Zitto amkaribisha Kafulila CHADEMA

Mi nadhani kungekuwa na utaratibu hali kama hiyo inapotokea chama husika kiteue mtu atakayechukua nafasi ya ubunge sio kurudi tena kwenye uchaguzi inagharimu muda,energy na fedha nyingi.
Ina maana tatizo kama hilo likitokea kwenye chama kingine uchaguzi ufanyike tena!
 
Chadema haina haja ya kumpokea tena mpuuzi huyu. Aliyemkaribisha si Chadema bali bwana wake aliyemtuma kutafuta chama cha yeye kutumia kuwania urais. Kimsingi Kafulila na Zitto hawana mpaka. They are all bogus save that they are lucky to become a political accident. Nijuacho, Kafulila na Zitto ni wachumia matumbo waliobahatika kuzaliwa sehemu zilizoachwa nyuma kimaendeleo kiasi cha kukosa wakongwe wa siasa. Go back to your dad and mom CCM Kafulia.
 
CHADEMA haijawahi kumfukuza Kafulila, ila alivuliwa wadhifa wake kama msemaji , yeye mwenyewe ndio alijiondoa. . . .
Akija hakuna kuramba Matapishi. . ! Kwakua hatuwahi kutapika.
Hakufukuzwa lakini kuna mambo hakukubaliana nayo na ndiyo yaliyomfanya aondoke Chadema kwenda NCCR. Kuna mabadiliko yoyote katika hayo mambo ambayo yalimfanya aondoke? Kama jibu ni Hapana, hauoni kama ana ramba matapishi yake mwenyewe?

Na kama anaweza kula matapishi, Chadema watakuwa na uhakika gani kama atapata stomach upset akatapika tena?
 
Kafulila hafai chadema kwani alishatoa kashfa kibao wakishirikiano m.rashid wakati wa kuunda kambi rasmi ya upinzani;
Na wakumbuke kuwa malipo ni hapapa duniani na sasa wanalipa undumilakuwili waliowafanyia watanzania siku chache zilizopita.
 
Kwanini Watanzania tuankuwa wepesi kupandikiziwa mambo nakutolewa nje ya topic?Kila jambo linalohusiana na maslahi ya taifa hili wananchi wakilibebea bango hutafutwa topic nyingine kabisa kuwaondoa kwenye motion iliyopo.Motion current ambayo ilikuwa ina sound ni posho za wabunge,muafaka hajapatikana limekuja la Kafulila ili tu kuzima tension ya wananchi,nchi haiendeshwi hivyo na sisi tusiwe wepesi wa kuhamishwa kwenye motion zenye tija na mafanikio kwa mustakabali wa nchi yetu
 
Mbatia amethihilisha kuwa anafanya kazi na CCM 2 kwa kumfukuza KAFULILA. Kama hamjui huu ndio mwisho wa NCCR kwasababu sera ya cdm katka uchanguzi Kg ni kwamba NCCR =CCM.kwa jinsi KG walivyoonyesha hasila kwa CCM 2010 yatawapata yale ya CUF kura 1000. hilo halina ubishi

Kafulila ili akubalike Cdm. lazima kwanza zitto akiri alifanya makosa kumpingia kampeni kafulila hali kulikuwa na mgombea wa Cdm.
naonya kwamba wawili hawa kwakuwa wanaeliment za kupenda uongozi lazima apewe masharti ya kutogombea nafasi yoyote ndani ya chama labda ubunge 2 kwa muda wa miaka iciyopungua mitatu.

kusema ukweli kafulila na zito wanapenda madaraka hivyo kuwekwa pamoja watasababisha matatizo katika chama chochote watakapokwenda tatizo hawatosheki
 
