Mbaya sana kufukuza mtu eti kwa sababu ya kutofautiana na Mh mwenyekiti, na si kwa utendaji mbaya, je wabunge wake wote wakitofautiana naye atawatimua wote? kwa mitndo huu vyama vya upinzani havitafika popote, nawasifu CCM wanavyomaliza tofatui zao bila kufukuzana, wako makini sana kwa hilo, huwa hawakurupuki, kwa hili la kafulila hapa Mbatia amekurupuka, wangeweza kuelewana na kupeana hatua zingine za kinidhamu na si kumfukuza mbunge dishonorably!
Kwani katiba ya CDM inasemaje? Kafulila anaweza kujiunga na CDM Kama mwanachama tu. CDM isimpe uongozi wa aina yeyote hata ujumbe wa kitongoji. He proved not to be a leader but a power monger. Mtu wa hivyo is dangerous popote atakapoenda. Mtakumbuka alijiunga na Cuf kuikandamiza CDM ili tu awekwe kwenye kamati za bunge!
Zito Hana mamlaka ya kutoa mualiko. Mbinu yake kumtumia Kafulila ili akamsafishie njia ya kuuchukua nccr imeshindwa vibaya.
shenzy! weee.
shibuda ni kirusi cha UKIMWI!
Walicheza na vyombo vya habari wakidhani vitawafikisha huko kwenye malengo yao ya kisiasa. Kafulila ameanza kufukuzwa toka NCCR na vyombo vya habari ikiwemo maoni ya baadhi yetu humu JF. Ule mkutano wa Mbatia na genge lake umethibitisha tu hukumu ile.Nimegundua hawa wabunge wengi vijana waliopata umaarufu gafla wameanza kupoteza mwelekeo. Ukiwaangalia wanapoteza muda mwingi kupanga strategies za kuzidi kuwa maarufu. Sio vibaya mwanasiasa kupanga njia za kuwa mwanasiasa zaidi , tatizo ni pale wanaposahau kabisa kuwatumikia wapiga kura wao. Wanadhani wapiga kura ni mbumbumbu ambao muda wote wataaungamkono.
So bidii wanaweka katika kupanga majungu ya kuenguana na kueneza fitina. Na wanadhani wao ni wakubwa kukliko vyama vyao na wapiga kura wao. Mfano Kafulila alidai yeye ni mkubwa kuliko Mbatia kwakuwa alishinda ubunge na Mbatia akashindwa sasa alikuwa anampigia magoti na kumlilia ili iweje? Ina maana Kafulila hajui umuhimu wa chama. Sasa ataujua.
Nawashaulil wafanye kazi kwa bidii wawatumikie wananchi then wananchi ndo wataamua wawe wakubwa zaidi au la.
Huyu Zitto nae anatafuta umaarufu wa kisiasa na migogo na viongozi wenzake.
Ni wazi Kafulila akishawika na ombi la Zitto la kurudi, Chadema watampa masharti kuweka mambo sawa jinsi alivyoondoka nani wazi Kafulila hatakataa na uwezekano mkubwa Zitto atamwunga mkono kurudi bila masharti. Kafulila ataamia Cuf au chama kingine, atagombea tena kutetea kiti chake na atashinda.Zitto atakimbilia facebook kuandika message ya kujisifia kuhusu ombi lake like it was a rocket science na kuponda uhamuzi wa chama.
Kweli mkuu adhabu za kuviziana hizo yaani kwamba alikuwa anatafutiwa kona ya kummaliza, ndyo maana hakuna cha onyo wala kujitetea, this was their only chance, maisha yangekuwa kwa staili hiyo ktk nyanja zote, sijui kama kungekuwa na amani.Kafulila ni kama pigo la Knock Out! Ngumi moja hiyohiyo ndiyo iliyompeleka chini, hakuna kujitetea, kujiuliza, kujifikiria wala kuonywa!!
Msajili wa vyama vya siasa angalau angekuwa na kauli au mamlaka flani hivi kisheria inayomruhusu kuamua kama mtu aliyefukuzwa uanachama wa chama fulani taratibu, haki zimefuatwa. Huyu wetu anasimamia RUZUKU tu na kusajili. Msajili pia angeangalia kama fukuzafukuza hii ina maslahi kwa Taifa au inalinda tu maslahi ya wakubwa ndani ya vyama hivi.
Tendwa, peleka marekebisho ya sheria iliyounda ofisi yako ili tusihangaishwe na wenye vyama hivi.
May be he is too young to be wise.