Zitto amemtuma ofisa wake kuisemea CHADEMA kuhusu Lowassa

Zitto amemtuma ofisa wake kuisemea CHADEMA kuhusu Lowassa

namfananisha maneno haya ya makene na mtu aliezama kwenye shimo la choo kisha akaokolea hua anapatwa na athari ya joto amabao inasababisha akili ya kufikiri na kuaza inaruka kabisa makene
uwe mbali na act hatufatilii mambo yenu ila vijana wenu wa cdm na ww kwa kuruka na akili mnakua kama mnaishi . kwenye shimo la joka kw kuishi kwa kuchungulia
 
Kama kuna kitu kinachowaangusha ni siasa za fitina na kwa hili itawachukua mda mrefu sana kusonga mbele coz wananchi wameshagundua. Yaani I wish CHADEMA ingesimamia misingi ya uchapakazi na uwajibikaji na pia kuonyesha wananchi ni kipi wamefanyia hii nchi na ni kipi wataenda kukifanya ikiwa kitapata nafac ya kuingia ikulu kuliko kuspend most of your time kuongealea madhaifu ya CCM, CUF au ACT so sad mnapenda kufanya siasa za fitina yaani mnasubiri vyama vingine vikosee ndo mtumie walipokosea kama ngazi kwa namna it will take us more than decade kupata mpinzani imarawa kuing'oa CCM coz kadri mnavyowasema madhaifu yao ndivyo watakavyoziba ufa na kujiimarisha
 
Tatizo la Zito ni Chuki binafsi mpaka anashindwa kutambua vita vyake apigane na nani
 
kinyesi katika ubora wake, hivi nyie misukule ya chadema mkoje?
Zito ameeleza wazi kuwa ni chama pekee ndo chenye maamzi ya chochote na sio mtu binafsio, sasa haya unayoyasema umeyatoa wapi?
propaganda za kipuuzi hizi hazitawafikisha popote. tunajua nyie magwanda mlikuwa nyuma ya huyo fisadi wenu lowasa. sasa ndo hivyo kakatwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. endeleeni kuumia. muambieni na yule kibabu chenu ndesa kuwa kipenze chake kakatwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. .... mbafu zenu.


Ofisa mmoja wa chama kiitwacho ACT ambaye mara kadhaa amenukuliwa akiwa ni msemaji wa chama hicho, ameandika na kueneza habari mtandaoni kuwa kada mwandamizi wa CCM Edward Lowassa anahamia CHADEMA!

Inashangaza kidogo! Ama ni kwamba wahusika wa chama hicho hawana uratibu wa mawasiliano kiasi kwamba kila mtu anaweza kujiandikia tu au wanaendelea kukubuhu katika siasa nyepesi.

Itakumbukwa juzi mara baada tu ya majina 5 ya makada wa CCM yaliyokuwa yamepitishwa kwenye CC ya chama hicho kuwa yamejulikana (kwa kadri ya utaratibu wao), kiongozi mkuu wa ACT, Zitto, haraka haraka kama ilivyo kawaida yake akakimbilia mtandaoni kuandika kuwa Edward Lowassa anajiunga na ACT na atakabidhiwa kadi.

Wafuasi wa Zitto kwa kuendekeza siasa nyepesi za umaarufu wa mtu, wakakimbilia nao mitandaoni kusema kuwa tayari Lowassa ameshajiunga na ACT na kwamba ni Mgombea urais na 'taswira na nuru' ya chama tayari kapewa cheo cha Uwaziri Mkuu, alas!

Hawakuishia hapo. Wakaenda mbali hata kughushi nembo ya moja ya mashirika makubwa ya habari duniani kisha wakaandika mambo yanayokidhi matamanio yao, kwamba Lowassa kahamia ACT na Zitto kamkabidhi kadi.

Sasa haijajulikana hiyo kauli ya Zitto imeishia wapi ndani ya masaa 48 tu ghafla ofisa wake amekwenda mitandaoni akijigeuza kuwa msemaji wa taasisi isiyomhusu kuwa Lowassa amehamia CHADEMA.

Tumsaidie Zitto asiendelee kufanya siasa nyepesi. Alikuwa mtu wa kwanza kumkaribisha Lowassa kwenye chama chake mapema kabla hata hajachukua fomu ndani ya CCM. Sasa awaambie watu wake vizuri hilo 'deal' limeishia wapi?

Taarifa kutoka vyanzo vyangu zinasema kuwa Lowassa atafanya mkutano na waandishi wa habari kesho saa 3 huko Dodoma. Atakachozungumza anakijua vizuri yeye labda na watu wake pia.

Habari hizo kwamba Lowassa amehamia CHADEMA hazina ukweli wowote. Zinatengezwa na kupikwa na hao 'vijana' kwa maslahi wanayoyajua wao.

