VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Muhongo katumia falsafa ya kusadikika. Kila nyumba kuunganishwa na bomba la gesi?????!!!! Labda tusemee tu kwa pamoja NDIYO MZEE!!!!
Jamaa anawadharau sana watz eti kwa vile muda mwingi ameishi na kusoma ujerumani. Alifikia hata kuongea kijerumani cha kuokoteza, tunaokijua tulikuwa tunamsikiliza tu kwani hakukuwa na nafasi ya kuuliza maswali
Atumie mavuno ya escrow account kuwapelekea maji ya bomba wanakijiji anakotoka itatosha maana ndio watakao palilia hata kaburi lake baada ya kufa
Jamaa anawadharau sana watz eti kwa vile muda mwingi ameishi na kusoma ujerumani. Alifikia hata kuongea kijerumani cha kuokoteza, tunaokijua tulikuwa tunamsikiliza tu kwani hakukuwa na nafasi ya kuuliza maswali
ZZITO umejuaje kuwamhaiwezekani? yeye kama mtalamu anaaminimhivyo subili ashidwe hacha majungu.
Kwa reserve ya gesi tuliyonayo na kwa uzoefu wake Prof. Muhongo anajua fika kuwa hawa wawekezaji wakilipa share kisawasawa tunatajirika kikwelikweli. Dhahabu ni udhaifu wa viongozi wamehongwa wakaiachia kwa wezi wa kizungu. Namuunga mkono Muhongo.
Nadhani hata siyo bifu kiukwweli hadi tuanze kunufaika na gesi miaka mitano kwishnei sasa yanini kututamanisha mapema hii?
Mtu akiongea ukweli mnasema anadharau