woga wenu woga wa kijinga aibu kubwa hamtaki kuambiwa ukweli udini ukabila ukanda umewajaaa,mtakosa kura kwa uzembe wenu,cdm bila zitto hakina mvuto.zitto,kitila wangemsaidia sana mbowe ambaye hana uwezo hata wa kujenga hoja ni mwanasiasa wa kurudia rudia maneno.
kuuumia for what?? tunarudisha nyuma mapambano ya kuiondoa CCM\
unless uje useme zitto anaipaisha CCM...just sad for chadema na mstakabali wake
afadhali yeye hawajamuua
Huyu mheshimiwa kufukuzwa uanachama katika CDM sio kwamba ndo mwisho wa safari yake katika siasa cha kufanya akae atulie na kufanya uamuzi sahihi ni nini cha kufanya ili kuendeleza kujenga nchi yetu kwa sababu huyu jamaa ni msaada mkubwa sana katika nchi yetu make aliweza kuibua mambo mengi sana ambayo ni maovu yaliyofanywa na baadhi ya viongozi.
mwisho,, harakati sio chadema tu broo zitto cha msingi angalia mbele tu usigeuke nyuma kiangalia upumbavu wao huo
Zitto si wengine tulishamstukia zaidi ya miaka 7 iliyopita kuwa hafai.
Regardless of his intent, in those seven years he has done more for Tanzania than most Tanzanians, including many contributing on JF.
A list of his achievements far outweighs his shortcomings, and if we had 100 Zitto's in our Parliament, we would have a very good country, managed transparently and looking after its people.
tuingalie kutumia kurunzi ya leadership qualities and skills. Baada ya kwenda mahakamani na kuweka pingamizi, zito alikuwa amejepiatia muda wa zaidi ya mwaka mmoja kujionesha kama kiongozi mzuri kwa kufanya mambo mawili tu:
(a) kuunganisha tena wanachama wa chama chake ambao walikuwa wamekorofishana kutoka na ule "mkakati;" halafu,
(b) baada ya kukamilisha hilo la (a) hapo juu angekwenda mahakani kufuta kesi na kusema sisi sote na wamoja na tuna lengo moja, malumbano hayafai kwa hiyo hakuna kesi baina yetu.
Ila inaonekana zitto alikuwa ama ana-buy time ili aendelee kuwa mbunge, au alikuwa na confidence kubwa sana kuwa atashinda kesi ambayo sote tunafahamu kuwa ameshindwa.
Ku-buy time ili aendelee kuwa mbunge siyo sifa nzuri ya uongozi kwani unakuwa ni kiongozi anayeangalia maslahi yake tu.
Vile vile kuwa na overconfidence kuwa utashinda halafu ukashindwa pia siyo sifa nzuri ya uongozi kwa utakuwa ni kiongozi atakayepeleka watu wake pabaya.
Vilevile nadhani chadema wamekurupuka sana kumtolea uamuzi kwani iwapo kweli katiba ya chadema inasema kuwa ukipeleka kesi mahakamani ukashindwa basi unavuliwa uanachama, ni afadhali wao wangekaa kimya tu ili wamuache zitto mwenyewe ndiye apime msingi ya katiba ya chama chake, tendo lake la kwenda mahakani na matokeo ya uamuzi wa mahakama.
Huna haja ya kusukuma mzoga uzidi kuzama majini kama unajua kuwa tayari hauna uhai.
Yeah, he has done more to confuse folks.
List them.
SIo Kosa lake, washabiki wa siasa za Kitanzania wamezoea watu wa ndio mzee, watu wanaosimama wanachokiamini huishiwa kurushiwa mawe. I would rather have a politician who speaks their mind even if they are wrong, than those that hide behind the party lines, in fear of retribution.
I don't run from challenges.
Hoja binafsi kumwajibisha waziri mkuu, aliweza kutengeneza bipartisanship ambayo haijawahi kutokea kwenye siasa za TZ, kwa kuwafanya baadhi ya Viongozi wa CCM kukacha patry lines na kusimamia walichoamini, hii ni hatua kubwa kwa demokrasia
Buzwagi, akishirikiana na Slaa na wenzake, alisimamia kwa uwazi kabisa mapungufu yaliyojitokeza, yaliyosababisha tume ya mwakyembe kuundwa na kusababisha kuachia ngazi kwa viongozi wengi,akiwemo waziri mkuu-Lowasa
Kamati ya PAC, amekuwa akikampeni kuhusu uwazi wa mikataba na accountability ya mashirika ya umma. Kazi zake za PAC zimeshababisha watanzania wengi kujua uwepo wa CAG, nguvu ya CAG pamoja na viongozi husika kuanza kuogopa na kuheshimu ofisi ya CAG. Kabla ya hapo PAC ilikuwa kama pambo tu kwa miaka nenda rudi.
