Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,064
- 7,196
Kigoma ni moja ya ngome za mwanzo kabisa za CDM. Ubaguzi haujengi.
unapata wapi ubavu wa kuongea pumba hizi?
Kigoma ni moja ya ngome za mwanzo kabisa za CDM. Ubaguzi haujengi.
mtm, currently kati ya hao hakuna mwenye common interest na cdm, ila shibuda ni soo, mtu uyu hatari wajua kuwa anaudhuria ata warsha mbalimbali za ccm, yaani shibuda hafai ni kiburi, mnafiki nk hana interest na cdm, na ninahamini viongozi wa cdm wako very smart, hawataki kuingia ktk unnecesary confrontation na mwanachama wake kwani logically itakuwa ni kwa manufaa ya ccm na kosa lilikuwa kumkubali agombee kule maswa, kafulila namuona kama mtu anayeweza kuwa moulded uyu bado ni kama samaki mbichi anayeweza kukunjika ata akawa accomodated ktk interest za cdm na naamini atakuwa na adabu uko mbeleni mkuuhebu tujiuliza, kati ya kafulila na shibuda yupi at least ana common interest na chadema??
hEBU TUJIULIZA, KATI YA KAFULILA NA SHIBUDA YUPI AT LEAST ANA COMMON INTEREST NA CHADEMA??
Nakuunga mkono. HATUMTAKIMimi kama mwanachadema halali wa chadema simtaki,naomba wengine mniunge mkono.
lol simshauri hata kidogo bora aende zake APPT Maendeleo au TLP.JK anawasubiri , njooni huku CCM achaneni na NGOs.
eh! hata mimi lol!!Nakuunga mkono. HATUMTAKI
...........mh! hii njemba (Kafulila), sio ya kukaribishwa kirahisi ki-vile, hapa nachelea kufananisha tabia zake na za Sitta, yaani unafiki.Zitto Kabwe swahiba na mshirika wa karibu wa mbunge aliyetimuliwa kwenye chama chake Kafulila,ameweka wazi kutojihusisha na sakata la kafulila kwa namna yoyote.Akiweka maelezo kwenye ukarasa wake wa Facebook ameshindwa kujitetea kuhusu tuhuma za yeye kuwaita polisi.Hata hivyo ameelezea kuwa huwa mara zote yuko upande wa mtu anayeonewa na mnyonge. Mwisho ameweka wazi Kafulila anakaribishwa CDM na kwamba hakufukuzwa hivyo katiba ya Chadema ipo wazi anakaribishwa source FB
........hapa tunataka kumtoa gamba Shibuda, theni kirusi kingine kiingie, patakuwa hapatoshi hapo cdm, huyu aende cuf ya akina Hamad Rashid na Hamad Seif.karibu kafulila CDM
Heheheeeeee! CDM wasije wakafanya kosa kama ilo la kuingiza kirusi ndani ya chama chao. Aende zake mwanakwenda kwani alilewa sifa za kijinga na akajisahau kufikiri kama binadamu na badala yake akakubali mtu mwingine afikiri kwa niaba yake. matokeo yake amekua akikokotwa kama kondooo.
Heheheeeeee! CDM wasije wakafanya kosa kama ilo la kuingiza kirusi ndani ya chama chao. Aende zake mwanakwenda kwani alilewa sifa za kijinga na akajisahau kufikiri kama binadamu na badala yake akakubali mtu mwingine afikiri kwa niaba yake. matokeo yake amekua akikokotwa kama kondooo.
Zitto Kabwe swahiba na mshirika wa karibu wa mbunge aliyetimuliwa kwenye chama chake Kafulila,ameweka wazi kutojihusisha na sakata la kafulila kwa namna yoyote.Akiweka maelezo kwenye ukarasa wake wa Facebook ameshindwa kujitetea kuhusu tuhuma za yeye kuwaita polisi.Hata hivyo ameelezea kuwa huwa mara zote yuko upande wa mtu anayeonewa na mnyonge. Mwisho ameweka wazi Kafulila anakaribishwa CDM na kwamba hakufukuzwa hivyo katiba ya Chadema ipo wazi anakaribishwa source FB