VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo,Zitto Z. Kabwe amempiga kijembe mtangazania wa CCM,Prof. Sospeter Muhongo.
Kijembe hicho kilibandikwa kwenye ukurasa wa twitter wa Zitto kinahusu gesi asilia.
Zitto amedai kuwa hapo nyuma kidogo,watanzania waliaminishwa kuwa mkombozi wao ni dhahabu.
Sasa wanaaminishwa kuwa mkombozi wao ni gesi,aliongeza Zitto.
Ni Prof. Muhongo tu ndiye aliyeelezea utegemezi wa gesi katika kukuza uchumi.
Ilikuwa wakati akitangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya CCM.
Bifu la Escrow linaendelea?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Tabora)