Chadema imejifunga goli dakika za majeruhi, CCM itapeta tu uchaguzi October
CCM itapeta kwa lipi? Hizi propaganda nyepesi nyepesi peleka Lumumba. CCM wamekosa mbinu. Thinktank hawapo tena CCM. Wamebaki wabashiri tu wa aina ya Sheikh Yahya.
Eti mashabiki wa ZZK ni magamba...Mjinga tu ndio atatishwa na ZZK kuondoka CDM.