Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,601
Sitoacha kusema na nitaendelea kusema, wewe ni mmoja ya wasemaji wenye uwezo mdogo wa kufikiri kama sio wakurupukaji ambao Chadema imeshawai kuwa nao!
Tunajua wewe huwa unamchukia Zitto binafsi lakini katika hili unaendelea kudhihirisha Chadema ni chama cha ovyo kabisa ambacho kinaongozwa na mihemko kabisa! Hivi una ushahidi kuwa huyu mtu alitumwa na Zitto? Kama una ushahidi kwanini usimtaje hadharani muhusika na uoneshe jinsi Zitto alivyomtuma?
Tumaini Makene umekurupuka na unasahau wewe ni msemaji wa chama ambacho kinadhani kinaweza kushika dola, lakini cha kushangaza mnaongozwa na mihemko na hisia tuu!
Nilitegemea msemaji wa chama ambaye ni makini kutoka kwa watu ambao husema wao ni makini lazima angekuja na ushahidi wa Zitto kumtuma huyo kiongozi na ungemtaja muhusika hadharani na si kuandika mambo kama mtu ambaye hakusomea kabisa uandishi wa habari!
Pengine hii ilipaswa kuletwa na wakina Mungi Crashwise na wengine ambao si wasemaji wa chama lakini unapo ileta wewe na ina madhaifu namna hii ni wazi mnaendeshwa na mihemko tuu!
Dr.W.Slaa naomba nikuulize, hivi hii habari na wewe uliafiki iletwe humu na wewe ulishiriki kumpa kazi Makene? Na unafikiri kabisa Makene anajua anachokifanya?