasa yanaonekana wazi. Nilijua tangia mwanzo kwamba ndani ya CHADEMA Zitto ataonekana adui kwa sababu ya kukataa posho. Ilipoonekana kwamba Zitto anapata umaarufu kwa kukataa posho KUB akaja na santuri ya kulikataa shangingi la Serikali! Muda si muda tukaambiwa jamaa kalirudia analitumia lakini msiimamo wa Zitto ukabaki pale pale kwamba hataki posho hadi leo. Huu kwangu ni ushujaa badala ya usaliti. Kwa jambo hili la posho Zitto anabaki kuwa shujaa tu.

Tunaacha masuala ya msingi tunaanza kugombea posho! Zitto kasema hapokei na wengine wanapokea si waendelee kupokea tu bila kupiga mayowe.
Mkuu Kimbunga

Nakumbuka hiyo kauli yako kweli posho zitatugawa kweli.

Ngoja tusubiri jana Godbless J Lema alisema atakuja na uzi unafiki wa Zitto kuhusu posho.
 
Last edited by a moderator:
Toka usingizini hakuna ukombozi wala nini

viongozi wengi wa cdm wa awali ni wale waliokosa fursa ccm

ili kuganga njaa zao wakatimkia cdm kwa kichaka cha ukombozi

wanalaghai wananchi eti wanaleta ukombozi kumbe wanajokomboa wenyewe

amkeni nyie walaghaika cdm bila kuondoka kizazi cha slaa, mtei, mbowe
hakuna ukombozi ni makelele tu
 
jamaa hana shida na posho kasababu hata ikulu inamwezesha huyu, tangu apate yule binti wa pale magogoni mambo yamenyooka!
 
Habari wakuu,

Naomba nianze kwa kusema wazi kuwa naamini mimi kama watanzania wengine wengi ni muathirika wa utawala dhalimu wa serikali ya CCM na hivyo ni mtu nae tamani sana kuona ukombozi unapatikana kwa gharama yoyote ile ili tuondokane na huyu mkoloni mweusi (CCM).

UOGA ndiyo DHAMBI KUBWA KULIKO ZOTE !
 
Mkuu huyu jamaa nayeitwa Zitto yeye anapiga mambo kimya kimya. Anatenda anavyoamini na si kusema asichokiamini.

Mmebaki kupiga majungu ya kike bila ushahidi,zitto angekuwa anapiga kimya na nyinyi ushahidi mnao thubutu wachaga wangekesha mitandaoni kumwaga ushahidi ili aondoke kulinda shamba la mahindi(chadema)ili manyani yamalize kula mahindi .
 
Kuna mada huju JF niliyoleta kwamba Lema afungwe gavana, lakini utetezi uliokuja na kunirushia mawe wanajua wanachadema wenyewe. Ukweli unabaki mgema akisifiwa tembo hulitia maji. Ile ya kumrushia tofati Mwigamba Arusha haijaishia huko na sasa Lema anaanza kupambana na viongozi wa Chadema mitandaoni, hiyo ndiuyo niliyosema Lema hana busara, ana kiherehere, hafikirii kitu anachokifanya kabla ya kuchukua uamuzi, anashindwa kutumia vizuri ubongo wake. Afungwe GAVANA.

candidate scope.
 
Last edited by a moderator:
Hapa Arusha wenye akili zao hawataki hata kumsikia, wanatamani uchaguzi ufanyike leo waondoe hii kadhia mjini kwao, amebaki na kundi la vijana anaowanunulia viroba ili waandamane na kufanya fujo ili ionekane ni NGUVU YA UMMA ambayo bado inamuhitaji. Lema kaikuta Arusha ikiwa na Amani, aiache ikiwa na Amani. atuachie ARUSHA YETU ikiwa shwari! Fujo akazifanyie huko MOSHI, si ndio kwao?

Ha ha ha ha haaaaa! Arusha ipi?
 
Bahati mbaya sana unajibu bila kusoma vizuri.
Akili za bangi hizo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

LEMA amekununua kwa bei gani Mungi? Mbona unajidhalilisha namna hiyo? we unaona ni haki LEMA alipwe mara mbili kwa kufanya kazi moja? halafu anajiita Mkombozi? halafu anayetetea kuwa wasilipwe ndio msaliti wa CHADEMA? kweli kama ni hivyo hamvutii watu kujiunga na chama chenu, bali mnawafukuza!
 
Last edited by a moderator:
toka usingizini hakuna ukombozi wala nini

viongozi wengi wa cdm wa awali ni wale waliokosa fursa ccm

ili kuganga njaa zao wakatimkia cdm kwa kichaka cha ukombozi

wanalaghai wananchi eti wanaleta ukombozi kumbe wanajokomboa wenyewe

amkeni nyie walaghaika cdm bila kuondoka kizazi cha slaa, mtei, mbowe
hakuna ukombozi ni makelele tu

nimekudharau sana , ni heri mwanangu wa wiki 2 anauwezo mkubwa wa kuchanganua mambo kuliko wewe !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom