Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,200
Habari zilizonifikia kutoka source ya kuaminika ni kuwa Kafulia amefanya kikao na Chadema leo kwa madhumuni ya kurudi kwenye chama hicho. Nimedikezwa kwamba ameona kwenda mahakamani ni ngumu na pia kukata rufaa ndani ya chama ni ngumu pia maana uwezekano wa kumsamehe ni mdogo maana anahitalafiana na mbatia kuhusu jinsi ya kuongoza chama. Mbatia yeye anataka chama kiwe ccm B wakati kafulila anataka chama kiwe cha upinzani
Hivi siku ukigundua kuwa kafulila ni TISS itakuaje?
CDM haikumfuza. Alijiondoa mwenyewe baada ya kuvuliwa uofisa habari wa chama. Akiamua kurudi yeye ndiye atakuwa amekula matapishi yake.Aache kuzurura huyu,,na zitto si kamkaribisha?sioni kama ni uamuzi sahihi wa chadema kumeza matapishi.
Nilikuwa najifunza Formula za Ms Excel leo mwalimu wangu akanifundisha formula hii hapa:
=ibange-i=bange
Nilikuwa najifunza Formula za Ms Excel leo mwalimu wangu akanifundisha formula hii hapa:
=ibange-i=bange
Hivi siku ukigundua kuwa kafulila ni TISS itakuaje?
He is like concubine. Ukivuliwa madaraka kwa maslahi ya wengi ndo unajiondoa miongoni mwao? Kafulila hafai kwenda CHADEMA, yeye na Mwenyekiti HENCHE ni samaki na ndoana majini. Ni mgogoro mtupu mnaoutafuta. Ni bora akaenda CCM kuliko kupokelewa na upande wowote wa upinzani. Kilichomuondoa CDM ni tamaa ya kuutaka uenyekiti wa BAVICHA ili wapange mikakati(na wenzake anawajua) ya kuutwaa uenyekiti wa CDM. sio siri. ninanukuu" David ni rafiki yangu hata akihamia wapi lazima nimpigie kampeni ya ubungeCHADEMA haijawahi kumfukuza Kafulila, ila alivuliwa wadhifa wake kama msemaji , yeye mwenyewe ndio alijiondoa. . . .
Akija hakuna kuramba Matapishi. . ! Kwakua hatuwahi kutapika.
CDM haikumfuza. Alijiondoa mwenyewe baada ya kuvuliwa uofisa habari wa chama. Akiamua kurudi yeye ndiye atakuwa amekula matapishi yake.
Kuhama vyama kama hukubaliani na sera zao si kubaya, kibaya ni kuganga njaaAache kuzurura huyu,,na zitto si kamkaribisha?sioni kama ni uamuzi sahihi wa chadema kumeza matapishi.
Ni hoja nzuri. Ndio maana hata mimi naona mtu kama Shibuda hakuna sababu ya kuhangaika nae ni afadhali kumnyamazia tu maana ni tabia yake, he is a lesser evil!KUFUKUZWA KWA KOSA LA KI-FIKRA NCCR-MAGEUZI NA KUBAKISHWA KAMA SHUJAA KWA KOSA LA UFISADI DHIDI YA TAIFA KULE CCM IPI NI HATARI ZAIDI?
CHADEMA tuendelee kutumia vema kanuni hii ya "Working with a LESSER DEVIL" si tu kwa huyu Kafulila bali hata kwa makundi mengine hasimu kule CCM ili kukiimaarisha chama zaidi kabla ya kushika dola mapema Novemba 2015.
Ingawaje binafsi bado sijamuondolea kibendera chekundu huyu kijana Kafulila na Zitto mwenyewe kwa mienendo yao yenye maswali mengi sana huko nyuma, lakini kwa kuzingatia hiyo kanuni yetu mpya hapo juu basi sina budi kukubliana na uongozi wangu utkavyoona inafaa.
Lakini hata akiruhusiwa kujiunga tena ni sharti aturidhishe kwamba anajutia makosa yake, atakua mpambanaji wa kweli chamani kuliko rafiki yangu Zitto ambaye siku hizi 'kaishiwa na risasi' kwenye bunduki yake ya kisiasa na kwamba atakua team-player mwenye nidhamu ili kuharakisha azma ya umma kuking'olea mbali Magamba 2015.
CDM haikumfuza. Alijiondoa mwenyewe baada ya kuvuliwa uofisa habari wa chama. Akiamua kurudi yeye ndiye atakuwa amekula matapishi yake.