Kwa kushirikiana na vyama washirika wenza katika UKAWA, tunaendelea na maandalizi ya kwenda kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kushika dola na kuongoza serikali kuwatumikia Watanzania. Kila kitu kinakwenda sawa. Maandalizi karibu yote yamekamilika...ni #UKAWA Julai 14.

Hilo ndilo suala la msingi kwa sasa. Baada ya giza totoro la siasa za ghiliba, rushwa na hila huko Dodoma kwa takriban mwezi mzima, wananchi wanasubiri nuru ionekane Julai 14 kupitia UKAWA. Yamebakia masaa mchache kuuona mwanga unaosubiriwa na Watanzania wote wapenda mabadiliko ya kimfumo na kiutawala, si mabadiliko ya majina na sura za watu kutoka mfumo ule ule uliotukwamisha hapa tulipo.

Makene
 
Naona bwana Makene ndio una siasa nyepesi kwelikweli. Hivi ninyi watu wa CHADEMA hamuwezi kulala bila kumzungumzia Zitto, mlilikoroga wenyewe sasa naona linawashinda kunywa. Mwacheni mwana wa wenzenu aendelee kupeta. Hamumuwezi huyu kijana yuko 'another' level ya kisiasa na uongozi. Siyo 'size' ya kina Mbowe huyu, kawapita mbali sana.Kama mnaona chama hakiwezi kusonga mbele bila yeye Zitto enendeni mkamuombe msamaha atawasamehe na ikiwezekana aunganishe chama chake na cha kwenu kiwe chama kimoja
 
Tumaini Makene,nampenda kukuambia kukujulisha kuwa UKAWA msipo weka mbali u binafsi wenu (hususani) CHADEMA pia msipoweka mbali tabia ya kusameheana na kusahau yaliyopita kamwe mwaka huu mtashindwa vibaya sana.
kwa kuwa umezungumzia kusamehe katika uzi unamuhusu Zito,naamini ulichoandika hapo ni kuilaumu Chadema kutomsamehe Zito,kama ndivyo em niambie unaweza kumsamehe mtu asiyekuwa tayari sio kusamehewa tu,bali kukiri makosa.unajua kama huyo mtu wako alitaka yeye ndo aombwe msamaha!how possible?
 
Makene, wewe ni msemaji wa chama, tena taasisi kubwa sana. Wakati mwingine unaiaibisha CHADEMA. Usikurupuke kijana, sio lazima kila kitu kujibu, yaani wewe unajibu kila kitu. Mi nadhani viatu ulivyopewa vimekupwaya. CHADEMA ni taasisi kubwa, mnatuangusha na siasa za kitoto kama hizi. Mungu bariki CHADEMA
Lakini kumbuka ukweli ukirudiwa mara kwa mara, hugeuka kuwa ukweli. Ni bora alivyokuja kukanusha kuliko angekaa kimya.
 
Makene kilaza kabisa wee...!!!

Lowassa ni mtaji, acha upuuzi na ujinga, ungumbaru wa siasa, WATU WENYE KUONA MBALI NA KUMCHUKUA HARAKA LOWASSA... haraka sana, ILI KUSHINDA KWA KISHINDO...

UKAWA, nimesikia mna nia ya kumchukua Lowassa, acheni akili za kikwere, unganisheni Nguvu na Lowassa haraka sana, ili ushindi uwe kabla hata ya kura...

Ww Makene, u seem with very very low IQ, hujui nn cha kufanya haraka ili USHINDI UJE... hufai, very selfish, short sighted...!!! Huna mtazamo mpana wa ushindi... Uko na limited, retarded mind, kuwa utashinda bila kuungana na wenye nguvu kubwaaa kama Lowassa... very silly mind indeed...!!!

Mm nilitegemea uamke na kuona this rare opportunity ya Lowassa, kuungana nae, coz opportunity kama hizi zinakuja ONCE na hazijirudiiiiii ktk maisha yako yote...

Acha akili ya gizani na upuuzi... chukueni mtaji wa uhakika Lowassa huyo...!!!

Najua Mbowe ndio very clever, na anaona hii chance, ww bado kitoto unanuka maziwa bado...

I believe Mbowe will do all means Lowassa awe UKAWA kukomboa Taifa...

Makene again acha KUWA GIZANI...i hate u...!!
 
Mkuu watakaozuia goli la mkono ni wananchi wala si NEC. Tuko Mazingira ya vitani tayari. Let us move mpiganaji.

Kama CCM wanadhani wataweza kushinda uchaguzi huu kwa kutumia goli la mkono baada ya kuona inazidi kuwa mbaya, watakutana na mikono elfu moja pale golini i.e Wananchi.
Naona unaendelea kujidanganya!
Hizi mbwembwe mwisho wake tareh 25 october!
Hivi una kumbuka ile ya chopa tatu na kata tatu?
 