Sheria ya Madini, alisimamia yeye na wenzake kuhakikisha kunafanyika reform kwenye sheria hii, ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa sera ya nchi ya gesi. Kukubali kwake kufanya kazi na Viongozi wa CCM for greater good of Tanzania is what makes me appreciate his intent. Kuliko Viongozi wenzake wa CHADEMA ambao wao kutwa kucha ni kulalamika, wakati hakuna hoja binafsi hata moja yenye mashiko waliyopeleka mbelle ya bunge na kuzisimamia.
Kelele zake kuhusu fedha za Uswisi, ingawa zili-stumble kwa kushindwa kuproduce majina, zimesaidia kuweka mwanga kwa wananchi kuwa kuna viongozi wao wanaficha fedha nje ya nchi, leo hii hata CCM, wameanza kuambiana ukweli kuhusu hili, na tumeona PCCB kiunafki ikilichunguza hili.
Mengine mengi ni madogo madogo, kama kupigani haki za wasanii,kusimamia hoja ya uwepo wa uwazi wa mikataba na kupinga rushwa.
Mengi aliyoyafanya huyu bwana, yalitakiwa yafanywe na wabunge wote wa upinzani, na hasa yalitakiwa yasimamiwe na CHADEMA pamoja na wabunge wenzie wa upinzani.
Cha ajabu hawa wabunge wa upinzani kutwa kucha ni mikutano ya kukusanya wafuasi,kudai ukombozi, kuandamana na kuonesha ukamanda wao. Worse, kuna wengine wamekuwa kama CCM, ukiwauliza walichokifanya wanakuambia wamechimba visima na kugawa madawati, yani kuna wabunge wa upinzani ni vichwa maji kuliko vichwa maji wa CCM, na ingawa wengine ni vijana, wana mawazo ya kizamani kuliko Kingunge.
binafsi naona tundu lissu amekurupuka sana.pia naona kama tundu lissu anataka awe peke yake anochowaza yeye ndio sahihi. Kukiwa na mtu mwenye uwezo kama yeye mbaye anaweza akampa challenge lazima ampige majungu mpk ang'olewe.
Zitto hajielewi na haeleweki. Ndo maana nikasema sisi wengine tulishaliona hilo zaidi ya miaka 7 iliyopita. Zamani nilikuwa namuunga mkono lakini akaja kunipoteza. Sasa naona CHADEMA nao wameshindwa kumvumilia na wameamua kumtimua.
Sasa subiri uone huko kwingine atakakoenda (kama ataamua kubaki kwenye siasa). Nako natabiri atawasumbua na watamtimua unless aanzishe chama chake mwenyewe (kama ACT siyo chake). Na hata akianzisha chama chake mwenyewe sidhani kama atakuwa na wafuasi wengi.
Awesome. Now let's go line by line.
Na matokeo ya hiyo hoja yalikuwa ni yepi? Hakuna mwingine aliyekuwa na hoja kama hiyo?
Uliuliza Mafanikio ya Zitto, sasa mbona unaanza kusogeza goli?hakuna binadamu anayefanya kazi peke yake, hata mcheza tennis akishinda anashukuru timu yake na sponsors.it's the gentleman thing to do. Wabunge wa CHADEMA waliowahi kuleta hoja za Kitaifa zilizozizima mwaka mzima na viongozi wakuu wa serikali kuwajibika hawajai kiganja kimoja cha mkono, kama unakataa hilo umeamua tu kukataa. Kama unawajua wataje hapa, kinyume na hapo hizo zitakuwa chuki binafsi kwa mafanikio yaliyo wazi.Oh kumbe alishirikiana na wana-CHADEMA wenzie? Mi nilidhani labda alifanya hivyo single-handedly!
Hakuna wabunge wengine waliowahi kufanya hivyo?
Kila kiongozi wa taasisi ana haki ya kimsingi ku-take credit ya mafanikio ya taasisi anayoiongoza, yeye kama mwenye kiti wa PAC, ni haki yake ya kimsingi kuhusishwa na mafanikio ya kamati anayoiongozam unajua kuna kamati ngapi bungeni? unaweza taja kamati 5 tu zenye level ya public impact and awareness kuzidi PAC? humu ndani kila mtu yuko tayari kumrushia JK lawama, wakati anaongoza nchi yenye viongozi maelfu kwa maelfu,kwa nini?kwa sababu siku zote the buck stops at the top. Usijifanye hujui hili, you are better than that. Stop playing dumb please.Hizo reforms unasema alizisimamia yeye na 'wenzake'. Hao 'wenzake' ni akina nani? Again nilidhani labda alifanya hivyo singe-handedly kumbe napo alikuwa na 'wenzake' who shall remain nameless....
