Zitto amcheka ngereja anavyojikanyaga kanyaga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto amcheka ngereja anavyojikanyaga kanyaga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAKAH, Feb 11, 2011.

 1. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wadau leo Bungeni katika kipindi cha maswali kijana Zitto kanifurahisha sana alipoendelea kuyacheka majibu ya waziri Ngereja alipokuwa "anajibu" swali la Zitto kuhusu mgodi wa Kiwira na umuhimu wake katika kusaidia kuzalisha umeme kusaidia kupunguza adha ya umeme na kwamba serikali mbona inaonyesha kuvuta miguu kuhusu hilo. Siwezi kurudia kisahihi swali la Mh Zitto. Katika kujibu inaelekea Ngereja alikuwa bado ana usingizi wa bunge la 9. Anatoa lugha ya kusadikika kama vile TUTA, TUNGE, IPO MIKAKATI NK. Huu sio wakati wake. Hata hivyo Busara za Makinda zimemuokoa kwani kaambiwa aandae taarifa maalum. Sasa Mh Ngereja inabidi ajipange sana katika pepa hiyo. Wa Tz tuna hasira sana kuhusu hili. Asipoangalia Vijana wenzake wata mchezesha kwata hadi kuomba kujiuzullu. ZITTO NA VIJANA WENZAKO WA VYAMA VYOTE BILA UNAFIKI KAENI IMARA KWENYE HILI. ENZI ZA POROJO ZIWE NDOTO.
   
 2. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ......na bado mwaka huu!!!
   
 3. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,399
  Trophy Points: 280
  safi sana! asante kwa taarifa mkuu
   
 4. S

  SUWI JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Asante kwa kutujuza
   
 5. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  All what he was talking was fluff fluff fluff talks any lay man could talk.
   
 6. Marahaba

  Marahaba Member

  #6
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ok!iko siku tutajibu vicheko au mabishano yao hapo kwa mjengo
   
 7. B

  Biro JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 331
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  jinamizi la dowans linawatafuna
   
 8. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Wakati nchi zilizoendelea wanatumia makaa ya mawe kutengeneza umeme sisi tunayapeleka ulaya na kwengineko duniani, Kama si wendawazimu wa viongozi wa kifisadi nchi ingekuwa kama pepo. Wajinga sana hawa wachakachuaji wa sisiem. Mimi nina hasira nao ipo siku nitawatokea na bunduki na kuzunguka nyumba zao iliniwatokomeze kabisa wasiwepo hapa bongo, aaaah wanatutia umaskini tunaojitakia:A S 20:
   
 9. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Nimeiona hiyooo.
   
 10. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  kitaeleweka tu
   
 11. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Taarifa hiyo amepewa muda gani iwe imekamilika? Taarifa hiyo ataiwakilisha wapi?
  Zitto ni balaa kwa hoja, atamtoa utumbo Ngeleja!
   
 12. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  I can guess wizara iliyopeleka maofisa wengi dodoma kwa sasa ni wizara ya nishati. Why kila mtu analijua jibu
   
 13. r

  rmb JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Niliwahi pata bahati ya kutembea mgodi huo wa kiwira, kwa kweli ukifika pale unaweza ukatoa machozi. Kwanini serikali haina uchungu na mali zake lakini? Yaani wameutelekeza kabisa, mitambo inaota kutu tu (sina hakika kama biashara ya vyuma chakavu haijafika pale, maana inaonekana havina mwenyewe) hakuna lolote la maana tena mahala pale, siasa tu hana kwenye mambo ya muhimu. Swali la muhimu la kujiuliza ni kwanini tunahangaika na mafuta ambayo ni gharama kubwa wakati tuna makaa ya mawe tele na mitambo ipo pale tayari? Hela za kununua mafuta na kulipa makampuni ya mifukoni tunayo ila kufanya matengezo ya Kiwira hatuna! Kuna jambo tu limejificha
   
 14. d

  dicaprio Member

  #14
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Shida yetu kubwa watz ni kuwa na viongozi wasio na upeo wa kufikiri haraka na kuja na mambo mapya. Cognitive power ya viongozi wetu wengi ni ya viwango vya chini. Sababu inaeleweka ila kwa leo naisitiri
   
 15. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  kiwira na Mchuchuma keshapewa mchina.watajenga Reli na ku export coal na chuma china.Mozambique tayari china imesaini mkataba kuchimba mkaa wa mawe(Coal),ni North west ya mozambique ambayo ni karibu sana na Songea ,eneo lote lina mkaa wa mawe mzuri tu.so in few years TZ will be a major exporter wa Coal to China wakati wananchi wa Tanzania bado tuna mgao wa umeme
   
 16. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #16
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Atachekwa sana, sasa kule bungeni kuna vijana machachari, sio tena sehemu ya bla bla. Miaka 5 bila mafanikio ya kuondo mgao. hata kutafuta wawekezaji tu katika sector ya nishati inashindikana? Tatizo wawekezaji wazuri hawatoi TN %. Mpaka wapate Richmond nyingine.
   
 17. O

  Old ManIF Senior Member

  #17
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninavyo mjua zitto alivyo na nidhamu ya chama mpaka ameshindwa anamcheka waziri mbele ya kamera akaonekana ina nipa hofu, ya wezekana kuna kinacho mnyemelea ngeleja.
   
 18. Iramusm

  Iramusm JF-Expert Member

  #18
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 424
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Nijuze mi sijui!
   
Loading...