Sikubaliani na wewe !

Hiyo habari ya kipuuzi na ki-propaganda imeenea na imewachanganya baadhi ya watu na wengi wao wanaweza kuwa wanaCDM kwani ni issue inayohusu chama chao !

Wewe unaweza ulielewa kwamba ni propaganda kama mimi nilivyoelewa ni upuuzi mara tu nilipoiona....Lakini kuna wanaCDM iliwasumbua......Sasa Makene ikijaribu kuwapa kutoa maelezo ili kuwasaidia wanaCDM wamjue Aya-to-llah Zitto na vibaraka wengine wa CCM kuna ubaya gani ?

Makene amefanya vizuri sana na ninampongeza kwa hilo.

Makene, wewe ni msemaji wa chama, tena taasisi kubwa sana. Wakati mwingine unaiaibisha CHADEMA. Usikurupuke kijana, sio lazima kila kitu kujibu, yaani wewe unajibu kila kitu. Mi nadhani viatu ulivyopewa vimekupwaya. CHADEMA ni taasisi kubwa, mnatuangusha na siasa za kitoto kama hizi. Mungu bariki CHADEMA
 
CDM haina watu wa-pu-mbavu kama wewe....eti Lowasa asipondwe, kisa ana wafuasi wengi ! Yaani hata kama yeye ni fisadi mkubwa, aachwe !. Upuuzi gani huu !

Hivi unajua unachokiongea wewe ?!. CDM ndio walimtaja Lowasa kama mmoja ya watu waliokuwa kwenye list of shame aliyoitoa Dr. Slaa. Hivi karibuni tu, Mbowe alimponda Lowasa....

Siamini kama wewe ni CDM. Na kama wewe kweli ni CDM, then umepotea njia, ninakuashauri uende ACT.... Huko ndiko kunakokufiti....kwa wanafiki, wachumia tumbo na mafisadi !.


Vitu vingine ni vidogo sana kuvisema yeye, kumbuka Makene anawakilisha taasisi ambayo wengi ni mbadala ya chama Kikubwa na mama CCM. Kusema Zitto anamtuma afisa wake bila kuweka jina, habari hiyo ya kutumwa ni kama majungu tu. Mimi ni Chadema, tena damu, lakini siyo baba na mama yangu, kwahiyo mnapokosea lazima niseme tu yaani hamna wa kunizuia.

Chama mbadala lazima kiwe great thinker beyond wale wa chama tawala. Wabunge wetu wa Chadema wanafanya kazi nzuri sana, tatizo ni sisi vijana. Kuwashambulia watu wenye wafuasi kwenye jamii bila strong reasons ni upuuzi wa kukemea.

Mfano mdogo tu, Lowassa alikuwa na wafuasi kibao, hata kama aliwanunua au hakuwanunua, kwa hiyo kumponda Lowassa waziwazi kipindi kama hiki tunazikosa kura ambazo wengi wangepiga kwa hasira ya kuwakomoa CCM kwa kumkata Lowassa. Sijasema mumpe uanachama Lowassa. Taasisi kama Chadema inabidi iwe na qualified and well trained skilled personel.

Viva Chadema.
 
Sawa kabsa mikeli hawa vijana wenzetu wakati mwingine tunabidi tuwasaidie na kauli/ matamko yenye mihemko. Mfano ni ile kauli ya Nape ya goli la mkono, ni kauli ya kipuuzi sana, haitakiwi na Makene/ vijana wengine wa Chadema na wao wawe na vikauli kama hivyo. Tunaposema Chadema ni mbadala wa CCM lazima mjitofautishe kwa kila kitu, sio blah blah za kitoto. Wabunge wa Chadema wanafanya kazi nzuri sana, tatizo ni hawa vijana walio nje.

Alafu hizi siasa za kusema watu zimepitwa na wakati, cha kukusaidia tu bwana Makene, usipende kumponda mtu yeyote tena bila sababu. Mfano unamponda Lowassa kwa kipindi kama hiki cha uchaguzi, wakati ambao mngeweza kupata advantage ya kura za wapenzi na wafuasi wa Lowassa ambao wameumizwa na mtu wao kukatwa, sijasema mumpe uanachama Lowassa. Vijana mkue, msidhani ukamanda ni kuvaa magandwa tu, ni pamoja na kuwa na akili beyond CCM. Mungu bariki Chadema.

Wachache wanaweza kuelewa unachokisema...
Huu ni muda wa kuongeza base ya wanachama na strongholds bila kujali wametokea upande gani....
Siasa za uchaguzi ni mahesabu ya kutafuta uungwaji mkono na idadi kubwa ya wapiga kura.... Na mara nyingi wajanja wanashinda uchaguzi si kwa idadi kubwa ya wanachama wao bali ni lile tabaka la watu wanaopiga kura za hasira ama za huruma mara baada ya kusoma upepo..