Sometimes, kelele is better than keeping quite, i respect a politician who says what they believe than one that hide behind neutral and party lines. Hizi Kelele kuna taasisi zimeundwa kwa ajili ya kupiga hizi kelele, Twaweza comes ti mind. Kelele ni jambo muhimu sana kwenye demokrasia na utawala bora. Sasa hivi kila kiongozi anayetaka kuweka fedha Uswisi atajifikiria mara mbili, kwangu hii ni hatua na mafanikio ya mpiga kelele.angekaa kimya kusingekuwa na uwazi uliopo sasa ambao hadi head of PCCB yuko obliged kuchunguza hizi fedha na kuzitolea ufafanuzi kwa PAC pamoja na mihimili mengine ya serikali.Naam, umezipa jina kuntu kabisa kuwa ni 'kelele zake' maana bila kutaja majina mahsusi na kiasi cha pesa walichonacho huko Uswisi ni makelele tu na mimi siwezi kumpa credit kwa kelele tu.
Haki za wasanii hata Sugu huzipigania. Kuhusu uwepo wa uwazi wa mikataba nayo wapo wengi tu ambao hujenga hoja kama hiyo. Kupinga rushwa hata CCM wapo wanaopinga rushwa. Sioni kilicho special kwa Zitto hapo.
Una uhakika wabunge wote wa upinzani hakuna waliyoyafanya hayo unayodai Zitto kayafanya?
Hata Zitto hana tofauti na hao unaowaponda. Pia, naye ana kashfa za tuhuma dhidi yake vilevile.
Politically, this is not a win for CHADEMA, they are not better without him and they know it. We have seen what happened the year after they sidelined him, the best they could do was align themselves with UKAWA, and the best political event of the year came from two politicans they dismissed from CHADEMA, Zitto and Kafulila.Nadhani sasa kajua kuwa hata yeye ni expendable.
Tuingalie kutumia kurunzi ya leadership qualities and skills. Baada ya kwenda mahakamani na kuweka pingamizi, Zito alikuwa amejepiatia muda wa zaidi ya mwaka mmoja kujionesha kama kiongozi mzuri kwa kufanya mambo mawili tu:
(a) Kuunganisha tena wanachama wa chama chake ambao walikuwa wamekorofishana kutoka na ule "Mkakati;" halafu,
(b) Baada ya kukamilisha hilo la (a) hapo juu angekwenda mahakani kufuta kesi na kusema sisi sote na wamoja na tuna lengo moja, malumbano hayafai kwa hiyo hakuna kesi baina yetu.
Ila inaonekana Zitto alikuwa ama ana-buy time ili aendelee kuwa mbunge, au alikuwa na confidence kubwa sana kuwa atashinda kesi ambayo sote tunafahamu kuwa ameshindwa.
Ku-buy time ili aendelee kuwa mbunge siyo sifa nzuri ya uongozi kwani unakuwa ni kiongozi anayeangalia maslahi yake tu.
Vile vile kuwa na overconfidence kuwa utashinda halafu ukashindwa pia siyo sifa nzuri ya uongozi kwa utakuwa ni kiongozi atakayepeleka watu wake pabaya.
Vilevile nadhani CHADEMA wamekurupuka sana kumtolea uamuzi kwani iwapo kweli katiba ya CHADEMA inasema kuwa ukipeleka kesi mahakamani ukashindwa basi unavuliwa uanachama, ni afadhali wao wangekaa kimya tu ili wamuache Zitto mwenyewe ndiye apime msingi ya katiba ya chama chake, tendo lake la kwenda mahakani na matokeo ya uamuzi wa mahakama.
Huna haja ya kusukuma mzoga uzidi kuzama majini kama unajua kuwa tayari hauna uhai.
Sometimes, kelele is better than keeping quite, i respect a politician who says what they believe than one that hide behind neutral and party lines. Hizi Kelele kuna taasisi zimeundwa kwa ajili ya kupiga hizi kelele, Twaweza comes ti mind. Kelele ni jambo muhimu sana kwenye demokrasia na utawala bora. Sasa hivi kila kiongozi anayetaka kuweka fedha Uswisi atajifikiria mara mbili, kwangu hii ni hatua na mafanikio ya mpiga kelele.angekaa kimya kusingekuwa na uwazi uliopo sasa ambao hadi head of PCCB yuko obliged kuchunguza hizi fedha na kuzitolea ufafanuzi kwa PAC pamoja na mihimili mengine ya serikali.
Politically, this is not a win for CHADEMA, they are not better without him and they know it. We have seen what happened the year after they sidelined him, the best they could do was align themselves with UKAWA, and the best political event of the year came from two politicans they dismissed from CHADEMA, Zitto and Kafulila.
kuuumia for what?? tunarudisha nyuma mapambano ya kuiondoa CCM\
unless uje useme zitto anaipaisha CCM...just sad for chadema na mstakabali wake
afadhali yeye hawajamuua
mjomba wala huna haja ya kuhangaika na mtu huyo .Chifu, hiyo ni tuhuma nzito sana. Unataka kusema CHADEMA kilishawahi kuua mtu? Kilishitakiwa kwa mauaji hayo?
Mimi sio mganga wa kienyeji, hizo hadithi za utabiri nitakuachia wewe na hao wa sampuli hiyo. I stick to verifiable facts.
Matokeo Waziri mkuu alibaki, lakini ilijenga precedent ambayo ni muhimu kwa siasa za Tanzania, kuwa Waziri mkuu can be removed, if deemed incompetent.
Sitegemei wewe kuelewa umuhimu wa precedent,
kama umeamua kuona hilo ni jambo dogo,
Sikumbuki on top of my head,
but i can confidently say, hakuna aliyepeleka hoja kam hiyo toka upinzani Tanzania kwa miaka 20 kadhaa ya upinzani. So, yes, for an MP, this is an achievement.
Uliuliza Mafanikio ya Zitto, sasa mbona unaanza kusogeza goli?
hakuna binadamu anayefanya kazi peke yake, hata mcheza tennis akishinda anashukuru timu yake na sponsors.
it's the gentleman thing to do.
Wabunge wa CHADEMA waliowahi kuleta hoja za Kitaifa zilizozizima mwaka mzima
na viongozi wakuu wa serikali kuwajibika hawajai kiganja kimoja cha mkono,
kama unakataa hilo umeamua tu kukataa.
Kama unawajua wataje hapa, kinyume na hapo hizo zitakuwa chuki binafsi kwa mafanikio yaliyo wazi.
Kila kiongozi wa taasisi ana haki ya kimsingi ku-take credit ya mafanikio ya taasisi anayoiongoza, yeye kama mwenye kiti wa PAC, ni haki yake ya kimsingi kuhusishwa na mafanikio ya kamati anayoiongozam unajua kuna kamati ngapi bungeni? unaweza taja kamati 5 tu zenye level ya public impact and awareness kuzidi PAC? humu ndani kila mtu yuko tayari kumrushia JK lawama, wakati anaongoza nchi yenye viongozi maelfu kwa maelfu,kwa nini?kwa sababu siku zote the buck stops at the top. Usijifanye hujui hili, you are better than that. Stop playing dumb please.
Sometimes, kelele is better than keeping quite,
i respect a politician who says what they believe than one that hide behind neutral and party lines.
Hizi Kelele kuna taasisi zimeundwa kwa ajili ya kupiga hizi kelele, Twaweza comes ti mind. Kelele ni jambo muhimu sana kwenye demokrasia na utawala bora.
Sasa hivi kila kiongozi anayetaka kuweka fedha Uswisi atajifikiria mara mbili,
kwangu hii ni hatua na mafanikio ya mpiga kelele.angekaa kimya kusingekuwa na uwazi uliopo sasa ambao hadi head of PCCB yuko obliged kuchunguza hizi fedha na kuzitolea ufafanuzi kwa PAC pamoja na mihimili mengine ya serikali.
Shida yako unataka mafanikio ya ZITTO yawe null and void the moment wahusika wengine wakiwa na mafanikio yanayofanana, guess what, the world does not work like that.
Federer being a a grandslam champion does not make nadal any less of a champion, it makes them both champions, This is not a zero sum game where only one can and must exists.This is too petty from you.
Wako wachache sana, na hawajai viganja vya mkono nikiwahesabu, kama unadhani nadanganya au siko sahihi si vibaya ukayataja majina yao hapa kila mtu aweke maoni yake, unaogopa nini kuwataja?
Hakuna sehemu nimesema ZITTO hana mabaya yake, nimesema mapungufu yake yanazidiwa na mazuri, kutokana na ubora wa mambo mazuri aliyoyafanya kama mbunge wa upinzani na mwanasiasa wa Tanzania.
Politically, this is not a win for CHADEMA,
they are not better without him and they know it.
We have seen what happened the year after they sidelined him, the best they could do was align themselves with UKAWA, and the best political event of the year came from two politicans they dismissed from CHADEMA, Zitto and Kafulila.
I don't see how ZITTO is being expendable here..,