Mi nadhani kungekuwa na utaratibu hali kama hiyo inapotokea chama husika kiteue mtu atakayechukua nafasi ya ubunge sio kurudi tena kwenye uchaguzi inagharimu muda,energy na fedha nyingi.
Ina maana tatizo kama hilo likitokea kwenye chama kingine uchaguzi ufanyike tena!
Binafsi siungi mkono hoja ya chama kuchagua mtu mbadala, nina sababu, si kwamba sioni umuhimu wa gharama bali itawaongezea umungu mtu wenyeviti, chukulia sakata la NCCR leo Mbatia angeshapendekeza mbunge wake baada ya kufanikiwa kumfukuza Kafulila. Vilevile wabunge watakuwa hawafanyikazi zao kwa uhuru kwa kuhofia kutimuliwa wakati wowote, pia itaongeza majungu ndani ya chama kiongozi akitofautiana na mbunge au akitaka mtu wake awe mbunge anaweza kumzushi jambo lolote mbunge aliyepo ili aondolewe kwa vile kutakuwa hakuna uchaguzi wa nje.
 
Ni namna ya kukomaa kisiasa,next time hatarudia kuchezea shillingi kwenye tundu la choo
 
Kafulila bana hukuwa na plan B????Zitto hana haja ya kukukaribisha CDM ni wewe kuomba radhi usamehewe,Zitto atakupoteza kitendo cha kupiga magoti na kulia daaa!!!!!!mimi umeniacha hoi kumbe maneno yako yoteeee hamna kitu liwe ni fundisho kwako nadhani utajifunza kitu hapa.Zitto hivyo hivyo aliwahi leta chokochoko zake CDM kumbe ninyi mnadanganyana eeeeeh,kazi kwenu.
 
Mi nadhani kungekuwa na utaratibu hali kama hiyo inapotokea chama husika kiteue mtu atakayechukua nafasi ya ubunge sio kurudi tena kwenye uchaguzi inagharimu muda,energy na fedha nyingi.
Ina maana tatizo kama hilo likitokea kwenye chama kingine uchaguzi ufanyike tena!

hii haiwezi kubalika hata siku moja. Uchaguzi ni lazima ufanyike, ila labda pasiwe na kampeni hizi tulizozizoea
 
hapana hapa unakosea kwa sababu kafulila ni mbunge na anahitajika na wananchi wa kigoma hivyo sio swala la kukifaa chama bali wananchi. Ni wananchi wanaomtaka kafulila na sii kwamba tunamtaka kafulila ktk uongozi wa chama.

acha uongo, kwani jimboni kwa kafulila yupo yeye tu, wengine hamna? Kama wanamkubali si agombee ubunge tena kupitia hata cuf, tadea au udp.

Hafai kabisa huyo jamaa bora hamadi rashid.

Eti anasema: Bora uwepo mfumo wa mgombea benafsi, alikuwa wapi kudai siku zote?
 
Mbatia amethihilisha kuwa anafanya kazi na CCM 2 kwa kumfukuza KAFULILA. Kama hamjui huu ndio mwisho wa NCCR kwasababu sera ya cdm katka uchanguzi Kg ni kwamba NCCR =CCM.kwa jinsi KG walivyoonyesha hasila kwa CCM 2010 yatawapata yale ya CUF kura 1000. hilo halina ubishi

Kafulila ili akubalike Cdm. lazima kwanza zitto akiri alifanya makosa kumpingia kampeni kafulila hali kulikuwa na mgombea wa Cdm.
naonya kwamba wawili hawa kwakuwa wanaeliment za kupenda uongozi lazima apewe masharti ya kutogombea nafasi yoyote ndani ya chama labda ubunge 2 kwa muda wa miaka iciyopungua mitatu.

kusema ukweli kafulila na zito wanapenda madaraka hivyo kuwekwa pamoja watasababisha matatizo katika chama chochote watakapokwenda tatizo hawatosheki

Mgombea Urais wa Chadema mwaka jana aliwakubalia wananchi wa Kyela kumuunga mkono Harrison Mwakyembe wa CCM.

Tuache majungu na tutoke hapa tulipo tuachane na siasa za u-simba na u-yanga. Kosa la Zitto na kafuliala hapo liko wapi?
 
Back
Top Bottom