Labda UKAWA hawana dhamira ya kushika dola...Kama wangekuwa nayo huu ndo ulikuwa muda muafaka wa kuwashawishi waliokatwa majina kule kwingine...Hata kama wasingekuja kwa kuogopa aibu lakini wafuasi wao ni muhimu kwa ushindi wa UKAWA....

Hivi UKAWA mna wafuasi wangapi...?? Na ili mshinde uchaguzi mnahitaji wapigakura wangapi...?? Na mtawapataje...??? Na hawa mnaowakatalia si turufu kwenu...??

Acheni kuhukumu watu bila kuhusisha mahakama....
Kwa taarifa yenu kuna wengine wameumizwa kiasi kwamba msipowabembeleza....msipowafikia... msipowakaribisha...hawatajitokeza kwenda kupiga kura pamoja na ukweli kuwa ni wapigakura wazuri kuliko wafuasi wenu wengi wasiowavumilivu...

Wapeni watu fursa ya kuwasaidia kurahisisha safari yenu ya kuleta mabadiliko kupitia mpasuko wa CCM....
 
Mkuu

Kuna upuuzi wa kupuuzwa na mwingine hauwezi kupuuzwa. Yako mengi mengine wanafanya na wanasema lkn tunawapuuza. Sana tu kwa sababu tunajua Ustawi wao unataka kutegemea attention yetu kwao jambo ambalo hawatalipata.

Acheni siasa za chuki! Zitto anafanya yake na nyinyi fanyeni yenu,uhai wenu ni kumtaja Zitto sio?
 
Jay One said:
Makene kilaza kabisa wee...!!!

Lowassa ni mtaji, acha upuuzi na ujinga, ungumbaru wa siasa, WATU WENYE KUONA MBALI NA KUMCHUKUA HARAKA LOWASSA... haraka sana, ILI KUSHINDA KWA KISHINDO...

UKAWA, nimesikia mna nia ya kumchukua Lowassa, acheni akili za kikwere, unganisheni Nguvu na Lowassa haraka sana, ili ushindi uwe kabla hata ya kura...

Ww Makene, u seem with very very low IQ, hujui nn cha kufanya haraka ili USHINDI UJE... hufai, very selfish, short sighted...!!! Huna mtazamo mpana wa ushindi... Uko na limited, retarded mind, kuwa utashinda bila kuungana na wenye nguvu kubwaaa kama Lowassa... very silly mind indeed...!!!

Mm nilitegemea uamke na kuona this rare opportunity ya Lowassa, kuungana nae, coz opportunity kama hizi zinakuja ONCE na hazijirudiiiiii ktk maisha yako yote...

Acha akili ya gizani na upuuzi... chukueni mtaji wa uhakika Lowassa huyo...!!!

Najua Mbowe ndio very clever, na anaona hii chance, ww bado kitoto unanuka maziwa bado...

I believe Mbowe will do all means Lowassa awe UKAWA kukomboa Taifa...

Makene again acha KUWA GIZANI...i hate u...!!

MPASUKO unatokea ili mabadiliko yatokee.... Sasa kama wengine hawajui kutumia fursa ili kurahisisha safari itabidi wasubiri sana...
Mi nina uhakika hata kule Mtama Lindi na Lushoto Tanga wakisemeshwa vizuri wote wanahamia UKAWA.....

UKAWA acheni siasa za kutangaza madhaifu tu ya CCM.... Upepo umebadilika ghafla.... Hubirini ni jinsi gani mtashirikiana na kila mtanzania kuipata Tanzania tuitakayo.....
Waacheni waliokatana walipane visasi ila nyie muwe kimbilio lao...
Kumbukeni bado kuna minyukano ndani ya CCM kwenye ngazi ya.sheha/kata na jimbo....

This is your ultimate golden and easy come opportunity...... WAKE UP!!

Ruto na Uhuru wasingeungana... Raila angeingia Ikulu ya Kenya bila hata kusubiri matokeo ya kura!!
 
MPASUKO unatokea ili mabadiliko yatokee.... Sasa kama wengine hawajui kutumia fursa ili kurahisisha safari itabidi wasubiri sana...
Mi nina uhakika hata kule Mtama Lindi na Lushoto Tanga wakisemeshwa vizuri wote wanahamia UKAWA.....

Acheni siasa za kutangan

Umenigusa sana. Hivi Makene ana kidato gani?
 
Unatafuta pakutokea eeh.! Ndio kwanza game linaanzan. Kuwa mpole kwanza kaka
 
Back
Top Bottom